KITABU CHA DIRA NA TUMAINI JIPYA HANDENI CHATINGA MTAANI
Mdau wa maendeleo wa wilaya za Handeni na Kilindi, mkoani Tanga, bwana Amiri Mganga, mwenye t-shirt nyekundu, akikabidhiwa nakala ya KITABU CHA DIRA NA TUMAINI JIPYA HANDENI, kilichoandikwa na Kambi Mbwana, kutoka kwa Msemaji wa Coastal Union, Assenga Oscar ambaye pia ni Mwandishi wa habari wa New Habari 2006 Ltd, wachapishaji wa magazeti ya Mtanzania, Rai, Dimba, Bingwa na The African, leo jijini Tanga, Tanzania.
Kitabu hicho kinapatikana kwa Sh 3500 tu. Maeneo yanapopatikana kitabu hicho...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziKitabu cha Dira na Tumaini Jipya Handeni
Na Mwandishi Wetu, Dar es SalaamMWANDISHI wa Habari za Michezo ambaye pia ni Mratibu Mkuu wa Tamasha la Utamaduni...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-UgOq6v-_rxk/VSpqqj45bDI/AAAAAAAHQp0/vbiFM390pfQ/s72-c/unnamed%2B(70).jpg)
KITABU CHA DIRA NA MATUMAINI YA HANDENI KIKO MTAANI WAHI NAKALA YAKO SASA
![](http://3.bp.blogspot.com/-UgOq6v-_rxk/VSpqqj45bDI/AAAAAAAHQp0/vbiFM390pfQ/s1600/unnamed%2B(70).jpg)
Kambi Mbwana, mwandishi wa kitabu hicho na blogger wa www.handenikwetu.blogspot.com+255 712053949
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vlKUFPodnGUt*Tkt0ldXIm1ikG8efQ0Pp*vfn-7JN-zEDnceOrKi265y*pLLTv2bmf*OYgFi0yTiTPfLbul3BESk50YtDduD/SHIGONGONEW.jpg?width=650)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/afJNJUtdOc4kNP5awLbK8uK4bE6sNTfmTgdK-75WSmPvvRtJMKYqR-aPBI2W5ljzSkGnJQT0r9Qtgnbkh*M1MM-dgO0FAj8U/VITABUSHIGONGO2.jpg)
9 years ago
Mwananchi01 Jan
Aspirini Tumaini jipya kwa wagonjwa wa saratani
9 years ago
Vijimambo19 Oct