NYANZA: Uchaguzi waathiri mbio za Mwenge
Vuguvugu la Uchaguzi Mkuu unaoendelea nchini linaelezwa kuwa chanzo cha kudorora kwa mbio za Mwenge kulinganishwa na miaka iliyopita.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima11 Jul
Ufisadi mbio za Mwenge
PAMOJA na Serikali kupitia kwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kusisitiza kuwa michango kwa ajili ya mbio za Mwenge wa Uhuru ni hiari na watu wasichangishwe kwa lazima, Tanzania Daima imebaini...
11 years ago
Tanzania Daima28 May
Pinda atetea mbio za mwenge
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, jana alitetea mbio za mwenge wa uhuru kwa kusema zinahamasisha jamii ione umuhimu wa kujitolea katika shughuli za maendeleo. Pinda alitoa kauli hiyo bungeni jana alipokuwa...
11 years ago
MichuziVodacom yachangia mbio za mwenge wa uhuru
11 years ago
Tanzania Daima08 Jun
Kiongozi mbio za mwenge awashauri wasomi
WASOMI wa vyuo vikuu nchini wameshauriwa kujiunga kwenye vikundi vya ujasiriamali badala ya kupoteza muda wakitafuta ajira. Ushauri huo ulitolewa mwishoni mwa wiki iliyopita na kiongozi wa Mbio za Mwenge...
10 years ago
Habarileo17 Oct
Kinondoni ya kwanza kitaifa mbio za Mwenge
HALMASHAURI ya Manispaa ya Kinondoni imewapongeza watendaji wake na wananchi kwa kufanikisha kikamilifu utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo iliyopelekea manispaa hiyo kushika nafasi ya kwanza kitaifa katika mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka huu.
10 years ago
VijimamboMBIO ZA MWENGE WA UHURU UKIWA PEMBA
11 years ago
Habarileo22 Jun
Katibu Chadema, wenzake washiriki mbio za Mwenge
VIONGOZI wa vyama vya upinzani mjini Morogoro, wameshiriki katika Mbio za Mwenge wa Uhuru. Viongozi hao walioshiriki katika mbio hizo ni Katibu wa Chadema wa Mkoa wa Morogoro, Ngonyani Boniface, Mwenyekiti wa TLP Wilaya ya Morogoro, Juma Kasielo, Mwenyekiti wa Chama cha Jahazi Asilia, Ismail Rashid na Katibu wa UDP Wilaya ya Morogoro, Salum Mwandule.
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-ycmWSPmqRb0/VT-lb1hRLeI/AAAAAAAHT34/8uHZI_wA_i8/s72-c/3.jpg)
MAANDALIZI YA UZINDUZI WA MBIO ZA MWENGE WA UHURU KWA MWAKA 2015
![](http://2.bp.blogspot.com/-ycmWSPmqRb0/VT-lb1hRLeI/AAAAAAAHT34/8uHZI_wA_i8/s1600/3.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-ZP617WbQTW0/VT-ldE8wIxI/AAAAAAAHT4A/brrAfnsysxQ/s1600/4.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-JA1xxkSsc3M/U3x_nb5G8AI/AAAAAAAAFcU/Vsm1Kq7oYTA/s72-c/P5218268.jpg)
MWENGE WA UHURU WAANZA MBIO ZAKE MKOANI RUKWA LEO
![](http://4.bp.blogspot.com/-JA1xxkSsc3M/U3x_nb5G8AI/AAAAAAAAFcU/Vsm1Kq7oYTA/s1600/P5218268.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-nxCNA-ihtIo/U3yBK3QmeFI/AAAAAAAAFc8/wmaK33nlfBA/s1600/P5218325.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-vV1SspcpGBI/U3yBiZDo7vI/AAAAAAAAFdE/O3uI7dvefug/s1600/P5218277.jpg)