KUTOKA MAKTABA: TASWIRA YA KIHISTORIA YA GLOBU YA JAMII...
Kutoka kushoto ni: Lwitiko Mwakilasa, Bernard Kakengi, Mapinduzi Mwankemwa, Mzee Kimaro wa JWTZ, Victor Gunze wa TBC, Raymond Mutafungwa. Rupia Lyabandi, Dennis Londo, Ankal Muhidin Issa Michuzi, Fidelis Tungaraza "Mti Mkubwa", Ndesanjo Macha, Magonera Malima na Kisakisa Kiwala.
Taswira hii ni ya Septemba 10, 2005 katika kiota cha maraha kinachopendwa sana na Wabongo cha Chelsea hapo jijini Helsinki Finland. Tukio ni mkusanyiko wa wadau kusherehekea kuanzishwa rasmi kwa Globu ya Jamii...
Michuzi