Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KUMBUKUMBU YA MIAKA 7 YA KIFO CHA MZEE SHAURI TIMOTHEO NATHAN


Mzee Shauri Timoth Nathan  (18/08/1925-18/09/2007)  Sekunde, Dakika, Saa, Siku, Wiki, Mwezi, Mwaka na hatimaye mika saba sasa imetimia tangu Mzee Shauri Timoth Nathan  (18/08/1925-18/09/2007) ututangulie Mbele za haki kama ulivyotutangulia kuja duniani Tarehe 18/08/2025. 
Nimajonzi sana kwetu hasa ukizingatia kuwa uliondoka katika tarehe ambayo kitinda mimba wako Mroki Mroki alizaliwa na ni siku kumi tu baada ya kufunga ndoa Mroki "Father Kidevu".
Unakumbukwa na wengi sana maana...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Kumbukumbu ya kifo miaka 9 ya Mzee Donati Kezirahabi


Ni miaka 9 tangu ulipotangulia katika makazi yako ya milele                                         siku ile ya huzuni 5 Dec 2005.                                                                Tunakumbuka kwa huzuni upendo na uongozi wako katika familia.                  Miongozo na mapenzi makubwa uliyotupa ndio yanayotuwezesha kusimama na kumsifu Bwana kila siku. 
Unakumbukwa sana na mke wako Hidaya Kezirahabi,  watoto wako wapenzi na wajukuu, ndugu, jamaa na marafiki wote.
“Bwana akupatie...

 

9 years ago

Michuzi

KUMBUKUMBU YA KIFO CHA MZEE MANG'ANYA

ITS now 5 yrs Since You left Us On 02/09/2010.Thursday 15:45 Pm!!!!!!
We thought of you with love today,But that is nothing new.We thought about you yesterday.And days before that too.We think of you in silence.We often speak your name.Now all we have is memories.And your picture in a frame.Your memory is our keepsake.With which we'll never part.God has you in his keeping.We have you in our heart.We as family will remember all you taught usWe are hurt but we won't be sadBecause he'll send us...

 

10 years ago

Vijimambo

LEO NI MIAKA 43 YA KUMBUKUMBU YA KIFO CHA KARUME

Leo April 7, 2015 ni kumbukumbu ya kifo cha Rais wa kwanza wa Zanzibar Abeid Aman Karume tangu alipouwawa kwa kupigwa risasi siku kama ya leo mwaka 1872.

 

9 years ago

Michuzi

KUMBUKUMBU YA MIAKA 2 YA KIFO CHA ELIFADHILI MKAZE MNZAVA

KUMBUKUMBU YA MIAKA 2 YA ELIFADHILI MKAZE MNZAVA


Mpendwa mume wangu, leo umetimiza miaka 2 tangu ulipotangulia nyumbani kukaa na Bwana Yesu. 
Tunamshukuru Mungu kwa kutupa sehemu ya maisha yako ambayo yamekuwa ni baraka kubwa kwetu. Tunakukumbuka kwa upendo wako, ukarimu na uwajibikaji wako.


Daima unakumbukwa na mimi mkeo, watoto wako, wakwe zako, wajukuu wako, ndugu na marafiki. Pumzika kwa amani tutaonana tena Mbinguni kwa Baba.


 

11 years ago

Michuzi

KUMBUKUMBU YA MIAKA 20 YA KIFO CHA BW & BI EUSTACE MAKENE

NI MIAKA ISHIRINI IMEPITA TANGU MTUTOKE GHAFLA, WATOTO WENU PAMOJA NA FAMILIA KWA UJUMLA TUNAWAKUMBUKA SANA KILA KUNAPOKUCHA KWA UPENDO MWINGI NA MALEZI MAZURI MLIOTUACHIA.SISI WATOTO WENU, WILBARD, EDWIN, GODWIN, ELVIRA, ELMA NA AVELINA TUNAMUOMBA MUNGU AWAPUMZISHE KWA AMANI. MISA YA KUMBUKUMBU ITAFANYIKA DAR ES SALAAM, PAROKIA YA KIMARA JUMAMOSI TAREHE 12/07/2014.

 

10 years ago

GPL

KUMBUKUMBU YA MIAKA 15 TANGU KIFO CHA MWALIMU NYERERE

Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. WATANZANIA leo tunaadhimisha kumbukumbu ya miaka 15 tangu kufariki kwa muasisi na Rais wa kwanza wa Tanzania, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Mwalimu Nyerere alifariki dunia Oktoba 14, 1999 akiwa nchini Uingereza alipokuwa amelazwa akisumbuliwa na maradhi ya kansa ya damu. Akizindua rasmi maadhimisho ya kumbukumbu hizo jana, Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Kate Kamba alisema kitaifa...

 

9 years ago

Vijimambo

LEO NI MIAKA 16 YA KUMBUKUMBU YA KIFO CHA MWALIMU JULIUS NYERERE

Mwalimu Nyerere alikuwa na uwezo wa kuona mbali, hata alipopingwa baadaye waliompinga walikiri ukweli wa maono yake. 
By Pius Msekwa
Ni dhahiri kwamba Mwalimu Nyerere anakumbukwa kwa mambo mengi ya msingi aliyoyapa kipaumbele wakati wa uongozi wake. Jambo mojawapo alilisema Julai 29 Julai, 1985, kwamba: “Kazi iliyokuwa muhimu kuliko zote kwangu mimi, ilikuwa ni kujenga Taifa lenye umoja kwa msingi wa heshima na usawa wa binadamu”.

Lakini yapo mambo mengine mengi ya uongozi wake ambayo...

 

5 years ago

Michuzi

KUMBUKUMBU YA MIAKA MITANO YA KIFO CHA MWALIMU NOVATI SIMEON RUTAGERUKA


TAREHE 5 - MEI  UMETIMIZA MIAKA MITANO TANGU MWENYEZI MUNGU ALIPOKUTWAA TOKA HAPA DUNIANI.  PAMOJA NA KWAMBA KIMWILI HAUPO NASI, KIROHO TUNAKUKUMBUKA DAIMA.

UNAKUMBUKWA DAIMA NA WATOTO WAKO FLORIDA, ILLUMINATA, LIBERATA, DUNSTAN, JOYCE NA EDWIN PAMOJA NA WAKWE, WAJUKUU, NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI.


IBADA YA MISA YA KUMBUKUMBU YA MAREHEMU MWALIMU RUTAGERUKA ITAADHIMISHWA SIKU YA JUMANNE TAREHE  5 - MEI - 2015, KATIKA KANISA LA MTAKATIFU JOSEPH, DAR-ES-SALAAM, SAA 11.30 JIONI.



BWANA ALITOA, BWANA...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani