Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uchina kumaliza ufukara 2020

Shirika la habari la taifa la Uchina, linasema kuwa viongozi wanamaliza mkutano wa siku mbili kuhusu namna ya kuondosha umaskini, ifikiapo mwaka wa 2020.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KUTOKA UFUKARA MPAKA UBILIONEA

BAADA ya kukulia katika maisha ya kimasikini kwa kipindi kirefu, Mwalimu Bora wa Ujasiriamali nchini Tanzania, Eric James Shigongo anatarajia kuanza semina ya ujasiriamali iitwayo KUTOKA UFUKARA MPAKA UBILIONEA, itakayofanyika Tandale jijini Dar es Salaam. Eric James Shigongo. Lengo kubwa la kufanya semina hiyo ni kumkomboa kijana masikini aishiye Tandale ahame kwenda sehemu ya watu wanajiona kuwa matajiri, Masaki au Oysterbay...

 

10 years ago

BBCSwahili

Maziwa yawatoa ufukara wafugaji Senegal

Ufugaji wa ngombe wa maziwa nchini Senegal umechangia ustawi wa maisha ya raiya wengi wa mashambani.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mwanahabari wa Ufaransa ‘afukuzwa’ Uchina

Mwanahabari anayetoka Ufaransa amezuiwa kuendelea kufanya kazi nchini Uchina wiki chache baada yake kuandika makala akikosoa sera za taifa hilo.

 

9 years ago

BBCSwahili

Uchina kuunda manowari ya pili

Uchina imesema inaunda manowari ya pili yenye uwezo wa kubeba ndege, ikitumia teknolojia kutoka nchini humo.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mwanaharakati afikisha mahakamani Uchina

Kiongozi wa maandamano ya mwaka jana ya kuunga mkono demokrasia nchini Hong Kong ameshtakiwa kwa makosa ya kukusanyika kiharamu.

 

11 years ago

BBCSwahili

Raia wa Uchina wajeruhiwa Vietnam

Shirika rasmi la habari nchini Uchina Xhinua limesema kuwa serikali imewaondoa zaidi ya raia wake 3000 nchini Vietnam.

 

11 years ago

BBCSwahili

Shambulio la sokoni Uchina lawaua 31

Watu ambao hawajafahamika wameshambulia soko kalika mji wa Urumqi na kuwauwa watu 31 kwa mujibu wa vyomba vya habari vya Uchina

 

11 years ago

BBCSwahili

Uchina na Vietnam wazozania nini?

Vietnam wasema meli ya Uchina imelizamisha maksudi boti la wavuvi wa Vietnam katika eneo tata kusini mwa bahari ya China.

 

9 years ago

BBCSwahili

Maafisa wa Ruihai wakamatwa Uchina

Wamiliki na wakurugenzi wa kampuni ya Ruihai nchini Uchina wakamatwa na polisi kuhusiana na milipuko Tianjin

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani