Mh. Mwakwembe azindua magari 54 ya Chama cha Madereva taxi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA)
Waziri Mwakyembe, Mkurugenzi wa kiwanja cha JNIA, Bw. Moses Malaki (katikati)na Katibu wa Chama cha Madereva taxi, Antipas George Missana ( wa pili kushoto) wakikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa sehemu ya magari 54 yenye thamani ya sh. milioni 840 yaliyonunuliwa na Chama cha Madereva taxi wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) kwa mkopo kutoka Equity Bank kuboresha usafiri.
Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe akizungumza na wanachama wa Chama cha Ushirika...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA WIZARA YA UCHUKUZI AZINDUA SAFARI ZA NDEGE YA SHIRIKA LA NDEGE LA ETIHAD LA NCHINI ABU DHABI LEO MCHANA KATIKA KIWANJA CHA NDEGE CHA KIMATAIFA CHA MWL. JULIUS NYERERE (JNIA)
10 years ago
MichuziKiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) chatakiwa kuimarishwa kiushindani
Ujenzi huo unaotarajiwa kuongeza uwezo wa uwanja wa mara tatu zaidi umejikita katika sehemu za maegesho ya magari, sehemu ya abiria kupumzika, sehemu za abiria kupandia na kushuka kwenye ndege, ofisi za uhamiaji na huduma zingine muhimu.
Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka hiyo Bw. Suleiman S. Suleiman...
10 years ago
VijimamboTAA yashauriwa kuimarisha kiushindani Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere JNIA.
10 years ago
MichuziWATAALAM KUTOKA WIZARA YA UCHUKUZI WATEMBEMBELEA KAMPUNI YA KUHUDUMIA MIZIGO, NDEGE NA ABIRIA YA SWISSPORT INAYOTOA HUDUMA KATIKA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA JULIUS NYERERE (JNIA)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-UXfJhnELW4o/VLoCjb0i0gI/AAAAAAAG96s/YT5J6tq9E8c/s72-c/unnamed%2B(3).jpg)
TIMU YA WAATAALAM KUTOKA WIZARA YA UCHUKUZI WATEMBELEA KITUO CHA HALI YA HEWA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA JULIUS NYERERE (JNIA) NA UJENZI WA JENGO LA TATU LA ABIRIA (TERMINAL III)
![](http://2.bp.blogspot.com/-UXfJhnELW4o/VLoCjb0i0gI/AAAAAAAG96s/YT5J6tq9E8c/s1600/unnamed%2B(3).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-AQ41RnqHmgw/VLoCjnVqVBI/AAAAAAAG96w/XI9ySLGKRJI/s1600/unnamed%2B(4).jpg)
10 years ago
Michuzitimu ya wataalam kutoka wizara ya uchukuzi watembelea kituo cha uongozaji ndege Uwanja wa ndege wa Julius Nyerere (JNIA)
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-0Q-RuMCpga8/VlAxvjVmYvI/AAAAAAAIHgc/Kxi4j1rxfzM/s72-c/078d5072-ca01-443a-83c6-36e145da1ea5.jpg)
Jengo la tatu la abiria katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere lakamilika asilimia 65
![](http://3.bp.blogspot.com/-0Q-RuMCpga8/VlAxvjVmYvI/AAAAAAAIHgc/Kxi4j1rxfzM/s640/078d5072-ca01-443a-83c6-36e145da1ea5.jpg)
11 years ago
Michuzi25 Feb
zungu la unga ladakwa uwanja wa ndege wa kimataifa wa julius nyerere dar es salaam
![](https://3.bp.blogspot.com/-9DbLzcZqnzw/UwtyFbb9D9I/AAAAAAAAPjU/s_AL9XyaXVY/s640/Alexamdrios+Atanasios.jpg)
Habari zinasema mzungu huyo alikamatwa wakati wa upekuzi, akijiandaa kupanda ndege ya Swiss air kueleke jijini Zurich, Uswisi.
Madawa hayo yalikutwa yakiwa yamefichwa kwenye “sakafu” ya begi lake baada ya mitambo ya kisasasa yaupekuzi, kugundua kuwa kulikuwa na...
11 years ago
Michuzi09 Jul
mwandani wa mradi wa ujenzi wa jengo la tatu la abiria uwanja wa ndege wa kimataifa wa julius nyerere (New Terminal III Project)