kidoa hongera; kuna maisha baada ya ushindi, jipange!
KWAKO Mshindi wa Shindano la Ijumaa Sexiest Girl, Asha Salum ‘Kidoa’. Mambo vipi, ‘kiraruraru’ cha ushindi kimepungua? Unajisikiaje kuwa mshindi wa shindano hilo maarufu linaloendeshwa kila mwaka na Gazeti la Ijumaa?
Ukitaka kujua afya yangu, mimi ni mzima, naendelea na mishemishe zangu za kila siku. Suala la kukuandikia wewe barua ni moja kati ya majukumu yangu. Nimekuwa nikifanya hivyo kwa mastaa mbalimbali, leo ni zamu yako.
Nasema ni zamu yako kwani nawe sasa ni staa. Kabla ya kuibuka...
Global Publishers
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima16 Mar
Kuna maisha baada ya uchaguzi
VURUGU na visa kwenye chaguzi mbalimbali zinazotokea hapa nchini hivi sasa vimeanza kuonekana ni sehemu ya mchakato huo ingawa mambo hayo yanatia doa ukuaji wa demokrasia. Tanzania iliporidhia mfumo wa...
9 years ago
Mwananchi25 Oct
Taifa Kwanza: Kuna maisha baada ya uchaguzi
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/rkTNz-F-b8btt8PeY2r1EjbxodRXomiS2PF-uEJV0dYIVVm0sar1dHr5KtO0nCe43bMLzI8lruP9S*AeYNGNBg8BYErgEWOt/BabaHaji.jpg)
BABA HAJI: TUKUMBUKE KUNA MAISHA BAADA YA OKTOBA 25
9 years ago
Bongo502 Oct
Wasanii wasisahau kuna maisha baada ya uchaguzi — Quick Rocka
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-TdSFLtXdotc/Vi76I9RgUnI/AAAAAAAIC-U/mke-NA9JEpM/s72-c/unnamed%2B%252826%2529.jpg)
9 years ago
Mwananchi23 Oct
Tupige kura, tupokee matokeo kwa amani na utulivu, kuna maisha baada ya uchaguzi
9 years ago
VijimamboSIKILIZA WALICHOKISEMA STANSLAUS MABULA (CCM) BAADA YA USHINDI PAMOJA NA EZEKIEL WENJE (CHADEMA) BAADA YA KUSHINDWA.
BONYEA PLAY HAPA CHINI KUSIKILIZA
10 years ago
Dewji Blog09 Dec
Ujasiri ulivyotengeneza maisha ya ushindi kwa mama wa nyumbani
Meneja Mauzo wa Serengeti Breweries Ltd Mkoa wa Morogoro Bw.Moses Bartazary (mwenye kofia) akikabidhi Funguo ya Bajaj Limo yenye uwezo wa kubeba abiria saba kwa mshindi wa kwanza wa shindano la Tutoke na Serengeti Bi Rukia Almas ambaye ni mkazi wa Kihonda na mfanyakazi katika Bar ya Kambarage iliyopo manispaa ya Morogoro.
Kwa miaka kadhaa, Rukia Almasi, mkazi wa Morogoro amekuwa akizongwa na uvumi kwamba kushiriki promosheni za bahati nasibu ni kupoteza muda, na kwamba ushindi...