Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KORAMU YATIMIA BUNGENI, MJADALA WA KATIBA MPYA WAENDELEA, WENGI WA KUNDI LA 2O1 WAREJEA MJENGONI

Wakati bunge Maalum la Katiba linaendelea na kikao leo, baadhi ya wajumbe waliokuwa wanasemekana kuwa ni wanachama wa umoja wa kinachoitwa katiba ya wananchi (UKAWA) wamejitokeza na baadhi yao kukanusha kuunga mkono umoja huo. Mjumbe wa Bunge la Katiba, Mhe.  Ezekiel Oluoch akiingia jana kwenye  kikao cha Bunge Maalum la Katiba  mjini Dodoma. Mhe. Uluoch, ambaye pia ni naibu katibu mkuu wa Chama cha Walimu...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MWENYEKITI SITTA ASEMA MJADALA UNAENDELEA WAKATI MHE EZEKIEL OLUOCH AREJEA BUNGENI AKITANGAZA HANA KUNDI

Wakati bunge Maalum la Katiba linaendelea na kikao leo,  baadhi ya wajumbe waliokuwa wanasemekana kuwa ni wanachama wa umoja wa kinachoitwa katiba ya wananchi (UKAWA) wamejitokeza  na baadhi yao kukanusha kuunga mkono umoja huo. Mmoja wao ni Mhe Ezekiel Oluoch ambaye  alikuwa anadaiwa  kuwa miongoni mwa WANA UKAWA aliingia Bungeni jana na kukana kuhusika na umoja huo  na kuongeza kuwa yeye hana kundi lolote ndani ya bunge, na kwamba ataendelea na kazi ya aliyoteuliwa kuifanya.  Mjumbe wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

MJADALA WA KATIBA MPYA: Asasi za kiraia kuelimisha jamii kwa kugawa CD, flash za Katiba

BAADA ya Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar na hatimaye Tanzania iliyotokana na muungano wa nchi hizo mwaka 1964, wananchi hawakuwahi kupewa fursa ya kushiriki katika utungaji wa Katiba ya nchi....

 

11 years ago

Habarileo

Watetea mjadala wa Katiba mpya nje ya Bunge

MJADALA kuhusu Rasimu ya Katiba mpya nje ya bunge umetajwa kuwa ni muhimu na unasaidia wajumbe wa Bunge Maalumu kujadili kwa upana na kuweka hoja vizuri au kuzibadilisha.

 

11 years ago

Mwananchi

Wengi waigunia Katiba Mpya

Saa 24 baada ya Rais Jakaya Kikwete na Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein kukabidhiwa Katiba Inayopendekezwa, makundi mbalimbali ya watu yameonyesha wasiwasi kuhusu hatima ya mchakato huo kwa maelezo kwamba haijabeba maoni ya wananchi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Siioni Katiba mpya, nasubiri ngumi bungeni

NIMESOMA majina 201 yaliyoteuliwa na Rais Jakaya Kikwete kuunda Bunge Maalumu ya Katiba, nimebaini uwepo wa safari ndefu kufikia kile wengi wetu tulichokuwa tukitarajia. Bunge Maalumu la Katiba ndilo litakalopitia...

 

9 years ago

BBCSwahili

Mjadala waendelea mkutano wa Parir

Waziri wa mambo ya nje wa Ufaransa, Laurent Fabius, amewasilisha rasimu ya mkataba kwenye mkutano mjini Paris

 

11 years ago

Michuzi

RASIMU YA KATIBA MPYA ILIYOPENDEKEZWA KUWASILISHWA BUNGENI SEPTEMBA 24 MWAKA HUU

Na Benedict Liwenga na Magreth Kinabo.
RASIMU ya Katiba  Mpya  iliyopendekezwa inatarajiwa  kuwasilishwa  katika Bunge Maalum la Katiba Septemba 24, mwaka huu.
Mabadiliko hayo yametangazwa leo jioni na Katibu wa Bunge Maalum la Katiba, Yahya Khamis Hamad wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake.
Aidha Katibu huyo amesema uamuzi wa mabadiliko hayo, umetokana na kufanyika kikao baina ya Kamati ya Uongozi wa Bunge hilo na Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi. 
Hata hivyo Katibu...

 

11 years ago

Dewji Blog

Wajumbe Kundi la 201 watoa tamko dhidi ya wanaolichafua Bunge Maalum la Katiba na Wajumbe wa kundi hilo

PIX 1

Askofu Amos Muhagachi akitoa tamko juu ya tuhuma mbalimbali dhidi ya kundi la 201 la wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba jana 03 Septemba, 2014 katika Ukumbi wa Spika, Mjini Dodoma.

Na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma.

WAWAKILISHI wa Taasisi za dini wa Bunge Maalum la Katiba toka wajumbe 201 wametoa tamko lao dhidi ya tuhuma mbalimbali zinazoendelea katika kulichafua Bunge hilo ikiwemo baadhi ya wajumbe wa kundi hilo wakituhumiwa kudaiwa kupewa rushwa.

Tamko hilo limetolewa jana 03 Septemba,...

 

11 years ago

Michuzi

Mkutano wa kundi namba 1 la nchi za Afrika- Benki ya Dunia waendelea leo

Mkutano wa kundi namba 1 la nchi za Afrika hufanyika kila mwaka wakati wa mikutani ya Benki ya Dunia na IMF na unahusisha kundi la nchi za Benki ya Dunia ambazo zinapata mikopo nafuu kutoka IDA. IDA ni shirika au mfuko wa maendeleo kwa ajili ya kutoa mikopo nafuu kwa nchi zinazoendelea kwa kundi la Benki ya Dunia.
Katika mikutano hii wanazungumzia zaidi masuala ya sera za kibenki na mambo ya utawala kama vile ajira , uchaguzi wa wenyeviti wa mikutano hiyo na kamati mbalimbali. Mkutano huo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani