BABA HAJI: TUKUMBUKE KUNA MAISHA BAADA YA OKTOBA 25
![](http://api.ning.com:80/files/rkTNz-F-b8btt8PeY2r1EjbxodRXomiS2PF-uEJV0dYIVVm0sar1dHr5KtO0nCe43bMLzI8lruP9S*AeYNGNBg8BYErgEWOt/BabaHaji.jpg)
Gabriel Ng’osha Ukweli mtupu! Msanii wa filamu za Kibongo, Haji Adamu ‘Baba Haji’ amewataka Watanzania wakiwemo wanasiasa kutumia busara katika kipindi hiki cha uchaguzi mkuu kwani bado kuna maisha baada ya uchaguzi utakaofanyika Oktoba, 25. Msanii wa filamu za Kibongo, Haji Adamu ‘Baba Haji’. Akizungumza na Ijumaa Wikienda, wikiendi iliyopita, Baba Haji alifunguka: “Uchaguzi wa mwaka...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-TdSFLtXdotc/Vi76I9RgUnI/AAAAAAAIC-U/mke-NA9JEpM/s72-c/unnamed%2B%252826%2529.jpg)
9 years ago
Mtanzania15 Sep
Kala Jeremiah: Tukumbuke maisha baada ya uchaguzi
NA CHRISTOPHER MSEKENA
MSANII wa muziki wa rap nchini, Kala Jeremiah, amewataka wasanii wenzake wanaoshabikia vyama mbalimbali kuelekea kwenye uchaguzi wa Oktoba 25, wakumbuke maisha baada ya uchaguzi huo.
Kala Jeremiah alisema anashangazwa na wanaojibweteka upande mmoja wa chama bila kujua maisha yao yatakuwa vipi baada ya uchaguzi kupita.
“Ni haki kwa kila mtu kuwa na mtu anayemkubali kama rais, lakini ninavyoona kuna baadhi ya watu wana ushabiki unaovuka mipaka, hofu yangu kubwa ni baada...
11 years ago
Tanzania Daima16 Mar
Kuna maisha baada ya uchaguzi
VURUGU na visa kwenye chaguzi mbalimbali zinazotokea hapa nchini hivi sasa vimeanza kuonekana ni sehemu ya mchakato huo ingawa mambo hayo yanatia doa ukuaji wa demokrasia. Tanzania iliporidhia mfumo wa...
9 years ago
Mwananchi25 Oct
Taifa Kwanza: Kuna maisha baada ya uchaguzi
9 years ago
Global Publishers30 Dec
kidoa hongera; kuna maisha baada ya ushindi, jipange!
KWAKO Mshindi wa Shindano la Ijumaa Sexiest Girl, Asha Salum ‘Kidoa’. Mambo vipi, ‘kiraruraru’ cha ushindi kimepungua? Unajisikiaje kuwa mshindi wa shindano hilo maarufu linaloendeshwa kila mwaka na Gazeti la Ijumaa?
Ukitaka kujua afya yangu, mimi ni mzima, naendelea na mishemishe zangu za kila siku. Suala la kukuandikia wewe barua ni moja kati ya majukumu yangu. Nimekuwa nikifanya hivyo kwa mastaa mbalimbali, leo ni zamu yako.
Nasema ni zamu yako kwani nawe sasa ni staa. Kabla ya kuibuka...
9 years ago
Bongo502 Oct
Wasanii wasisahau kuna maisha baada ya uchaguzi — Quick Rocka
9 years ago
Mwananchi23 Oct
Tupige kura, tupokee matokeo kwa amani na utulivu, kuna maisha baada ya uchaguzi
10 years ago
Tanzania Daima30 Aug
Baba Haji: Wasanii tubadilike kifikra
MSANII nguli wa filamu za Bongo, Haji ‘Baba Haji’ amewataka wasanii wa tasnia hiyo kubadili na kucheza sinema zenye kuelimisha jamii kuhusu masuala yanayowakabili badala ya kutengeneza zinazohusu mapenzi mara...