Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SANDRA: KWA NINI WASANII WANADANGANYA UMRI?

Stori: Mayasa Mariwata MSHANGAO! Mwigizaji wa Bongo, Salama Salmin ‘Sandra’ (32), amesema anachukizwa na tabia ya baadhi ya wasanii wenzake wanaopenda kurudisha umri nyuma kwa kujifanya wadogo kwani haoni umuhimu wake. Salama Salmin ‘Sandra’. Akistorisha na gazeti hili juzikati, Sandra alifunguka kuwa ni jambo la ajabu mtu kudanganya umri tena hata kwa wasanii wenzake wakati kimuonekano inaonesha...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Kwa nini baadhi ya wanawake hukoma hedhi kabla ya umri

Tumepokea maswali mengi juu ya suala la kukoma hedhi ghafla, leo tutajibu swali hili.

 

5 years ago

BBCSwahili

Je ni kwa nini mama huyu alimuoa binti mwenye umri wa mwanawe?

Wakati walipoanza kuchumbiana, hawakujionyesha moja kwa moja kuwa wapenzi wa jinsia moja.

 

11 years ago

GPL

SANDRA: WASANII TUMRUDIE MUNGU

Msanii wa filamu Bongo, Salma Salmin ‘Sandra’ akilia kwa huzuni baada ya kifo cha Adam Kuambiana. Stori: Gladness Mallya KUFUATIA kifo cha msanii mkongwe wa filamu Bongo, Adam Kuambiana, msanii mwenzake, Salma Salmin ‘Sandra’ amewataka wasanii kubadili mfumo wa maisha na kumrudia Mungu. Baadhi ya wasanii na jamaa wa karibu wa marehemu Adam Kuambiana wakiuchukua mwili.
Akizungumza na… ...

 

10 years ago

Mwananchi

UCHAMBUZI: Kwa nini wasanii wetu wengi ni watoto?

>Mambo ya kitoto, mtoto kumfanyia mtoto mwenzake, tunasema watoto wanacheza lakini mambo ya kitoto, mtu mzima kumfanyia mtu mzima mwenzake kuna walakini hapo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wasanii nyimbo za Injili kujichubua, tujifunze nini?

HAKUNA jambo ambalo linanikera kama mtu anapobadili rangi ya ngozi yake, kwani hivi sasa imeshakuwa fasheni si tu kwa wanawake, bali hata kwa wanaume na mbaya zaidi, jinamizi hilo limehamia...

 

10 years ago

Mwananchi

Miaka 18 ya kifo cha Tupac wasanii mmejifunza nini?

Leo dunia nzima inaadhimisha miaka 18 ya kifo cha nguli wa muziki wa kizazi kipya aliyewahi kuitikisa dunia ya vijana kwa miaka isiyozidi minane akiwa kinara na kisha kuaga dunia kwa kupigwa risasi na mahasimu wake na kufariki dunia siku ya saba baada ya kupoteza damu nyingi.

 

10 years ago

Vijimambo

SANDRA NA GEORGE WAKIONDOKA UKUMBINI KWA STAILI YAO

 Sandra na George wakiwaaga wageni wao walipokua wakiondoka ukumbini. Sandra na George wakiwapungia wageni wao waliohudhuria harusi yao walipokua wakiondoka kwa staili yao ya pekee. Sandra na George wakiwa na furaha. Wakielekea kwenye usafiri wao Sandra na George wakishangiliwa kwa vigeregere na vifijo huku wakiimba wanameremeta. Sandra na George wakiwa tayari kwa kuondoka.Familia na Bi. harusi

 

10 years ago

GPL

SANDRA: SIJAWAHI KUTOA RUSHWA YA NGONO KWA ‘DAIREKTA’

Na Imelda Mtema
MSANII wa siku nyingi katika tansia ya filamu Bongo, Salama Salmin ‘Sandra’ amefunguka kuwa tangu ameanza kujihusisha na mambo ya sanaa hajawahi kuwa na bwana ndani ya klabu ya Bongo Movies na wala hajawahi kutoa rushwa ya ngono kwa ‘dairekta’ kama ilivyo kwa wengine. Msanii wa siku nyingi katika tansia ya filamu Bongo, Salama Salmin ‘Sandra’. Akizungumza na mwandishi wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Umri ni amri? Mmmh jamani, suala la umri lachekesha

Nafurahi kuona kwamba hujang’ang’ania hoja ya uzee hata siku moja licha ya mvi zako. Wala sijakusikia ukitamba eti wewe una akili au busara zaidi eti kwa kuwa ni mzee. Sifa sana kwako.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani