Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KUNA MAISHA BAADA YA UCHAGUZI: THE LEGEND 3rd ANNIVERSARY ISUMBA LOUNGE OKTOBA 31, 2015


Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

BABA HAJI: TUKUMBUKE KUNA MAISHA BAADA YA OKTOBA 25

Gabriel Ng’osha
Ukweli mtupu! Msanii wa filamu za Kibongo, Haji Adamu ‘Baba Haji’ amewataka Watanzania wakiwemo wanasiasa kutumia busara katika kipindi hiki cha uchaguzi mkuu kwani bado kuna maisha baada ya uchaguzi utakaofanyika Oktoba, 25. Msanii wa filamu za Kibongo, Haji Adamu ‘Baba Haji’. Akizungumza na Ijumaa Wikienda, wikiendi iliyopita, Baba Haji alifunguka:
“Uchaguzi wa mwaka...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kuna maisha baada ya uchaguzi

VURUGU na visa kwenye chaguzi mbalimbali zinazotokea hapa nchini hivi sasa vimeanza kuonekana ni sehemu ya mchakato huo ingawa mambo hayo yanatia doa ukuaji wa demokrasia. Tanzania iliporidhia mfumo wa...

 

9 years ago

Mwananchi

Taifa Kwanza: Kuna maisha baada ya uchaguzi

Bila shaka leo ni siku mojawapo ya  muhimu sana katika historia ya kisiasa kwa siku za karibuni.

 

9 years ago

Bongo5

Wasanii wasisahau kuna maisha baada ya uchaguzi — Quick Rocka

Quick Rocka ametoa ushauri kwa wasanii wenzake kuacha kujihusisha na siasa moja kwa moja na badala yake hata wanapoitwa kwenye kampeni waendelee kutoa burudani ambayo ndio kazi yao. “Sijui kuna nini lakini naona kama wasanii wamejivika siasa ambayo sio kazi yao, kuna wengine ukiwauliza hawana hata kadi ya chama, ila wamejitwisha kitu ambacho sicho, wasisahau […]

 

9 years ago

Mwananchi

Tupige kura, tupokee matokeo kwa amani na utulivu, kuna maisha baada ya uchaguzi

Keshokutwa, Tanzania inafanya Uchaguzi Mkuu wa madiwani, wabunge pamoja na kumpata rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

 

11 years ago

GPL

DJ JD NDANI YA ISUMBA LOUNGE

Kila Ijumaa na Jumamosi karibu Isumba Lounge (Jollies Club) Tule oldies, Old scul, Chacha, Charanga, Soka Rhumba na nyingine kibao. Doors open from 9 pm entry 10,000 Tsh.

 

11 years ago

Michuzi

10 years ago

Michuzi

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani