TASWIRA ZA KITCHEN PARTY GALA JIJINI MWANZA
Elimu ikitolewa katika Familia Kitchen Party Gala jijini Mwanza jana. Msanii Mwasiti akitoa burudani wakati wa Familia Kitchen Party Gala jijini…
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-wl9tZZxp8Us/U1OVOgO3NII/AAAAAAAFb9U/94m74DnvbB4/s72-c/1397912049710.jpg)
Familia Kitchen Party Gala ndani ya jiji la Mwanza
Wanawake wa jiji la Mwanza wamepata nafasi ya kuongea na Mama Victor,Aunt Sadaka na Getrude Mongela katika Familia Kitchen Party Gala. Shughuli imefanyika jana Jumamosi tarehe 19,katika ukumbi wa Gold Crest Hotel.
Ukiachana na maongezi kuhusu mahusiano na masuala ya kina mama,vilevile wanawake walipata nafasi ya kupata huduma na ushauri wa Uzazi wa mpango,vipimo vya saratani/kansa ya mlango wa uzazi iliyotolewa bure na Familia kupitia PSI Tanzania.
Mtaalam wa Maswala ya saikolojia,Aunt...
Ukiachana na maongezi kuhusu mahusiano na masuala ya kina mama,vilevile wanawake walipata nafasi ya kupata huduma na ushauri wa Uzazi wa mpango,vipimo vya saratani/kansa ya mlango wa uzazi iliyotolewa bure na Familia kupitia PSI Tanzania.
![](http://3.bp.blogspot.com/-wl9tZZxp8Us/U1OVOgO3NII/AAAAAAAFb9U/94m74DnvbB4/s1600/1397912049710.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/4MXCALxsrL2h-llvbakI0KhHPVm6CgqYh0RVj*vcE45ksWQ2K1jvLGo0xcuPxY1kK1YzE5bQoEwZdqHX*srI*SsKdbr33HRC/IMG_20140415_112654.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ZymY4ttHMzWRV8y-zv6ONQd5Sly3bP7ZhBsUZsab2u0QPb7yZUCZdttA4yjWNVdUuUmQdBtI6unUj7cxn3GRSnDGVX247hgA/bloggerimage1532184833.jpg?width=600)
FAMILIA KITCHEN PARTY GALA NI JUMAPILI HII
Jumapili huwa ni siku muhimu sana kwa familia. Ni siku ambayo mama/dada anapata nafasi ya kukaa ama kutembelea ndugu jamaa na marafiki. Kwa kufahamu umuhimu wa kuwa na familia yenye furaha na upendo, PSI Tanzania kupitia brand yao ya Familia wanakuletea Familia Kitchen Party Gala tour,Dar es Salaam. Nafasi ya mwanamke wa Dar es Salaam kupata mafunzo na kujinoa kuhusu mambo yanayomuhusu yeye,afya, saikolojia, kupanga muda, na...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mL7vEimd6q3V6NPRI8mEuX**tt5tmxi1n25yN3jp5IGgr-lfHD2CnE6nyToG*XeSw0xDCE7YskmBd2phaW9JZm-fwA*A*ugE/f25.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ojSCGs3jvX0Im76ySxtOkr2rLe6UIm6-nlS*r7qM6InGy8lH1XScnjWhYAjpqNbppHpzC7mjxIUTmQFFbi5lvNFFFNFDdG03/IMG20140422WA0000.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-1L-GWVmPxu0/U1bGzdBAaOI/AAAAAAAAxFc/e43hfSm3U88/s72-c/blogger-image--1532184833.jpg)
Familia Kitchen Party Gala ni Jumapili Hii
Jumapili huwa ni siku muhimu sana kwa familia. Ni siku ambayo mama/dada anapata nafasi ya kukaa ama kutembelea ndugu jamaa na marafiki. Kwa kufahamu umuhimu wa kuwa na familia yenye furaha na upendo, PSI Tanzania kupitia brand yao ya Familia wanakuletea Familia Kitchen Party Gala tour,Dar es Salaam. Nafasi ya mwanamke wa Dar es Salaam kupata mafunzo na kujinoa kuhusu mambo yanayomuhusu yeye,afya, saikolojia, kupanga muda, na mengine meeengi.
Hii ni nafasi ya kina mama kupima Kansa ya...
![](http://2.bp.blogspot.com/-1L-GWVmPxu0/U1bGzdBAaOI/AAAAAAAAxFc/e43hfSm3U88/s1600/blogger-image--1532184833.jpg)
11 years ago
Dewji Blog11 Apr
9 years ago
Bongo529 Oct
Dina Marius airejesha tena Kitchen Party Gala
Mtangazaji wa kipindi cha Uhondo cha EFM, Dina Marious ameirejesha tena Kitchen Party Gala – hafla ambayo huwakutanisha wanawake mbalimbali nchini kuzungumza masuala ya mahusiano, familia, kujikwamua kiuchumi na mengine. “Kila mwanamke ana mipango na mikakati ya kufikia malengo fulani katika maisha.Yawezekana mipango haiendi,changamoto zinakufanya ukate tamaa,umekuwa mtu wa kuhairisha, wewe muongeaji tu utendaji sifuri,ndoa […]
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-WbFRRfqweHc/U1fJMq1lzfI/AAAAAAAFcdk/yeCR_P7f0GI/s72-c/IMG-20140422-WA0000.jpg)
FAMILIA KITCHEN PARTY GALA NDANI YA JIJI LA DAR
![](http://2.bp.blogspot.com/-WbFRRfqweHc/U1fJMq1lzfI/AAAAAAAFcdk/yeCR_P7f0GI/s1600/IMG-20140422-WA0000.jpg)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania