KOTO TOURE ATUNDIKA DARUGA MECHI ZA IVORY COAST
Mchezaji Koto Toure anayekipiga Uingereza na timu ya Liverpool ambaye siku ya Jumapili aliisaidia timu yake ya Taifa kuchukua ubingwa wa Afrika Cup of Nation baada ya kuifungia timu hiyo moja ya mkwaju wa penati baada ya timu hiyo ya Ivory Coast na Ghana kutoka suluhu ndani ya dakika 120 na baadae kupigiana penati 11 katika mechi ya fainali. Koto Toure ametangaza rasmi mechi hiyo ndio ilikua ya mwisho kuchezea Ivory Coast na sasa anapisha wachezaji vijana kuendelea kuchukua nafasi yake na...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/81994000/jpg/_81994407_yayaivoryap1.jpg)
Toure considering Ivory Coast future
9 years ago
BBC![](http://c.files.bbci.co.uk/152B5/production/_85490768_yaya_toure_iv_3_getty.jpg)
Ivory Coast still 'counting on' Toure
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/78825000/jpg/_78825260_102406230.jpg)
Ivory Coast recall Toure and Zokora
9 years ago
BBC![](http://c.files.bbci.co.uk/1654B/production/_87176419_gettyimages-468035198.jpg)
Toure confirms Ivory Coast return
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/79450000/jpg/_79450628_kolo.jpg)
Toure set to end Ivory Coast career
9 years ago
BBC![](http://c.files.bbci.co.uk/AA3E/production/_85228534_462663534.jpg)
Yaya Toure asks for Ivory Coast rest
10 years ago
BBCSwahili29 Aug
Ebola:Ivory Coast kususia mechi
9 years ago
Dewji Blog12 Nov
Ivory Coast kuwakosa Bony, Kalou na Toure katika mchezo wao wa kufuzu kombe la dunia Urusi 2018
Mchezaji wa Ivory Coast, Wilfred Bony
Na Rabi Hume
Timu ya Taifa ya Ivory Coast itakosa huduma ya wachezaji wake watatu muhimu katika mchezo wa kutafuta nafasi ya kucheza kombe la dunia dhidi ya Liberia.
Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Ivory Coast, Michael Dussuyer amewataja wachezaji hao kuwa ni Wilfred Bony, Solomon Kalou na Thomas Toure.
Kocha Dussuyer amesema tayari tayari ameita wachezaji wengine ambao watazipa nafasi zao ambao ni mshambuliaji Roger Assele na beki Arthur Baka ambao...