Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) chatakiwa kuimarishwa kiushindani
Uongozi wa Mamlaka za Viwanja vya Ndege Tanzania wameshauriwa kuwa makini katika ujenzi unaoendelea wa jengo la kutua na kupaa ndege katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyere (JNIA).
Ujenzi huo unaotarajiwa kuongeza uwezo wa uwanja wa mara tatu zaidi umejikita katika sehemu za maegesho ya magari, sehemu ya abiria kupumzika, sehemu za abiria kupandia na kushuka kwenye ndege, ofisi za uhamiaji na huduma zingine muhimu.
Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka hiyo Bw. Suleiman S. Suleiman...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboTAA yashauriwa kuimarisha kiushindani Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere JNIA.
9 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA WIZARA YA UCHUKUZI AZINDUA SAFARI ZA NDEGE YA SHIRIKA LA NDEGE LA ETIHAD LA NCHINI ABU DHABI LEO MCHANA KATIKA KIWANJA CHA NDEGE CHA KIMATAIFA CHA MWL. JULIUS NYERERE (JNIA)
9 years ago
MichuziJengo la tatu la abiria katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere lakamilika asilimia 65
10 years ago
MichuziMh. Mwakwembe azindua magari 54 ya Chama cha Madereva taxi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA)
10 years ago
MichuziTIMU YA WAATAALAM KUTOKA WIZARA YA UCHUKUZI WATEMBELEA KITUO CHA HALI YA HEWA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA JULIUS NYERERE (JNIA) NA UJENZI WA JENGO LA TATU LA ABIRIA (TERMINAL III)
10 years ago
Michuzitimu ya wataalam kutoka wizara ya uchukuzi watembelea kituo cha uongozaji ndege Uwanja wa ndege wa Julius Nyerere (JNIA)
9 years ago
Dewji Blog15 Oct
Kampuni ya TRASWORLD yazindua huduma zake katika kiwanja cha ndege cha Kimataifa cha Abeid Amani Karume Zanzibar
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akikata utepe kuzindua huduma za Kampuni ya Trasworld Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, (kulia) Mwenyekiti wa Transworld Abdallah Al Suleimany na (kushoto) Naibu Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Issa Haji Ussi Gavu.
Makamu wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi akiteremka kwenye ndege ya mizigo ya Astral baada ya uzinduzi wa Kampuni ya Trasworld.
Meneja Mkuu wa Kampuni ya Trasworld hapa Zanzibar Hassan...
10 years ago
MichuziWATAALAM KUTOKA WIZARA YA UCHUKUZI WATEMBEMBELEA KAMPUNI YA KUHUDUMIA MIZIGO, NDEGE NA ABIRIA YA SWISSPORT INAYOTOA HUDUMA KATIKA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA JULIUS NYERERE (JNIA)
5 years ago
MichuziKWANDIKWA AAGIZA UBORA KIWANJA CHA NDEGE CHA SONGWE
Meneja wa Kiwanja cha Ndege cha Songwe, Bw. Pius Kazeze, akitoa maelezo kwa Naibu Waziri wa Ujenzi Elias Kwandikwa, wakati Naibu Waziri huyo alipokuwa akikagua hatua za uboreshaji wa kiwanja hicho, mkoani Mbeya Naibu Waziri wa Ujenzi, Elias Kwandikwa, akitoka kukagua eneo linalongezwa kwa ajili ya usalama wa ndege zinazoruka na kutua katika Kiwanja cha Ndege cha Songwe, mkoani MbeyaMuonekano wa jengo la abiria la sasa linalotumika, jengo jipya la abiria linalojengwa...