KISA ZARI DIAMOND AITWA SHOGA
Stori: Erick Evarist HII ni ‘bad news’ kwa staa namba moja wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’. Mfanyabiashara maarufu nchini Uganda anayefahamika kwa jina la King Lawrence, ameibuka na kumuita nyota huyo shoga, Ijumaa linakupa habari hii. Staa namba moja wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiwa na Zarinah Hassan ‘Zari’. ISHU ILIPOIBUKIA King ambaye...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo09 Jan
KISA ZARI DIAMOND AITWA SHOGA NI WIVU AU?
King ambaye ana makazi yake pia nchini Afrika Kusini, amedaiwa kutoa kauli hiyo juzi, Jumatano kupitia mtandao wa Facebook akionesha...
9 years ago
GPLZARI AITWA KWAO
10 years ago
Africanjam.ComTANZANIA: KUELEKEA ZARI WHITE PARTY, DIAMOND AFUNGUKA KUHUSU NDOA YAKE NA ZARI
Diamond Platnumz ambae ni miongoni mwa wasanii wa muziki wanaofanya vizuri sana Africa amefunguka kuhusu Ndoa yake na mwanamama Zari, Diamond amesema kwamba atakuwa ndani ya ndoa kabla ya mwaka huu kuisha.Diamond alifunguka hayo asubuhi ya tar 1 May. 2015 katika kuipigia promo Event ya Zari All All White Party itakayofanyika tar 1 May. Tamasha hilo linatarajiwa kuacha historia ya kipekee kwa kua na kiingilio cha gharama kubwa zaidi kwani ticket za VIP zimeuzwa kwa Millioni tatu na mpaka...
10 years ago
Vijimambo08 Jan
DIAMOND APEWA OFA YA $40,000 AMWACHE ZARI, NJEMBA LAPOST SCREENSHOT YA ZARI AKILIOMBA MKWANJA!
10 years ago
GPLWEMA, AUNT KIMENUKA KISA ZARI
10 years ago
Bongo Movies06 May
Ubuyu:Wema, Aunt Kimenuka Kisa Zari
Gazeti la Risasi la leo limeripoti kuwa Mataa wa bongo movies ambao ni mashosti wa kufa na kuzikana, Wema Isaac Sepetu na Aunt Ezekiel Grayson wanadaiwa kugombana baada ya Aunt ‘kuposti’ kwenye ukurasa wake wa Instagram tangazo lililohusiana na pati ya mwandani wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ iliyofanyika Mlimani City jijini Dar wikiendi iliyopita.
Kwa mujibu wa mtu wa karibu wa mastaa hao wa sinema za Kibongo, baada ya Aunt kuposti...
10 years ago
Bongo Movies11 Feb
Wema Amtusi Shemeji wa Zari, Kisa?! Kuvujisha Picha Mtandaoni!
SEKESEKE: Inadaiwa kuwa mwigizaji Wema Sepetu ‘Madam’ amemporomoshea matusi mazito shemeji wa Zarina Hassan ‘Zari’, King Lauwrance akidai amemuudhi sana kwa kitendo cha kuvujisha picha inayomuonesha akiponda raha nchini Afrika Kusini ‘Sauz’ na mume wa Zari, Ivan Semwanga.
Kama tunavyojua Wema na staa wa Bongo Fleva, Omari Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ walikwenda Sauz kufanya Le Project ya Video.
Kwa mujibu wa chanzo cha GPL kilichokuwa Sauz, baada ya Wema na Ommy kutua nchini humo na ‘project’ ...
10 years ago
Bongo Movies30 Apr
Aunt Ezekiel Awatega Team Wema, Kisa Ujumbe wa Zari-All White Party
Staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel amewaacha njia panda mashabiki ‘kindaki ndaki’ wa Wema sepetu maarufu kama team Wema baada ya kuweka ‘screenshot’ ya ujumbe wa tangazo la pati ya mwanadada Zari inayofahamika kama Zari All While Party.
Aunt alibandika picha hiyo (hapo juu) na kuandika maneno haya kuonyesha kuwa mekelwa na ujumbe huo.
“Voda Voda hivi Voda mnantafuta nini lakini....ya kwanza nimenyamaz ya pili nimewajibu hamsikii hii ya tatu sasa Nawauliza Mnanitaka nini Au mmetumwa???Plz...
10 years ago
GPLSHOGA: MPIGE ‘STOP’ MUMEO KUCHEKA NA SHOGA ZAKO!