Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwanaharakati afikisha mahakamani Uchina

Kiongozi wa maandamano ya mwaka jana ya kuunga mkono demokrasia nchini Hong Kong ameshtakiwa kwa makosa ya kukusanyika kiharamu.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Robert Mugabe afikisha miaka 91

Rais Robert Mugabe sasa ni kiongozi mzee kabisa duniani, na amekuwa madarakani kwa miaka 35.

 

11 years ago

BBCSwahili

Rais Mubage afikisha miaka 90

Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe amefikisha miaka 90 leo na kuwa rais mkongwe zaidi barani Afrika. Je ubnajua kama pia ni shabiki wa Chelsea?

 

11 years ago

GPL

Tambwe ni zaidi ya mashine, afikisha mabao 19

Mshambuliaji wa Simba, Amissi Tambwe. Na Sweebert Lukonge
YAWEZEKANA mabeki wa Ligi Kuu Bara wanaposikia jina la mshambuliaji Amissi Tambwe wa Simba wanaweza kuwa wanapatwa na hofu, kwani katika mechi 18 alizocheza kwenye ligi hiyo, amefunga jumla ya mabao 19. Tambwe amefikisha idadi hiyo ya mabao baada ya kutupia mawili katika ushindi wa mabao 3-2 wa timu yake dhidi ya Ruvu Shooting katika kipute kilichofanyika kwenye Uwanja...

 

9 years ago

Mtanzania

Cristiano Ronaldo afikisha mabao 500

Football/Soccer: Spanish "Super Cup" - Atletico de Madrid vs Real MadridMADRID, HISPANIA

NYOTA wa timu ya Real Madrid, Cristiano Ronaldo, amefanikiwa kufikisha mabao 500 katika historia yake ya soka baada ya juzi kuifungia klabu yake mabao mawili katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Malmo.

Mabao hayo ya Ronaldo yametokana na kucheza michezo 753 katika klabu mbalimbali pamoja na timu yake ya taifa ya Ureno.

Hata hivyo, amekuwa ni mchezaji ambaye anaongoza kwa mabao mengi katika michuano ya Ligi ya Mabingwa, huku akiwa na jumla ya mabao 82, akimuacha...

 

9 years ago

GPL

DIAMOND AFIKISHA MASHABIKI MIL. 1 INSTAGRAM

Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz'. STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' amefikisha mashabiki milioni moja katika ukurasa wake wa Instagram. Staa huyo anayekimbiza na ngoma yake ya Nana aliyomshirikisha staa wa muziki kutoka nchini Nigeria, Mr. Flavour amekuwa Mtanzania wa kwanza kufikisha idadi ya mashabiki hao. Diamond akiwa na mwanaye Princess Tiffah. Tovuti hii inachukua fursa hii kumpongeza Diamond a.k.a 'Baba...

 

10 years ago

Mwananchi

‘Happy Birthday’ Mzee Mwinyi, afikisha miaka 90

>Rais mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi maarufu kwa jina la ‘Mzee Ruksa’ leo anatimiza miaka 90. Bado ana nguvu, mchangamfu, mcheshi na anapopata fursa, anawafundisha Watanzania matumizi ya Kiswahili Sanifu na kutoa ushauri juu ya umuhimu wa elimu na kuishi kwa amani na ushirikiano bila ubaguzi kwa misingi ya dini na ukabila.

 

10 years ago

GPL

DIAMOND AFIKISHA FOLLOWERS LAKI TANO INSTAGRAM

Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya, Naseeb Abdul 'Diamond Platinumz'. Muonekano wa Account yake Instagram.…

 

9 years ago

Global Publishers

Baba wa mwigizaji Genevieve Nnaji afikisha miaka 80

image

Mwigizaji Genevieve Nnaji akiwa na baba’ke.

MWIGIZAJI wa kike wa Nigeria, Genevieve Nnaji, jana alijirusha kwa furaha katika sherehe ya baba yake kutimiza miaka 80 siku ya Desemba 15, 2015.

Genevieve aliandika katika ukurasa wake wa mtandao wa Instragram leo asubuhi akimshukuru Mungu kwa kumlinda baba yake hadi leo ambapo alipiga naye picha na baba yake.

Baba yake Genevieve ambaye ni moto wa nne miongoni mwa watoto wanane wa familia yake, alikuwa mhandisi kabla ya kustaafu.

 

10 years ago

Vijimambo

MWIGULU NCHEMBA ADHAMINIWA MKOANI SIMIYU,SASA AFIKISHA MIKOA 14

Mwigulu Nchemba akiwasili Mkoa wa SIMIYU,Wilaya ya Itilima kwaajili ya kutafuta wadhamini wa nafasi ya Urais ndani ya chama cha Mapinduzi.Ndugu Mwigulu Nchemba akikabidhiwa orodha ya wanachama wa CCM waliomdhamini kwenye mchakato wa kugombea nafasi ya Urais ndani ya Chama.Anayekabidhi ni Katibu wa CCM ,Wilaya ya Itilima.Ndugu Mwigulu Nchemba akionesha fomu zilizojazwa na wadhamini wa wilaya ya Itilima ambao ni WanaCCM hai na waliohakikiwa na katibu wilaya wa Chama.Mwigulu Nchemba akitoa neno...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani