Kurudi mawaziri mizigo, ishara ya kusambaratika chama tawala?
“NCHI changa ni sawa na nyumba mpya.” Hii ni kauli ya hayati Mwalimu Julius Nyerere aliyoitoa wakati anazungumza na wanahabari Machi 13, 1995. Kauli hii ni sawa na kusema kuwa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
Raia Mwema16 Dec
Chadema chama tawala Arusha
SAFARI ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa chama tawala mkoani Arusha ilihitimishwa rasmi Jumatatu
Paul Sarwatt
9 years ago
Mzalendo Zanzibar22 Aug
Anguko la makada wa chama tawala
Salma Said, TUNAPOULIZANA sababu “hasa” za anguko la makada wakubwa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika kura za maoni za kutafuta uteuzi wa kugombea uwakilishi na ubunge majimboni Zanzibar, muhimu kwanza tukumbushane ukweli kuwa kisiasa, CCM […]
The post Anguko la makada wa chama tawala appeared first on Mzalendo.net.
11 years ago
Habarileo20 Jan
Kilichowabakiza ‘mawaziri mizigo’
SERIKALI imetoa kauli kuhusu tuhuma zilizokuwa zikiwakabili baadhi ya mawaziri, waliobatizwa jina la ‘Mawaziri Mizigo’, na hatua ambazo zimekuwa zikichukuliwa kukabiliana na kero zilizosababisha wapewe jina hilo.
10 years ago
BBCSwahili25 Jan
Chama tawala chashinda uchaguzi Zambia
10 years ago
BBCSwahili26 Oct
Chama tawala chashinda uchaguzi Botswana
10 years ago
Mtanzania18 Feb
Obasanjo achana kadi ya chama tawala
Mwandishi Wetu na Mashirika ya Habari
RAIS wa zamani wa Nigeria, Olusegun Obasanjo, juzi alichana kadi yake ya uanachama wa chama tawala cha Peoples Democratic (PDP) na kutangaza kuachana na siasa.
Obasanjo aliichana kadi yake hiyo katika makazi yake ya Hilltop huko Abeokuta Kaskazini wakati akizungumza na viongozi wa PDP kutoka kata 11.
Viongozi wa chama hicho katika kata hizo walienda kumwona Obasanjo ili kusafisha hali ya hewa baada ya kuibuka minong’ono kwamba ametimuliwa kutoka chama...
10 years ago
BBCSwahili06 Jan
Watetezi wa chama tawala Burundi wauawa
11 years ago
Tanzania Daima17 Dec
Mawaziri ‘mizigo’ wapata mtetezi
KAMATI Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) imepingwa kwa hatua yake ya kuwaainisha mawaziri wanaoonekana kuwa mizigo ndani ya Baraza la Mawaziri, huku Katibu wa Uenezi na Itikadi Nape Nnauye...
11 years ago
Tanzania Daima27 Jan
Mawaziri mizigo waipasua CCM
HALI si shwari ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kufuatia uteuzi wa mawaziri uliofanywa na Rais Jakaya Kikwete hivi karibuni ambapo sasa makundi mbalimbali yameanza kuibuka na kushambuliana kwa maneno...