KUTOKA UFUKARA MPAKA UBILIONEA

BAADA ya kukulia katika maisha ya kimasikini kwa kipindi kirefu, Mwalimu Bora wa Ujasiriamali nchini Tanzania, Eric James Shigongo anatarajia kuanza semina ya ujasiriamali iitwayo KUTOKA UFUKARA MPAKA UBILIONEA, itakayofanyika Tandale jijini Dar es Salaam. Eric James Shigongo. Lengo kubwa la kufanya semina hiyo ni kumkomboa kijana masikini aishiye Tandale ahame kwenda sehemu ya watu wanajiona kuwa matajiri, Masaki au Oysterbay...
GPL
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili19 Mar
Kutoka maisha ya mtaani mpaka ubunifu wa bidhaa za pembe za ng'ombe
9 years ago
BBCSwahili28 Nov
Uchina kumaliza ufukara 2020
11 years ago
Dewji Blog17 Sep
Safari ya Kinana kutoka Nyamisati mpaka Mafia kwa boti ya kizamani
Ilikiwa ni safari ngumu lakini yenye mafunzo mengi nikiwa nimepanda kwenye boti ya Doria wakati wa msafara wa Katibu mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na msafara wake tukitokea Nyamisati kuelekea Mafia ambapo katibu Mkuu huyo yupo katika ziara ya kikazi ya mikoa ya Pwani, Tanga na Iringa akikagua miradi ya mendeleo inayotekelezwa na serikali kupitia ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 na kuhimiza wananchi kushiriki katika shughuli za maendeleo, Nilipangiwa kupanda boti hii ya mwendo...
11 years ago
BBCSwahili24 Oct
Maziwa yawatoa ufukara wafugaji Senegal
11 years ago
GPL
SAFARI YA KINANA KUTOKA NYAMISATI MPAKA MAFIA KWA BOTI YA KIZAMANI
5 years ago
BBCSwahili28 Jun
Lazarus Chakwera: Kutoka kuongoza makanisa ya Walokole mpaka kushinda Urais wa Malawi
9 years ago
Michuzi
10 years ago
Michuzi
SAFARI YA KUJITAMBULISHA YA MGOMBEA URAIS WA CCM DKT MAGUFULI KUTOKA CHATO MPAKA DODOMA



10 years ago
Vijimambo
SAFARI YA KUJIMBULISHA YA MGOMBEA URAIS WA CCM DKT MAGUFULI KUTOKA CHATO MPAKA DODOMA


