KWA NINI WANAWAKE HAWACHAGUANI?
Ni swali ambalo kila mtu huwa anajiuliza hasa ukizingatia kuwa takwimu zinaonesha kwamba wanawake ni wengi zaidi ya wanaume katika jamii. Kama ni hivyo, kwa nini wagombea wengi wa nafasi mbali mbali za uongozi ambao ni wanawake hushindwa katika chaguzi? Je, ni kwamba wanawake hawapendi kuwapigia kura wanawake wenzao? Na kwa nini wanawake hawachaguani? Sikiliza maoni ya wadau wengi hapa kwa kutazama video hii:
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi20 Nov
Kwa nini baadhi ya wanawake hukoma hedhi kabla ya umri
10 years ago
GPL
KWA NINI WANAWAKE WENGI WANAKOSA HAMU YA KUSHIRIKI TENDO LA NDOA?-5
10 years ago
GPL
KWA NINI WANAWAKE WENGI WANAKOSA HAMU YA KUSHIRIKI TENDO LA NDOA?-4
5 years ago
BBCSwahili29 Apr
Virusi vya Corona: Kwa nini ugonjwa huo ni hatari zaidi kwa wanaume zaidi ya wanawake
10 years ago
Vijimambo
Je kwa nini wanawake huwa na furaha zaidi wakati wa kufunga ndoa? Hizi hapa chini ndiyo sababu

Wakatiwa kufunga ndoa wanawake wengi huonyesha furaha zao kwa namna tofauti. Wako ambao kutokana na furaha ya kuolewa wanashindwa kujizuia na kuanza kulia siyo kwa huzuni bali kwa furaha iliyopitiliza, wengine honyesha furaha zao kwa kucheza mziki kwa furaha na kumbusu mume wake wa maisha kwa mfululizo kama vile anachezea mdoli akiwa haamini kile kinachomtokea nk.Kwa upande wa mume naye huwa na furaha kwa upande wake lakini furaha hiyo haizidi furaha ya mke, hiyo ni kwa sababu mwanaume...
10 years ago
Dewji Blog09 Mar
Wanawake wa MSD washerehekea siku ya wanawake duniani kwa aina yake
Bw. Mwaifani akimkaribisha mgeni rasmi wa sherehe hizo, Bi.Helen Mwakipunda ambaye ni Mhasibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii.
Bi. Mwakipunda akizungumza na wafanyakazi wa (MSD) wakati wa sherehe hizo.
Daktari Bingwa wa Magonjwa ya akina mama kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili, Matlida Ngarina aliyealikwa kwa ajili ya kutoa mada kuhusiana na magonjwa ya...
10 years ago
GPLWANAWAKE WA MCD WASHEREHEKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI KWA AINA YAKE
5 years ago
BBCSwahili08 Mar
Siku ya wanawake duniani 2020: Kwa picha wanawake walivyosherehekea jijini Dar es salaam
11 years ago
Tanzania Daima08 Mar
SIKU YA WANAWAKE DUNIANI: Vipigo kwa wanawake vikomeshwe
IMEKUWA ni kawaida katika nchi nyingi za Kiafrika na Asia kutokana na mfumo dume ambao umejikita hasa katika nchi hizi wanaume kuwapiga wake zao. Vipigo hivi huwa havichagui elimu, na...