Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKALIMANI IBADA YA MANDELA AOMBA RADHI, AJIITA BINGWA

Thamsanqa Jantjie akiwa 'beneti' na Rais Barack Obama wa Marekani siku ya ibada ya Mandela.
Thamsanqa Jantjie. MKALIMANI wa ishara za viziwi aliyeshambuliwa wakati wa ibada ya hayati Nelson Mandela amejitetea na kusema anaifahamu kazi yake vyema. Mtu huyo, Thamsanqa Jantjie, alisema jana ana ujuzi mkubwa wa kazi hiyo na ameifanya katika matukio mengine makubwa nchini humo. “Nimeifanya kazi hii kwa miaka mingi,”...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

‘SAUZI’ YAMTAFUTA MKALIMANI FEKI WA VIZIWI KWENYE IBADA YA KUMKUMBUKA MANDELA

Rais wa Marekani,  Barack Obama, akihutubia karibu na mkalimani feki kwenye ibada ya kumkumbuka hayati Mandela. Mkalimani feki (kulia) akiwa kazini. Kushoto ni Rais wa Marekanai, Barrack Obama wakati akihutubia. (PICHA NA…

 

11 years ago

BBCSwahili

Mkalimani wa mazishi ya Mandela alazwa

Mkalimani wa lugha ya ishara katika mazishi ya kitaifa,ya Nelson Mandela,amelazwa katika hospitali ya magonjwa ya akili.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mkalimani wa mazishi ya Mandela aajiriwa

Mkalimani katika mazishi ya Mandela apata ajira

 

11 years ago

Habarileo

Mkalimani wa Mandela alazwa kwa uchizi

Mkalimani Thamsanqa JantjieMKALIMANI mtata katika ibada maalumu ya kumkumbuka kiongozi wa kwanza mweusi wa Afrika Kusini, Nelson Mandela katika uwanja wa FNB jijini Johannesburg Desemba 10 amelazwa hospitalini kwa matatizo ya akili.

 

9 years ago

GPL

ROSE MUHANDO AOMBA RADHI!

Brighton Masalu MWIMBAJI nyota wa nyimbo za Injili, Rose Muhando, amewaomba radhi watu wote aliowahi kuwakwaza, ikiwa ni pamoja na kuchukua fedha za kushiriki onesho, lakini akashindwa kufanya hivyo, akidai ni ubinadamu. ....Soma zaidi====>http://bit.ly/1PyG6EX

 

11 years ago

BBCSwahili

Mmiliki wa clippers aomba radhi

Mmiliki wa klabu ya mpira wa vikapu ya Los Angeles Clippers, Donald Sterling, ameomba radhi kwa matamshi yake ya kibaguzi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mkuu wa QPR aomba radhi

Mwenyekiti wa QPR ameomba msamaha kwa misuko suko inayoshuhudiwa katika klabu hiyo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Tsarnaev aomba radhi waathirika .

Dzhokhar Tsarnaev aliyefanya shambulio la bomu katika mbio za marathon mjini Boston ameomba radhi kwa waathirika wa tukio hilo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wayne Rooney aomba radhi

Golikipa wa timu ya Preston Thorsten Stuckmann ameeleza kuwa mshambuliaji Wayne Rooney alimuomba msamaha baada ya kuanguka katika eneo la hatari na kupata mkwaju wa penati.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani