Komla Dumor afanyiwa ibada Maalum
Familia, jamaa, marafiki pamoja na wafanyakazi wenza wa marehemu Komla Dumor, wanakusanyika hii leo mjini London kwa ibaada maalum
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili10 Dec
Mandela afanyiwa ibada Maalum
Maelfu walijumuika na viongozi zaidi ya tisini mjini Johannesburg kwa ibada hiyo maalum
11 years ago
BBCSwahili20 Jan
Buriani Komla Dumor
Mwandishi na mtangazaji mashuhuri wa BBC Komla Dumor ameaga dunia. Komla alifariki Jumamosi kutokana na mshtuko wa Moyo. Wengi walimuenzi na watamkumbuka kwa kazi yake nzuri
11 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/72392000/jpg/_72392620_72377445.jpg)
11 years ago
BBCSwahili24 Feb
Ghana yamuaga Komla Dumor
Shughuli za mazishi ya rafiki yetu na mtangazaji mwenzetu Komla Dumor, aliyefariki dunia mwezi uliopita zilifanyika Ghana mwishoni mwa wiki
10 years ago
BBCSwahili20 Jan
BBC kumuenzi Komla Dumor .
BBC yaanzisha tuzo za kumuenzi aliyekuwa mtangazaji wake Komla Dumor,mwaka mmoja baada ya kifo chake .
11 years ago
BBCSwahili23 Jan
11 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/72406000/jpg/_72406612_komla3.jpg)
10 years ago
BBCSwahili19 Jan
BBC yazindua tuzo ya Komla Dumor
Shirika la habari la BBC linazindua tuzo kwa heshima ya aliyekuwa mtangazaji wake Komla Dumor, mwaka mmoja baada ya kifo chake akiwa na umri wa miaka 41.
11 years ago
Mwananchi26 Jan
Komla Dumor, nyota ya Afrika iliyozama
“Nakifananisha kifo cha Komla Dumor, kuwa sawa na anguko la mbuyu uliomea katika ardhi yenye rutuba. Sikutarajia kama unaweza kuondoka mapema hivyo, ewe nyota angavu:
Komla Dumor (41) alikuwa sura na sauti ya Afrika, kijana mchapakazi, mwenye weledi, aliyejaaliwa uthubutu.â€
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania