Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kunguru chanzo cha moto jengo la Consolidated Investments Ltd katikati ya jiji

IMG-20150210-WA0082

Hii ni sehemu ambayo inaonyesha moto ulipoanzia, baada ya Kunguru kukanyaga nyaya za umeme zilizopelekea shoti.

Na Andrew Chale, modewjiblog

INAELEZWA kuwa moto mkubwa uliozuka na kuteketeza  mapema leo  jengo la ghorofa mbili Consolidated Investments Ltd ambalo ni mali ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Plot namba 1809/88 katika makutano ya Mtaa wa Mosque  na Libya katikati ya jiji la Dar es Salaam, ni kufuatia Kunguru kugusa nyaya za umeme uliokuwa unaingia kwenye jengo hilo.

Mtandao wa...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

KIOTA KIPYA CHA MARAHA CHAIBUKA KATIKATI YA JIJI LA DAR, UFUNGUZI RASMI JUMAMOSI

 Haya sasa wakazi wa Dar es Salaam, Shughuli imewadia kushudia club ya aina yake hapa nchini. Iko katika jingo jipya la IT PLAZA mtaa wa Ohio Street, inatazamana na PPF TOWERS. Club hii mpya inajulikana kwa jina la HIGH SPIRIT LOUNGE ambayo iko ghorofa ya 11. Parking za kumwaga mpaka underground na ulinzi wa kutosha. Fika ujionee mwenye ufunguzi rasmi Tarehe 21/6/2014 kuanzia saa tano usiku. Ma- DJ watakao kupatia burudani tosha. SOUND MPYAAAAA. Pia Kombe la Dunia utaliona katika luninga...

 

9 years ago

BBCSwahili

Wachunguzi watafuta chanzo cha moto Dubai

Wachunguzi mjini Dubai wanajaribu kubaini chanzo cha moto uliozuka katika hoteli ya kifahari mkesha wa mkesha wa Mwaka Mpya na kujeruhi watu kadha.

 

5 years ago

Michuzi

DC ATOA SIKU SABA KWA MHANDISI WA JIJI LA ARUSHA KUWEKA MAJI KWENYE JENGO LA KITUO CHA AFYA MURIET



Mkuu wa wilaya na kamati ya ulinzi na usalama ya Jiji la Arusha wakikagua madarasa kwenye Shule ya Sekondari Sombetini jijini Arusha Jana picha na Ahmed Mahmoud Arusha.
Mkuu wa wilaya ya Arusha Gabriel Daqarro akiongea mara baada ya kukagua ujenzi wa madarasa kwenye Shule ya Sekondari Sombetini na kutoa siku Saba kwa mhandisi kuhakikisha wanaweka maji kwenye kituo Cha Afya huku akipongeza Ujenzi wa madarasa hayo na kutaka yakamilike kwa wakati picha zote na Ahmed Mahmoud Arusha.

Afisa elimu...

 

10 years ago

Michuzi

MNARA WA SAA KATIKATI YA JIJI LA DAR

 Huu ni moja kati ya Minara ya awali kabisa hapa jijini Dar es salaam.Mwenye kujua zaidi juu ya hisroria ya mnara huu atumwagie vitu hapa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Machinga wang’ang’ania katikati ya jiji

WAFANYABIASHARA ndogo ndogo ‘machinga’ wameendelea kufanya biashara katikati ya Jiji la Dar es Salaam huku wakisema maeneo wanayopewa na serikali si rafiki kwa biashara. Wakizungumza kwa nyakati tofauti jana, walisema...

 

11 years ago

Habarileo

Bodaboda watakaofika katikati ya jiji kunyang’anywa leseni

WAENDESHA bodaboda na 'bajaji'ambao watakiuka agizo la kutoingia katika Eneo la Katikati ya Jiji (CBD), watanyang'anywa leseni zao za biashara, kwa kukiuka sheria. Hayo yameelezwa na Kamishna wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova wakati akizungumza na waandishi wa habari juu ya baadhi ya madereva wanaokiuka agizo hilo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani