Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KIWANJA KIPYA CHA MAISHA CLUB BASEMENT CHAANZA KUPIGA MZIGO USIKU HUU

 Kiwanja  kipya cha Maraha kifahamikacho kwa jila la Maisha Club Basement kimeanza kupiga kazi usiku huu kwenye jengo jipya la LAPF, Makumbusho jijini Dar es salaam. Kiwanja hiki ambacho ni cha kisasa kabisa ni mbadala wa Maisha Club iliyokuwepo Masaki, hivyo sasa kila kitu kinapatikana hapa. Ndani ya Kiwanja hicho maalum kwa kuruka majoka kunaonekana namna hii.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI, PAUL MAKONDA IDD MOSI KUZINDUA CLUB MPYA YA MAISHA BASEMENT ZAMANI NEW MAISHA CLUB

 Mratibu wa Burudani wa Club mpya ya 'Maisha Basement' zamani New Club Maisha pamoja na Maisha Club za Tanzania, Hemed Kavu (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu uzinduzi wa Club hiyo utakaofanyika Idd Mosi katika Jengo la LAPF Towers lililopo mkabala na Makumbusho ya Taifa eneo la Kijitonyama ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda. Kulia ni Meneja Mkuu wa Miasha Club za Tanzania, Allan Ngugi na...

 

10 years ago

Dewji Blog

DC Makonda Idd Mosi kuzindua Club mpya ya Maisha Basement zamani New Maisha Club

Mratibu wa Burudani wa Club mpya ya ‘Maisha Basement’ zamani New Club Maisha, Hemed Kavu (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu uzinduzi wa Club hiyo utakaofanyika Idd Mosi katika Jengo la LAPF Towers lililopo mkabala na Makumbusho ya Taifa eneo la Kijitonyama ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda. Kulia ni Meneja Mkuu wa Club hiyo, Allan Ngugi na Meneja Uendeshaji wa Sam Kaliuki.

  Mratibu...

 

10 years ago

Michuzi

MAKONDA KUZINDUA CLUB MPYA YA MAISHA BASEMENT ZAMANI NEW MAISHA CLUB

 Mratibu wa Burudani wa Club mpya ya 'Maisha Basement' zamani New Club Maisha, Hemed Kavu (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu uzinduzi wa Club hiyo utakaofanyika Idd Mosi katika Jengo la LAPF Towers lililopo mkabala na Makumbusho ya Taifa eneo la Kijitonyama ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda. Kulia ni Meneja Mkuu wa Club hiyo, Allan Ngugi na Meneja Uendeshaji wa Sam Kaliuki.  Mratibu wa...

 

10 years ago

GPL

KITUO KIPYA CHA DALADALA CHAANZA KAZI DAR

Abiria wakipanda daladala. Askari wa usalaama…

 

10 years ago

GPL

SKYLIGHT BAND KUWASHA MOTO LEO KIWANJA KIPYA CHA LUKAS PUB

Skylight Band ni mwendo wa kutoa raha sana tukutane Ijumaa hii ndani ya kiota cha Lukas Pub Masaki jijini Dar kwa kuburudika na bendi hii. Waimbaji wa Skylight Band wakiendelea kutoa burudani ya kukata na shoka kwenye stageni na moja ya nyimbo zao. Joniko Flower naye katika muziki wa live hashikiki kwa sauti,viuno mpaka pumzi ni…

 

10 years ago

Michuzi

MKUU WA MAJESHI TANZANIA JENERALI DAVIS MWAMUNYANGE AFUNGUA KIWANJA KIPYA CHA MICHEZO

 Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Davis Mwamunyange  akifungua kiwanja kipya cha Michezo kitakachotumika kwa ajili ya michezo ya Majeshi ya Shirikisho la Jumuia ya Afrika Mashariki, kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Abdalla Mwinyi na kushoto ni Mkuu wa Brigedi ya Nyuki, Brigedia Jenerali Sharif  Sheikh Othman. Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Davis Mwamunyange akimpongeza Mkandarasi wa kiwanja hicho kutoka Kampuni ya M. S Maya Heardwere ya Zanzibar Bw. Abdallah...

 

10 years ago

Michuzi

KIOTA KIPYA CHA MARAHA CHA UEFA GOO NIGHT CLUB KUZINDULIWA MKESHA WA KRISMAS

3Kiwanja kipya cha maraha Uefa Goo Night Club kinatarajiwa kuzinduliwa mkesha wa sikukuu ya Krismas jijini Dar es salaam Kiwanja hiki ni cha Kisasa kiko maeneo ya Ukonga Mombasa Barabara ya kuelekea Moshi Baa Karibu na njia panda ya Mahitamita 200 kutoka barabara kuu iendayo Pugu, siku ya mkesha wa Krismas burudani kibao zimeandaliwa na na kiko katika hatua za mwisho mwisho kukamilisha kila kitu ili kuwapa burudani wateja wake ikiwa ni pamoja na Ligi mbalimbali za ulaya, muziki wa kisasa kama...

 

10 years ago

Dewji Blog

Skylight Band ndio habari ya mujini kwa sasa, Karibuni kiwanja kipya cha Lukas Pub tusebeneke leo

 Skylight Band ni mwendo wa kutoa raha sana tukutane Ijumaa hii ndani ya kiota cha Lukas Pub  Masaki jijini Dar kwa kuburudika na band hii  Waimbaji wa Skylight Band wakiendelea kutoa burudani ya kukata na shoka kwenye stageni na  moja ya nyimbo zao  Joniko Flower naye katika muziki wa live hashikiki kwa sauti,viuno mpaka pumzi ni hatareeeee         

KUNAKO Nigeria Flavour….. Sam Mapenzi akitoa burudani huku akisindikizwa na wanamziki wenzake waliokuwa wakimpa support ya nguvu kwenye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani