Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWIGULU NCHEMBA ADHAMINIWA MKOANI SIMIYU,SASA AFIKISHA MIKOA 14

Mwigulu Nchemba akiwasili Mkoa wa SIMIYU,Wilaya ya Itilima kwaajili ya kutafuta wadhamini wa nafasi ya Urais ndani ya chama cha Mapinduzi.Ndugu Mwigulu Nchemba akikabidhiwa orodha ya wanachama wa CCM waliomdhamini kwenye mchakato wa kugombea nafasi ya Urais ndani ya Chama.Anayekabidhi ni Katibu wa CCM ,Wilaya ya Itilima.Ndugu Mwigulu Nchemba akionesha fomu zilizojazwa na wadhamini wa wilaya ya Itilima ambao ni WanaCCM hai na waliohakikiwa na katibu wilaya wa Chama.Mwigulu Nchemba akitoa neno...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MWIGULU NCHEMBA ALIPOPITA HII LEO ITILIMA MKOANI SIMIYU KUWAOMBEA KURA WAGOMBEA WA CCM


Mh:Mwigulu Nchemba akichambua kuhusu swala la Uadilifu wa Viongozi na Watumishi wa serikali,Kuna watumishi wa serikali ambao hawana Vyama au sio wanaCCM lakini Wanaiba Serikalini  na dhambi hiyo inakwenda CCM.Hivyo ni muda muafaka wa Kutenganisha Wezi,mafisadi na CCM.Comrade Mwigulu Nchemba akinadi na kuwaombea kura wagombea wa ngazi zote wa CCM kata ya itilima mkoani Simiyu.Comrade Mwigulu Nchemba akisalimiana na Wananchi wa Itilima hii leo.Mwigulu Nchemba akiwaeleza wanaitilima Mkoani...

 

10 years ago

Vijimambo

MWIGULU NCHEMBA ADHAMINIWA,KATAVI,RUKWA NA MBEYA,SAFARI YAKE BADO INAENDELEA


Ndugu Mwigulu Nchemba akipokea Orodha ya Wazamini MKoa wa Katavi kutoka kwa Katibu Wilaya wa CCM(Mpanda Mjini.)Mwigulu Nchemba akitoa neon la Shukrani kwa WanaCCM waliomdhamini Mkoa wa Katavi.Mwigulu Nchemba akipokea Orodha ya WanaCCM walioamua kumdhamini kwenye Kufanikisha adhima yake ya Kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Hapa ni Sumbawanga Mjini kwa Mkoa wa Rukwa.Mwigulu Nchemba akishuhudia Mmoja ya Wanaccm waliomdhamini kwa Mkoa wa Rukwa.Mwigulu Nchemba akiagana na Wadhamini...

 

10 years ago

Vijimambo

MWIGULU NCHEMBA ADHAMINIWA MKOA WA NJOMBE,RUVUMA NA IRINGA,WANACCM WAENDELEA KUONESHA IMANI NAYE

Mwigulu Nchemba akizungumza na WanaCCM waliojitokeza kumdhamini Mkoani Iringa.Kubwa ameendelea kusisitiza kuwa awamu ya tano ni awamu ya Kufanya mabadiliko kwa Vitendo kwenye Utendaji kazi,Kukomesha mazoea kwenye Utumishi wa Umma.Mwigulu Nchemba akisaini kitabu kuthibitisha kuwa amefika Mkoani Iringa kwaajili ya kutafuta wadhamini.Mwigulu Nchemba akisalimiana na Wadhamini wake kuelekea Safari ya Urais Mwaka 2015 kuwania kuteuliwa ndani ya CCM awezekupeperusha Bendera ya Chama.Mwigulu Nchemba...

 

9 years ago

Vijimambo

HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA MKOA WA SIMIYU NA MAJIMBO YAKE(KATA KWA KATA) MWIGULU NCHEMBA AKIOMBA KURA ZA URAIS,UBUNGE NA UDIWANI

Hisia za Mwananchi katika maandishi "Magufuli Chaguo la Mungu".MwanaCCM akionesha kipeperushi cha Magufuli na Mama Samia Suluhu kuwa ndio Uongozi unaokwenda Kuchaguliwa na Watanzania.Wananchi wapotayari kuchagua CCM kwa nafasi zote tatu(Udiwani,Ubunge na Urais).Mwigulu Nchemba akiondoka Jimbo la Maswa Mashariki kumnadi Ndg.Nyongo mbunge mtarajiwa wa Chama cha Mapinduzi."CCM mambo yapo Poaaaa!!!"Mwigulu Nchemba akiwasili eneo la Mkutano akiwa na Mbunge wa Jimbo la Kisesa Ndg.Mpina.Mbunge...

 

11 years ago

Michuzi

MWIGULU NCHEMBA AMNADI MGOMBEA WA CCM JIMBO LA KALENGA,MKOANI IRINGA LEO

Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Bara Mwigulu Nchemaba akimnadi mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM katika uchaguzi mdogo jimbo la Kalenga Gedfrey Mgimwa, katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni za CCM uliofanyika leo, kwenye Uwanja wa Chuo Cha Ifunda, Iringa Vijijini. (Picha na Bashir Nkoromo).

 

10 years ago

Vijimambo

MWIGULU LAMEK NCHEMBA NAYE ATANGAZA KUWANIA URAIS WA TANZANIA, AKIWA MKOANI DODOMA

Naibu Waziri wa Fedha, na Mbunge wa Iramba Magharibi, Mwigulu Lameck Nchemba,akiwa na familia yake, wakati alipowasili, kwenye ukumbi wa mikutano wa Mwalimu Nyerere uliopo chuo cha Mipango mjini Dodoma, leo Jumapili Mei 31, 2015, muda mfupi kabla ya kutangaza nia ya kuwania urais kupitia CCM. Mwiguklu anakuwa ni mwana CCM wa nne kutangaza n ia hiyo, akitanguliwa na Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Makongoro Nyerere, Waziri wa Chakula na Ushirika, Stephene Wasira, na Waziri Mkuu wa zamani...

 

9 years ago

Vijimambo

COMRADE MWIGULU NCHEMBA SASA AINGIA MANYARA,WANANCHI WAFURIKA KUIUNGA MKONO CCM UCHAGUZI MKUU 2015

Mwigulu Nchemba mmoja ya wajumbe 32 wa timu ya Ushindi ya Chama cha Mapinduzi akisalimiana na Wananchi wa Karatu Mjini jioni ya leo alipofika kwaajili ya Kuomba kura kwaajili ya Rais,Mbunge na Madiwani wa Chama Cha Mapinduzi.Sehemu ya Wananchi wa Karatu Mjini waliofika Uwanjawa Mazingira Bora kusikiliza Mkutano wa hadhara wa Mwigulu Nchemba.Mwigulu Nchemba akitoa darasa kwa Wananchi wa karatu kuhusu biashara ya Kumuacha Dr.slaa na kumpatia Edward Lowassa aliyehamia kutoka CCM.Dr.slaa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani