Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kwa nini baadhi ya wanawake hukoma hedhi kabla ya umri

Tumepokea maswali mengi juu ya suala la kukoma hedhi ghafla, leo tutajibu swali hili.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Hedhi yawa fedheha kwa wanawake India

Mila mbaya zinazobagua wanawake, zimefikia mahali ambapo mwanamke kuwa katika siku zake ni fedheha nchini India

 

11 years ago

GPL

SANDRA: KWA NINI WASANII WANADANGANYA UMRI?

Stori: Mayasa Mariwata MSHANGAO! Mwigizaji wa Bongo, Salama Salmin ‘Sandra’ (32), amesema anachukizwa na tabia ya baadhi ya wasanii wenzake wanaopenda kurudisha umri nyuma kwa kujifanya wadogo kwani haoni umuhimu wake. Salama Salmin ‘Sandra’. Akistorisha na gazeti hili juzikati, Sandra alifunguka kuwa ni jambo la ajabu mtu kudanganya umri tena hata kwa wasanii wenzake wakati kimuonekano inaonesha...

 

5 years ago

BBCSwahili

Je ni kwa nini mama huyu alimuoa binti mwenye umri wa mwanawe?

Wakati walipoanza kuchumbiana, hawakujionyesha moja kwa moja kuwa wapenzi wa jinsia moja.

 

10 years ago

Mwananchi

Kwa nini baadhi ya watu mashuhuri hutumia dawa na kujidhuru ?

Kuna methali ya visiwani Haiti isemayo mtu mdogo hufanya analomudu ilihali mkubwa hufanya atakavyo.

 

10 years ago

GPL

KABLA YA KUANZISHA UHUSIANO MPYA, JIULIZE KWA NINI UMEACHWA?

Tumshukuru sana Mungu kwa kutujalia afya njema na kutukutanisha tena hapa kwenye XXLove kujadili na kupeana elimu ya uhusiano. Wiki iliyopita tulijadili kuhusu kuachana na kuanza kuchukiana au kuwekeana visasi. Mada ya leo inahusu kukurupuka na kuanzisha uhusiano mpya baada ya kuachwa.Si jambo jema, unapaswa kujiuliza umeachwa kwa sababu gani? Ili hata kama ukiamua kuanzisha uhusiano mpya ujue ni mpenzi wa aina gani anakufaa?...

 

11 years ago

Michuzi

KWA NINI WANAWAKE HAWACHAGUANI?

Ni swali ambalo kila mtu huwa anajiuliza hasa ukizingatia kuwa takwimu zinaonesha kwamba wanawake ni wengi zaidi ya wanaume katika jamii. Kama ni hivyo, kwa nini wagombea wengi wa nafasi mbali mbali za uongozi ambao ni wanawake hushindwa katika chaguzi?  Je, ni kwamba wanawake hawapendi kuwapigia kura wanawake wenzao? Na kwa nini wanawake hawachaguani? Sikiliza maoni ya wadau wengi hapa kwa kutazama video hii:

 

10 years ago

Vijimambo

KUELEKEA SIKU YA HEDHI DUNIANI, MTANDAO WA HEDHI SALAMA WAENDESHA SEMINA SHULE YA SEKONDARI ST. ANTHONY

 Kutoka kushoto ni Mkurugenzi mtendaji wa Kasole Secrets Hyasintha Ntuyeko ambao pia ni watengenezaji wa Pads za Glory, Katikati ni Mlezi wa wanafunzi Hilda Minja na Sara Mugele ambaye ni Dean of students  Shule ya Sekondari ya St. Anthony. Daktari Edna Kiogwe akieleza juu ya umuhimu wa elimu ya Hedhi kwa jamii nzima wakati wa semina na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya St. Anthony. Mkurugenzi mtendaji wa Kasole Secrets Hyasintha Ntuyeko ambeye pia ni muandaaji wa siku ya Hedhi...

 

10 years ago

Michuzi

KUELEKEA SIKU YA HEDHI DUNIANI, MTANDAO WA HEDHI SALAMA WAENDESHA SEMINA SHULE YA SEKONDARI ST. ANTHONY

 Daktari Edna Kiogwe akieleza juu ya umuhimu wa elimu ya Hedhi kwa jamii nzima wakati wa semina na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya St. Anthony.Mkurugenzi mtendaji wa Kasole Secrets Hyasintha Ntuyeko ambeye pia ni muandaaji wa siku ya Hedhi Duniani kwa Tanzania akielezea umuhimu wa kutunza Mazingira wanapokuwa Hedhi na kuithamini miundombinu. Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya St. Anthony wakiwa wanafuatilia kwa makini Semina hiyo. Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya St....

 

10 years ago

GPL

KUELEKEA SIKU YA HEDHI DUNIANI, MTANDAO WA HEDHI SALAMA WAENDESHA SEMINA SHULE YA SEKONDARI ST. ANTHONY‏

 Kutoka kushoto ni Mkurugenzi mtendaji wa Kasole Secrets Hyasintha Ntuyeko ambao pia ni watengenezaji wa Pads za Glory, Katikati ni Mlezi wa wanafunzi Hilda Minja na Sara Mugele ambaye ni Dean of students  Shule ya Sekondari ya St. Anthony.  Daktari Edna Kiogwe akieleza juu ya umuhimu wa elimu ya Hedhi kwa jamii nzima wakati wa semina na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya St. Anthony. Mkurugenzi… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani