Mandela afanyiwa ibada Maalum
Maelfu walijumuika na viongozi zaidi ya tisini mjini Johannesburg kwa ibada hiyo maalum
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili01 Feb
Komla Dumor afanyiwa ibada Maalum
Familia, jamaa, marafiki pamoja na wafanyakazi wenza wa marehemu Komla Dumor, wanakusanyika hii leo mjini London kwa ibaada maalum
11 years ago
BBCSwahili11 Dec
Ibada maalum ya Mandela
Maelfu walikusanyika mjini Johannesburg kwa ibada maalum ya mandela kama njia ya kuonyesha heshima kwa shujaa huyo wa Afrika
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Y-YDPOkQFC4/U3owcuNYOJI/AAAAAAAFjs0/PfpuBbRPCaQ/s72-c/unnamed+(18).jpg)
Ibada Maalum ya Miaka Mitano ya Ibada ya Kiswahili na Kusimikwa Mchungaji Ipyana Mwakabonga
![](http://4.bp.blogspot.com/-Y-YDPOkQFC4/U3owcuNYOJI/AAAAAAAFjs0/PfpuBbRPCaQ/s1600/unnamed+(18).jpg)
TAFAKARI: Neno la leo ni mtihani mkubwa sana manake Bwana Yesu anatuamuru kuwa tuwapende maadui zetu na kuwaombea wale ambao wanatuonea. Kiubinadamu ni kawaida kutaka kulipiza mabaya kwa mabaya. Hiyo ndiyo asili yetu. Lakini sisi Wakristo tunatakiwa maisha yetu yawe ni...
11 years ago
Michuzi16 May
Ibada Maalum ya Miaka Mitano ya Ibada ya Kiswahili na Kusimikwa Mchungaji Ipyana Mwakabonga - Juni 1, 2014 Kuanzia 3:30pm
![](https://1.bp.blogspot.com/-mOass4AqaZU/U2d7Y1z3-_I/AAAAAAAAAW4/n6Llkx8IWnw/s1600/IYK_Swahili_Invitation_5yr.jpg)
9 years ago
BBCSwahili06 Sep
Mtoto aliyekufa afanyiwa ibada Canada
Ibada ya makumbusho imefanyika nchini Canada ya mtoto wa umri wa miaka mitatu kutoka Syria ambaye alikufa katika ufuo wa Uturuki
11 years ago
Mwananchi09 Dec
Ibada maalumu ya Mandela
Afrika Kusini, jana ilitawaliwa na ibada na maombi yaliyofanyika katika makanisa mbalimbali kuliombea taifa, baada ya kifo cha Rais wa Kwanza mzalendo, Nelson Mandela.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BpcxhYIbWSZGZyD-qchwt4ThoDRKnlN2xiVX11R6vv5Vwe9JMl9pygJ7ESUONXyvJIPBMu*u6eFVp3r8iI1k05C6rfMzXimD/madiba2.jpg?width=650)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/6vIMLmuhUcrjXI*vJZf-Pfv-v7dFzjGMWf1dWYQeGfXV0c1M-AkgP380GFSqURNvMRCJh1f9r6lKQKpiEVrg5bBx7J3Zphbo/MKALIMANISAUZI1.jpg)
MKALIMANI IBADA YA MANDELA AOMBA RADHI, AJIITA BINGWA
Thamsanqa Jantjie akiwa 'beneti' na Rais Barack Obama wa Marekani siku ya ibada ya Mandela.
Thamsanqa Jantjie. MKALIMANI wa ishara za viziwi aliyeshambuliwa wakati wa ibada ya hayati Nelson Mandela amejitetea na kusema anaifahamu kazi yake vyema. Mtu huyo, Thamsanqa Jantjie, alisema jana ana ujuzi mkubwa wa kazi hiyo na ameifanya katika matukio mengine makubwa nchini humo. “Nimeifanya kazi hii kwa miaka mingi,â€...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BpcxhYIbWSbMI6OY0WWIc2VyFcsGV5boMPwOfEHjyRrLsmQquh5EWF*cySa7Jf3b1UWnHqc7kjICp-*PKzR06h8RQAFiQ3oY/Nelson_Mandela_MGN.1372021643.jpg)
IBADA YA KITAIFA AFRIKA KUSINI KUMUAGA MANDELA LEO
Marehemu Nelson Rolihlahla Mandela enzi za uhai wake. Leo inafanyika ibada kubwa ya kitaifa Uwanja wa FNB, Johannesburg kumuaga Nelson Mandela ambapo viongozi mbalimbali watahudhuria ibada hiyo wakiwemo Rais Barrack Obama na mkewe Michelle, Rais Jakaya Kikwete, Rais Robert Mugabe na mkewe, Rais Uhuru Kenyatta na mkewe, Rais Yoweri Museveni, Rais Joyce Banda na wengineo wengi. ...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania