Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KITU KIPYA KABISA KUTOKA KWA ISHA MASHAUZI “NIMPE NANI” …NI ZOUK RHUMBA LENYE UTAMU WA MASAUTI

Wala hakosei kusema ‘kujua kazi ni raha’. Isha Mashauzi anakushuka tena kivingine na wimbo mpya kabisa “Nimpe Nani” unaodhihirisha kuwa anaijua vema kazi yake.

Hii ni ‘single’ yake ya pili nje ya taarab ukiacha ule wa kwanza “Nimlaumu Nani” uliopigwa katika miondoko ya rhumba.

“Nimpe Nani” ni wimbo unaoelea kwenye miondoko ya zouk rhumba lakini ukikolezwa kwa mbali na vionjo vya mduara.

Wimbo huo wa dakika tatu na nusu ambao umerekodiwa katika studio za C9 Records chini ya producer C9...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

SIKILIZA RHUMBA JIPYA LA ISHA MASHAUZI A.K.A JIKE LA SIMBA

NYOTA wa miondoko ya taarab, Isha Mashauzi amekuja kivingine ambapo ameachia rhumba kali la miondoko ya muziki wa dansi. Ngoma hiyo inakwenda kwa jina la “Nimlaumu Nani”. Ni wimbo wa dakika tano uliorekodiwa katika studio ya Soft Records chini ya producer Pitchou Meshaa. Sauti zote utakazozisikia katika wimbo huu, zimewekwa na Isha Mashauzi mwenyenye – ameimba peke yake mwanzo mwisho.

 

11 years ago

GPL

10 years ago

Michuzi

MZEE YUSSUF NA ISHA MASHAUZI WATHIBITISHA RASMI MTANANGE WA JAHAZI NA MASHAUZI CLASSIC

Hatimaye wakurugenzi wa Mashauzi Classic na Jahazi Modern Taarab, wamefanya mkutano na waandishi wa habari na kuthibitisha kuwepo kwa onyesho la pamoja la makundi hayo yenye nguvu katika muziki wa taarab.
 Onyesho hilo litafanyika mwezi huu Jumapili tarehe 22 ndani ya ukumbi wa Travertine Hotel Magomeni. Mkurugenzi wa Jahazi, Mzee Yussuf na mkurugenzi wa Mashauzi Classic, Isha Ramadhan maarufu kama Isha Mashauzi, wamesema siku hiyo hatumwi mtoto dukani. 
 Wakiongea katika mkutano huo wa...

 

10 years ago

Michuzi

Isha mashauzi apigwa kabali

Isha  Mashauzi akipigwa kabali na 93.7 EFM. Bofya mshale mwekundu umsikie mwenyewe anavyojibu mapigo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Isha Mashauzi anapowabeba Yatima

NI wanamuziki wachache wanaotoka katika kundi na kwenda kufanya kazi pekee (Solo Artist) na kufanikiwa, kwani wengi wao huishia kusikojulikana, lakini wenye kujiamini na kujitambua kipaji alicho nacho katika fani...

 

9 years ago

Bongo5

Music: Isha Mashauzi – Jiamini

isha Mashauzi

Mwimbaji bora wa kike wa taarab Isha Mashauzi, amezidi kudhihirisha kuwa yuko vizuri hata nje ya taarab baada ya kuachia ngoma yake mpya inaitwa “JIAMINI” iliyoko katika miondoko ya zouk rumba.

Studio za Soft Records chini ya producer Pitchou Mechant,

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani