Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kinondoni ya kwanza kitaifa mbio za Mwenge

HALMASHAURI ya Manispaa ya Kinondoni imewapongeza watendaji wake na wananchi kwa kufanikisha kikamilifu utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo iliyopelekea manispaa hiyo kushika nafasi ya kwanza kitaifa katika mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka huu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

HOTUBA YA JAKAYA KIKWETE KWENYE SHEREHE YA KILELE CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU, KUMBUKUMBU YA BABA WA TAIFA NA WIKI YA VIJANA KITAIFA, TAREHE 14/10/2014 – MKOANI TABORA

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake wakati wa kilele cha mbio za mwenge 2014 ziilizofanyika katika uwanja wa michezo wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora siku ya jana. Mheshimiwa Dkt. Fenella Mukangara (MB), Waziri wa Habari,        Vijana, Michezo, Utamaduni na Michezo; Mheshimiwa Zainabu Omar Mohamedi, Waziri wa Uwezeshaji,       Ustawi wa Jamii, Vijana Wanawake na Watoto –...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ufisadi mbio za Mwenge

PAMOJA na Serikali kupitia kwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kusisitiza kuwa michango kwa ajili ya mbio za Mwenge wa Uhuru ni hiari na watu wasichangishwe kwa lazima, Tanzania Daima imebaini...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Pinda atetea mbio za mwenge

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, jana alitetea mbio za mwenge wa uhuru kwa kusema zinahamasisha jamii ione umuhimu wa kujitolea katika shughuli za maendeleo. Pinda alitoa kauli hiyo bungeni jana alipokuwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kiongozi mbio za mwenge awashauri wasomi

WASOMI wa vyuo vikuu nchini wameshauriwa kujiunga kwenye vikundi vya ujasiriamali badala ya kupoteza muda wakitafuta ajira. Ushauri huo ulitolewa mwishoni mwa wiki iliyopita na kiongozi  wa Mbio za Mwenge...

 

10 years ago

Mwananchi

NYANZA: Uchaguzi waathiri mbio za Mwenge

Vuguvugu la Uchaguzi Mkuu unaoendelea nchini linaelezwa kuwa chanzo cha kudorora kwa mbio za Mwenge kulinganishwa na miaka iliyopita.

 

11 years ago

Michuzi

Vodacom yachangia mbio za mwenge wa uhuru

Mkuu wa Mkoa wa Kagera Kanali Mstaafu Fabian Massawe akiongea ofisini kwake mjini Bukoba wakati wa hafla fupi ya kupokea mchango wa Sh. 10 Milioni kutoka kampuni ya Vodacom kwa ajili ya kuchangia sherehe ya uwashaji mwenge wa Uhuru kitaifa iliyofanyika Mkoani humo. Kutoka kushoto Ni Mkuu wa Vodacom Kanda ya Ziwa Domician Mkama, Mkuu wa Vodacom Foundation Yessaya Mwakifulefule na Meneja Uhusiano wa Nje wa Kampuni hioyo Salum Mwalim. Mkuu wa Mkoa wa Kagera Kanali Mstaafu Fabian Massawe...

 

10 years ago

Vijimambo

MBIO ZA MWENGE WA UHURU UKIWA PEMBA

KIONGOZI wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Tanzania mwaka 2015/2016, Juma Khatib Chum, akimkabidhi chandarua mtoto Fatmat Abdalla Mohammed, anayeishi na VVU mara baada ya kuonyesha hali halisi ya maisha yake katika kituo cha Ushauri nasaha ZAPHA+ mkabala na ofisi ya Halmashauri ya Chake Chake Pemba.MKUU wa Wilaya ya Mkoani isiwani Pemba Mhe:Hemed Suleiman Abdalla, akipima afya katika banda la ushauri nasaha linalomilikiwa na ZAPHA+ katika mkesha wa mwenge wa uhuru Tanzania Chake Chake Pemba.
MKUU wa...

 

11 years ago

Habarileo

Katibu Chadema, wenzake washiriki mbio za Mwenge

VIONGOZI wa vyama vya upinzani mjini Morogoro, wameshiriki katika Mbio za Mwenge wa Uhuru. Viongozi hao walioshiriki katika mbio hizo ni Katibu wa Chadema wa Mkoa wa Morogoro, Ngonyani Boniface, Mwenyekiti wa TLP Wilaya ya Morogoro, Juma Kasielo, Mwenyekiti wa Chama cha Jahazi Asilia, Ismail Rashid na Katibu wa UDP Wilaya ya Morogoro, Salum Mwandule.

 

11 years ago

Michuzi

DKT BILAL MGENI RASMI UZINDUZI WA MBIO ZA MWENGE WA UHURU

Na Concilia Niyibitanga MAELEZO 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Gharib Bilal, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2014, katika uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba, mkoani Kagera Mei tarehe 2. Hayo yamesemwa leo na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dkt. Fenella Mukangara wakati akiongea na Waandishi wa Habari Mjini Bukoba kuhusu Mbio hizo.
Mwenge huo utakaobeba ujumbe usemao “Katiba ni Sheria Kuu ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani