Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


King Majuto Kuja na Lakuvunda

AMRI Athuman ‘King Majuto’ baada ya kutoka Hija anatarajia kuja na filamu kali ya Lakuvunda ambayo itakuwa ni funga mwaka 2015, sinema hiyo ambayo imetengenezwa katika kiwango cha kimataifa, akiongea FC msemaji wa kampuni ya Splash Entertanment Steve Selenge amesema ni kazi nzuri.

Lakuvunda

“Filamu ya Lakuvunda imetengenezwa katika kiwango cha hali ya juu sana maana ni kazi ya kufunga mwaka kuanzia ubora wa hadithi production na waigizaji hasa King Majuto amefunika,”anasema Selenge.

Sinema ya...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

King Majuto Agutuka

Staa mkongwe wa filamu za vichekesho King Majuto ameamua  kufanya  filamu zake mwenyewe na si zakushirikishwa kama kipindi cha nyuma.

Akizungumza na gazeti la Nipasge wiki hii, Majuto alisema ameamua kuwa anatoa filamu zake baada ya kuona  vijana wadogo ambao wameanza kazi za uigizaji hivi karibuni wanafanya kazi za  kutengeneza  filamu zao wenyewe katika kampuni zao.

Majuto alisema anatafakari mbinu za kujiekea mazingira mazuri kwa ajili ya kutengeneza filamu zake.

“Nimechoka kucheza...

 

9 years ago

Bongo Movies

Bila King Majuto Usingenijua- Tausi

Msanii wa kike mwenye vituko Tausi Mdegela ‘Miss Iringa’ anasema kuwa hakuna mtu muhimu sana katika maisha yake ya sanaa kama msanii nyota katika vichekesho King Majuto, kwani bila mchekeshaji huyo hakuna mtu yoyote angemjua kupitia sanaa.

Mimi bwana Mzee King Majuto ni baba yangu haswa, maana bila yeye hata wewe usingenijua nilikuwa kila nikiomba watu nionyeshe kipaji changu cha uigizaji wanakataa kunisapoti, lakini nilipokutana na Mzee Majuto hakuninyanyapaa,”anasema Tausi.

Msanii huyo...

 

9 years ago

Bongo Movies

JB: King Majuto Atacheza Filamu Yangu

STAA wa filamu Bongo Jacob Stephen maarufu kama JB, amesema licha ya muigizaji mkongwe Amri Athumani ‘King Majuto’ kudai kuiweka kando sanaa ili afanye mambo ya kumpendeza Mungu baada ya kurejea kutoka hija huko Makka, atafanya hivyo baada ya kucheza kazi atakayoiandaa.

Akizungumza na gazeti hili, alisema yeye ni kama mtoto kipenzi wa Mzee Majuto, hivyo hawezi kukataa ombi lake kwa kuwa hata yeye anataka kustaafu kuigiza baada ya kufanya filamu moja na muigizaji huyo aliyejipatia umaarufu...

 

10 years ago

Bongo Movies

Tausi: Bila King Majuto Usingenijua

Msanii wa kike mwenye vituko Tausi Mdegela ‘Miss Iringa’ anasema kuwa hakuna mtu muhimu sana katika maisha yake ya sanaa kama msanii nyota katika vichekesho King Majuto, kwani bila mchekeshaji huyo hakuna mtu yoyote angemjua kupitia sanaa.

“Mimi bwana Mzee King Majuto ni baba yangu haswa, maana bila yeye hata wewe usingenijua nilikuwa kila nikiomba watu nionyeshe kipaji changu cha uigizaji wanakataa kunisapoti, lakini nilipokutana na Mzee Majuto hakuninyanyapaa,”anasema Tausi.

Msanii huyo...

 

10 years ago

GPL

AUNTY ACHUKIZWA NA UAMUZI WA KING MAJUTO

Msanii wa filamu Bongo, Aunty Ezekiel. Na Laurent Samatta/Uwazi WAKATI mkongwe wa filamu za kuchekesha, King Majuto akidai kutoshiriki kazi na msanii yeyote kutokana na kuibiwa, msanii mwenzake, Aunty Ezekiel amechukizwa na uamuzi huo. Akizungumza na Uwazi, Aunty alisema kuwa haamini kama wezi wa kazi zake ndiyo chanzo cha Majuto kuachana na filamu za kushirikishwa bali inawezekana kuna tatizo lake lingine. Mkongwe wa filamu za...

 

9 years ago

Bongo5

Video: Daddy Feat King Majuto – Baba

vlcsnap-2015-12-24-13h51m20s145

Msanii Mpya anaitwa Daddy ameachia video yake mpya wimbo unaitwa “Baba” amemshirikisha King Majuto, Video imeongozwa na O Key Ghettochild.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Bongo Movies

Baada ya Filamu 100 nitapumzika- King Majuto

Mchekeshaji mkongwe, Amri  Athumani ‘Mzee Majuto’ amefunguka na kuweka wazi project yake mpya ya kuandaa filamu 100.

Majuto ameiambia Bongo5 kuwa amefanya hivyo ili baada ya kumaliza kazi hizo apate muda wa kupumzika wa kutosha.

“Yeah na shoot na edit halafu nahifadhi, zikifika 100 nakaa na kupumzika nakula bata, makampuni kama yakihitaji filamu mimi nawapa, mpaka sasa nipo ya sita, nyingi itakuwa nazi-shoot huku Tanga,” alisema Mzee Majuto.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani