Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


taswira za jiji la tanga toka kwa mdau wa globu ya jamii

 Ankal pokea taswira hizi kutoka jiji la Tanga ushee na wadau. Hapa ni Tanga Yatch Club ambayo mandhari yake ni tamu kweli kama unavyojionea Mandhari ya ufukwe wa jiji la Tanga Tanga Yatch Club Bustani mwanana inayofadhiliwa na  Mkonge hotel ndiyo Kilimanjaro hotel yetu Karibu Tanga Moja ya shule kongwe na maarufu sana jijini Tanga Gereji yetu kuu.
Globu ya Jamii inamshukuru na kumpongeza sana mdau huyu kwa taswira hizi nzuri. Bahati mbaya hapendi jina lake  lijulikane. Pia tunakaribisha aina...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

salamu za pasaka toka globu ya jamii kwa wadau duniani kote

Uongozi wa Michuzi Media Group na watendaji wote unawatakia wadau wa Globu ya Jamii kila pembe ya dunia PASAKA njema. Furaha yenu ndio furaha yetu, na BWANA awabariki afya njema.

 

10 years ago

Michuzi

KUTOKA MAKTABA: TASWIRA YA KIHISTORIA YA GLOBU YA JAMII...

Kutoka kushoto ni: Lwitiko Mwakilasa, Bernard Kakengi, Mapinduzi Mwankemwa, Mzee Kimaro wa JWTZ, Victor Gunze wa TBC, Raymond Mutafungwa. Rupia Lyabandi, Dennis Londo, Ankal Muhidin Issa Michuzi, Fidelis Tungaraza "Mti Mkubwa", Ndesanjo Macha, Magonera Malima na Kisakisa Kiwala.

Taswira hii ni ya Septemba 10, 2005 katika kiota cha maraha kinachopendwa sana na Wabongo cha Chelsea hapo jijini Helsinki Finland. Tukio ni mkusanyiko wa wadau kusherehekea kuanzishwa rasmi kwa Globu ya Jamii...

 

10 years ago

Michuzi

HOJA YA HAJA TOKA KWA MDAU

Ankal pole na hongera kwa kazi nzuri ya kutupatia taarifa mbali mbali zinazo tuhusu watanzania, napenda kutumia nafasi hii kuomba serikali ya Mh Rais Kikwete iliyopewa dhamana na watanzania kuwaonea huruma watanzania kwakuwapunguzia mzigo mzito wa malipo ya kuingia kwenye maonesho ya SABASABA. 
Nimeenda kwenye maonesho hayo lakini nilichoshuhudia jana nikwamba maonesho hayo yamewalenga wenye kipato cha juu tu na si watanzania wakawaida asilani, kwa sababu inashangaza sana kwa serikali...

 

11 years ago

Michuzi

9 years ago

Michuzi

KUTOKA MAKTABA YA GLOBU YA JAMII

 Abiria wa Treni ya Reli ya kati inayofanya safari zake kati ya Dar es salaam kwenda Kigoma, wakimuangalia mmoja wa abiria mwenzao akiwa nje ya Treni hiyo wakati ikiendelea na safari, kwa madai ya kumkwepa mkaguzi wa tiketi (TT) wa Treni hiyo.Hii ilikuwa ni mwanzoni mwa mwaka 2013.

 

11 years ago

Michuzi

11 years ago

Michuzi

IJUE HISTORIA YA GLOBU YA JAMII (CHANGAMOTO)

Mahojiano na Vijimambo Agosti 2011

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani