Kituo cha tembo yatima chafunguliwa nchini.
Tanzania imeanzisha kituo cha kwanza cha tembo yatima mjini Arusha.
Kituo hicho kinatarajiwa kuhifadhi watoto wa tembo waliopoteza wazazi wao kutokana na vitendo vya ujangili au sababu nyengine.
Hatua ya serikali ya kuanzisha kituo hicho inakuja baada ya utafiti wa serikali kubaini kuwa Tanzania hupoteza takriban tembo 30 kila siku.
Kituo hicho kinatarajiwa kutoa uangalizi kwa tembo wadogo wapatao 40, na watahifadhiwa mpaka watakapokuwa wakubwa na hatimae kurudishwa katika mazingira yao...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili05 Jun
Kituo cha tembo yatima chafunguliwa TZ
10 years ago
Mwananchi22 Jul
Kituo cha kulea tembo yatima kina tija kwa Taifa?
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/MjaBUKKxWIVyxYiyosUUIEMnzHoh-jS1CpLaqwk6CYe6DiiCmZd48VnyUCpQ0iSGaG13jbSXEri89SOr2b9vtVsGNS3lpdps/GTY_freedom_tower_world_trade_center_sk_140320_4x3_992.jpg?width=650)
KITUO CHA BIASHARA CHA KIMATAIFA (WTC) CHAFUNGULIWA RASMI NEW YORK, MAREKANI
9 years ago
BBCSwahili03 Sep
Kituo cha treni chafunguliwa Budapest
11 years ago
Michuzi02 Jun
DKT. BILAL AZINDUA KITUO CHA TIBA, UCHUNGUZI NA MAFUNZO YA MAGONJWA YA SARATANI, MATUMBO NA INI UKANDA WA AFRIKA MASHARIKI CHAFUNGULIWA MUHIMBILI
10 years ago
MichuziKITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA CHA AMANI ORPHANAGE CENTER CHA POKEA ZAWADI NA MSAADA WA MAANDALIZI YA KRISMASI KUTOKA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF.
10 years ago
CloudsFM29 Dec
JOKATE ATOA MISAADA KITUO CHA KULEA YATIMA CHA EXTREME
Miss Tanzania namba mbili 2006, mwanamitindo na mcheza filamu, Jokate Mwegello, akicheza na mmoja wa watoto wanaolelewa katika Kituo cha Yatima cha Extrem cha Tandale kwa Bi Mwamvua Jumanne, alipotembelea kuwapa zawadi ya Sikukuu ya Krismas na Mwaka Mpya. Zawadi alizotoa ni mchele, unga wa sembe, sabuni na ndala zenye nembo za Kidoti.
Jokate Mwegello, akicheza na mmoja wa watoto wanaolelewa katika Kituo cha Yatima cha Extrem cha Tandale kwa Bi Mwamvua Jumanne.
10 years ago
VijimamboCRDB TAWI LA MERU WATEMBELEA KITUO CHA YATIMA ST JOSEPH CHA MOSHONO ARUSHA