Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kitchen Party Gala Ndani ya Dodoma Jumapili hii

image

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Familia Kitchen Party Gala ni Jumapili Hii

 Jumapili  huwa ni siku muhimu sana kwa familia. Ni siku ambayo mama/dada anapata nafasi ya kukaa ama kutembelea ndugu jamaa na marafiki. Kwa kufahamu umuhimu wa kuwa na familia yenye furaha na upendo, PSI Tanzania kupitia brand yao ya Familia wanakuletea Familia Kitchen Party Gala tour,Dar es Salaam. Nafasi ya mwanamke wa Dar es Salaam kupata mafunzo na kujinoa kuhusu mambo yanayomuhusu yeye,afya, saikolojia, kupanga muda, na mengine meeengi. Hii ni nafasi ya kina mama kupima Kansa ya...

 

11 years ago

GPL

FAMILIA KITCHEN PARTY GALA NI JUMAPILI HII‏

Jumapili  huwa ni siku muhimu sana kwa familia. Ni siku ambayo mama/dada anapata nafasi ya kukaa ama kutembelea ndugu jamaa na marafiki. Kwa kufahamu umuhimu wa kuwa na familia yenye furaha na upendo, PSI Tanzania kupitia brand yao ya Familia wanakuletea Familia Kitchen Party Gala tour,Dar es Salaam. Nafasi ya mwanamke wa Dar es Salaam kupata mafunzo na kujinoa kuhusu mambo yanayomuhusu yeye,afya, saikolojia, kupanga muda, na...

 

11 years ago

Michuzi

FAMILIA KITCHEN PARTY GALA NDANI YA JIJI LA DAR

Baada ya Dodoma na Mwanza,sasa Familia Kitchen Party Gala inahamia Dar es Salaam. Ni Jumapili hii tarehe 26,ukumbi wa Diamond Jubilee kuanzia saa sita mchana. Wazungumzaji ni Aunt Sadaka,Mama Victor na kaka Chris Mauki.. Burudani kabambe kutoka kwa Malkia Khadija Kopa,Mwasiti na Shaa

 

11 years ago

Michuzi

Familia Kitchen Party Gala ndani ya jiji la Mwanza

Wanawake wa jiji la Mwanza wamepata nafasi ya kuongea na Mama Victor,Aunt Sadaka na Getrude Mongela katika Familia Kitchen Party Gala. Shughuli imefanyika jana Jumamosi tarehe 19,katika ukumbi wa Gold Crest Hotel.
Ukiachana na maongezi kuhusu mahusiano na masuala ya kina mama,vilevile wanawake walipata nafasi ya kupata huduma na ushauri wa Uzazi wa mpango,vipimo vya saratani/kansa ya mlango wa uzazi iliyotolewa bure na Familia kupitia PSI Tanzania. Mtaalam wa Maswala ya saikolojia,Aunt...

 

11 years ago

GPL

9 years ago

Bongo5

Dina Marius airejesha tena Kitchen Party Gala

Mtangazaji wa kipindi cha Uhondo cha EFM, Dina Marious ameirejesha tena Kitchen Party Gala – hafla ambayo huwakutanisha wanawake mbalimbali nchini kuzungumza masuala ya mahusiano, familia, kujikwamua kiuchumi na mengine. “Kila mwanamke ana mipango na mikakati ya kufikia malengo fulani katika maisha.Yawezekana mipango haiendi,changamoto zinakufanya ukate tamaa,umekuwa mtu wa kuhairisha, wewe muongeaji tu utendaji sifuri,ndoa […]

 

11 years ago

GPL

TASWIRA ZA KITCHEN PARTY GALA JIJINI MWANZA‏

Elimu ikitolewa katika Familia Kitchen Party Gala jijini Mwanza jana. Msanii Mwasiti akitoa burudani wakati wa Familia Kitchen Party Gala jijini…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani