Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kutojitambua Kumetua Wasanii — Biggie

MSANII wa filamu wa kiume Lumole Matovolwa ‘Biggie’ amefunguka kwa kusema kuwa sababu kuu ya soko la filamu kudorora ni kutokana na wasanii wengi kutokujitambua, ikiwa ni pamoja na kutokuwa makini katika utengenezaji wa kazi za sinema nchini.

“Kushuka kwa soko la tasnia ya filamu limetokana na sisi wasanii wenyewe kwa kumtegemea mfanyabiashara achukue kazi zetu na atutangaze, pili kukosekana kwa sera ya filamu iliyokaliwa na wenye nchi, tunakuwa maskini kila kukicha,” Biggie.

Aidha Biggie...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo Movies

Kutojitambua Kumetuua Wasanii – Biggie

MSANII wa filamu wa kiume Lumole Matovolwa ‘Biggie’ amefunguka kwa kusema kuwa sababu kuu ya soko la filamu kudorora ni kutokana na wasanii wengi kutokujitambua, ikiwa ni pamoja na kutokuwa makini katika utengenezaji wa kazi za sinema nchini.

“Kushuka kwa soko la tasnia ya filamu limetokana na sisi wasanii wenyewe kwa kumtegemea mfanyabiashara achukue kazi zetu na atutangaze, pili kukosekana kwa sera ya filamu iliyokaliwa na wenye nchi, tunakuwa maskini kila kukicha,” Biggie.

Aidha Biggie...

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Bongo5

New Video: Kimbunga & Biggie Boss – Mke Mtarajiwa

Video mpya kutoka kwa rapper Kimbunga na Biggie Boss wimbo unaitwa “Mke Mtarajiwa” video imeongozwa na Erasto Eraah

 

10 years ago

Michuzi

WASANII WA BONGO MOVIE WAWAOMBEA DUA WASANII WENZAO WALIOFARIKI DUNIA

Mwenyekiti wa Umoja wa Wazazi,Abdallah Bulembo (katikati) akiwasili katika viwanja vya karimjee jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuungana na wasanii kwenye dua maalum ya kuwaombea wasanii waliotangulia mbele ya haki.Kulia ni Mwenyekiti wa Bongo Movie Unity,Steven Mengele maarufu kama Steve Nyerere.Msanii wa vichekesho ambaye pia ni muinjilisti kwa sasa Emanuel Mgaya Maarufu kama Masanja Mkandamizaji akiongoza dua kwa upande wa wakristo huku Msanii Jacob Stephen JB akiwa ameishikilia...

 

10 years ago

Raia Mwema

Ilikuwa hafla ya ghafla kwa ajili ya wasanii kuwaaga wasanii wakongwe

Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.

Hidaya

 

11 years ago

Michuzi

wasanii kutoka Marekani wawasili nchini kuendesha mafunzo kwa wasanii wa tanzania

Ahadi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete kwa wasanii wa Tanzania kuwa atachangia kuinua kiwango cha ujuzi na weledi wao kwa kuwaandalia mafunzo yatayoendeshwa na magwiji wa sanaa kutoka Marekani sasa imetimia.

TerrenceAkizindua Kampeni ya Uzalendo kwa Vijana inayoendeshwa na Muungano wa Wasanii Tanzania kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma mwezi uliopita, Juni 14, 2014, Rais Kikwete aliahidi kuchangia kuinua kiwango cha usanii na weledi wa wasanii wa...

 

10 years ago

Bongo5

AY atoa funzo kwa wasanii wenye malengo ya kufanya collabo na wasanii wa nje

Wewe ni msanii mwenye mawazo ya kuja kufanya collabo na wasanii wa nje ya Tanzania? AY ametoa elimu ndogo kupitia uzoefu wake, wa nini cha kufanya ili collabo yako iwe na maana na ikuletee matunda. “Cha kwanza watu wajue lazima uje na style yako usikae kama wanna be” AY a.k.a ‘mzee wa Zigo’ ameiambia 255 […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani