SANDRA: WASANII TUMRUDIE MUNGU
![](http://api.ning.com:80/files/LAl787uzrCByva-AVH0704ihFwr0xm1UUe2SwzELTtybEeiVwTAmGQSU27seNVeRSLOQjxK1xa9zckjzghLacjqSbW52nUcm/IMG_1356.jpg?width=650)
Msanii wa filamu Bongo, Salma Salmin ‘Sandra’ akilia kwa huzuni baada ya kifo cha Adam Kuambiana. Stori: Gladness Mallya KUFUATIA kifo cha msanii mkongwe wa filamu Bongo, Adam Kuambiana, msanii mwenzake, Salma Salmin ‘Sandra’ amewataka wasanii kubadili mfumo wa maisha na kumrudia Mungu. Baadhi ya wasanii na jamaa wa karibu wa marehemu Adam Kuambiana wakiuchukua mwili. Akizungumza na… ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bf3qBTWMVA*p1wfEuI7UrVxQHgmJRqE1Ks02VGJAOXd0HTv7MERxrVLqDsuJ9z-Qim0-RHR8W0uTbMc2Gh3yed00hm58Wt40/SANDRA.jpg?width=650)
SANDRA: KWA NINI WASANII WANADANGANYA UMRI?
Stori: Mayasa Mariwata MSHANGAO! Mwigizaji wa Bongo, Salama Salmin ‘Sandra’ (32), amesema anachukizwa na tabia ya baadhi ya wasanii wenzake wanaopenda kurudisha umri nyuma kwa kujifanya wadogo kwani haoni umuhimu wake. Salama Salmin ‘Sandra’. Akistorisha na gazeti hili juzikati, Sandra alifunguka kuwa ni jambo la ajabu mtu kudanganya umri tena hata kwa wasanii wenzake wakati kimuonekano inaonesha...
11 years ago
GPLMUACHE MUNGU AITWE MUNGU NA KAMA HUJAFA HUJAUMBIKA
Elisha Bahunde akiwa chumba # 8 ghorofa ya 6 alipolazwa tangia siku ya Jumatano Feb 19, 2014 alipoletwa Maryland kwa matibabu zaidi
Elisha Bahunde au Eric akiwa hana miguu wa mkono kama picha inavyoonyesha.…
10 years ago
Tanzanians Lack Reading Culture08 Dec
Sandra Mushi
AllAfrica.com
TANZANIANS do not have a strong reading culture, may be it's because books are often expensive or many do not like reading books, but when it comes to investing in knowledge nothing is pricey. Something should be done beginning with children by ...
9 years ago
GPL40 YA MTOTO WA SANDRA KIVUTIO
Imelda Mtema
SHEREHE ya kutimiza siku 40 tangu azaliwe mtoto wa msanii nyota wa Bongo Movies, Salama Salmini ‘Sandra’ aitwaye Khaliam zilikuwa kivutio baada ya kuhudhuriwa na mastaa na watu mbalimbali ilipofanyika nyumbani kwa wazazi wa msanii huyo, Tegeta Kibaoni, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1hFA9ea ...
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-JSexxhkX_nQ/Xk52UGVhgsI/AAAAAAACHyU/XvJU3MiHv0QNtD8S4Axe7rxAKq_MdmORQCLcBGAsYHQ/s72-c/HIJA%2BYA%2BCHANZO%2BHALISI.jpg)
KANISA HALISI LA MUNGU BABA LINAWAKARIBISHA WATU WOTE KWENYE HIJA YA CHANZO HALISI CHA MUNGU BABA, MJINI KIGOMA 26 THEBETI,1(26 APRILI,2020)
![](https://1.bp.blogspot.com/-JSexxhkX_nQ/Xk52UGVhgsI/AAAAAAACHyU/XvJU3MiHv0QNtD8S4Axe7rxAKq_MdmORQCLcBGAsYHQ/s400/HIJA%2BYA%2BCHANZO%2BHALISI.jpg)
Sauti Mpya(2019) ambayo imetangaza kuwa Tanzania ni Taifa Baba ilisikika Kigoma–Tanzania; Sauti Mpya ambayo imetangaza kuwa Afrika ni Bara la Nuru ilisikika Kigoma–Tanzania; Sauti Mpya ambayo ni zaidi ya zile Sauti Saba ilisikika Kigoma-Tanzania; Sauti Mpya ambayo ni zaidi ya ishara tatu mbinguni (Ufunuo 12:1-9) ilisikika Kigoma–Tanzania; Sauti Mpya ambayo ni zaidi ya Nafsi ya Moyo (Miungu tisa mitakatifu iliyofafanuliwa ndani ya Kitabu) ilisikika...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/t8oueEU5ZFJcK-V1vePTe7f*zjqzwUox8YFSupGacm048ORPT82OxLBxeqwQNV3Bqnb-TC8ZO3iXOhEzoBTT8r0g*3A4WDK7/sandra.jpg)
SANDRA: NACHUKIA UKE WENZA
Stori: Rhoda Josiah
MKONGWE kwenye sanaa Bongo, Salama Salmin ‘Sadra’ amesema kuwa hakuna kitu anakichukia maishani kama uke wenza. Mkongwe kwenye sanaa ya maigizo Bongo, Salama Salmin ‘Sandra’. Akipiga stori na mwandishi wa gazeti hili, Sadra ambaye tayari ni mke wa mtu, alisema anajiamini kwa kila jambo ambalo analifanya katika maisha yake na hayupo tayari kukubali kabisa suala la uke wenza kwani...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ac68YxxsLJ1Um6MUcpbOKCcd3st7EVf8x2kG1ORBOUdQ5OhL2a4*IMv1oVxj1EPtwDthnlwGMcjMJxXBo1hS43MuAE1FqVnX/sandra.jpg)
SANDRA AKUMBUSHIA MATESO YA KAOLE
Stori: Mayasa Mariwata
MUUZA sura wa sinema za Kibongo, Salma Salmini ‘Sandra’ ametoa dukuduku lake baada ya kuelezea mateso aliyopata kipindi alipokuwa anaanza kujihusisha na masuala ya sanaa katika Kundi la Kaole. Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Salma Salmini ‘Sandra’ Sandra aliliambia Ijumaa kuwa, mateso anayoyazungumzia ni yale ya kunyanyaswa na wasanii wenzake huku wakimfanyia vitimbi vya kila...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/79FAz6LP6HjrQIwgN*jYng-YBdsnjXbwUaODEOQjzYnCj9dlWCxbu8yenik1iSbysysOHySFKCutZbOKLT8hwuGX6eqyeonb/snura1.jpg?width=650)
SANDRA AONYA MASTAA WASAGAJI
Na Mayasa Mariwata MSANII wa filamu za Kibongo, Salma Salmini ‘Sandra’ amesema kinachowaponza mastaa wengi kutopenda kuingia kwenye ndoa ni kupenda vitendo vya usagaji na ushoga. Msanii wa filamu za Kibongo, Salma Salmini ‘Sandra’ Akipiga stori na paparazi wetu, Sandra alisema vitendo hivyo vimekuwa vikishamiri siku hadi siku kwa mastaa hususan wa filamu kwa tabia ya kupenda kuiga nchi za...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/7466U3ZMMqUI7x5pPBeSqxIAOnmCFzTGVXWuxZ8Ngor5mJDH9AgTrP2nlaLGCLfbK98DUKYMuFfBODJOKF6VgnGCodLXLyUT/Sandra.jpg)
SANDRA AKIMBIA UKATA BONGO MUVI!
Brighton Masalu
MUIGIZAJI aliyekuza jina kupitia Filamu ya Misukosuko, Salama Salimin ‘Sandra’ amesema sababu iliyomfanya kukaa kimya kwenye uigizaji ni malipo na kipato kidogo hivyo kuamua kutafuta riziki kwa njia nyingine (hakuzitaja). ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1HWVAxk
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania