KISA BOKO HARAM, UCHAGUZI MKUU NCHINI NIGERIA WAAHIRISHWA

Wananchi wakiwa na mabango ya kupinga kuahirishwa kwa uchaguzi huo. TUME ya uchaguzi nchini Nigeria imeahirisha uchaguzi mkuu ambao ulikuwa ufanyike tarehe 14 mwezi huu kutokana na sababu za kiusalama. Uchaguzi huo sasa utafanyika Machi 28 mwaka huu. Mkuu wa tume hiyo Attahiru Jega alisema kuwa amejulishwa na maofisa wa usalama kuwa wanajeshi hawatakuwepo kulinda vituo vya kupigia kura kwa kuwa watakuwa wakipigana na wanamgambo...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo08 Feb
UCHAGUZI NIGERIA WAAHIRISHWA KUHOFIA BOKO HARAMU

TUME ya uchaguzi nchini Nigeria imeahirisha uchaguzi mkuu ambao ulikuwa ufanyike tarehe 14 mwezi huu kutokana na sababu za kiusalama.
Uchaguzi huo sasa utafanyika Machi 28 mwaka huu.
Mkuu wa tume hiyo Attahiru Jega alisema kuwa amejulishwa na maofisa wa usalama kuwa wanajeshi hawatakuwepo kulinda vituo vya kupigia kura kwa kuwa watakuwa wakipigana na wanamgambo wa Boko Haram kaskazini mashariki mwa nchi.
Awali tume hiyo ilikuwa...
10 years ago
BBCSwahili08 Feb
Uchaguzi mkuu waahirishwa Nigeria
11 years ago
BBC
11 years ago
BBCSwahili15 May
Nigeria yapuuza Boko Haram
10 years ago
BBC20 Jul
Nigeria and US to discuss Boko Haram
10 years ago
BBCSwahili05 Nov
Boko Haram washambulia Nigeria
10 years ago
BBC
Boko Haram HQ in Nigeria 'retaken'
11 years ago
BBC
Nigeria 'in talks with Boko Haram'
10 years ago
BBCSwahili29 Jul
Tutawakabili Boko Haram:Nigeria