SANDRA: NACHUKIA UKE WENZA
![](http://api.ning.com:80/files/t8oueEU5ZFJcK-V1vePTe7f*zjqzwUox8YFSupGacm048ORPT82OxLBxeqwQNV3Bqnb-TC8ZO3iXOhEzoBTT8r0g*3A4WDK7/sandra.jpg)
Stori: Rhoda Josiah MKONGWE kwenye sanaa Bongo, Salama Salmin ‘Sadra’ amesema kuwa hakuna kitu anakichukia maishani kama uke wenza. Mkongwe kwenye sanaa ya maigizo Bongo, Salama Salmin ‘Sandra’. Akipiga stori na mwandishi wa gazeti hili, Sadra ambaye tayari ni mke wa mtu, alisema anajiamini kwa kila jambo ambalo analifanya katika maisha yake na hayupo tayari kukubali kabisa suala la uke wenza kwani...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili11 Apr
Madaktari wakuza 'uke' katika maabara
9 years ago
Mtanzania01 Oct
Magufuli: Nachukia mauaji ya Kiteto
*Asema hayupo tayari kuongoza Serikali inayovuja damu
Na Bakari Kimwanga, Kongwa
MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema amechoka kusikia mauaji ya wakulima na wafugaji wilayani Kiteto.
Mgombea huyo alisema akichaguliwa kuwa rais atashughulika na Mkuu wa Mkoa (RC) na Mkuu wa Wilaya (DC), atakaowateua iwapo mauaji hayo yataendelea.
Alisema Kamanda wa Polisi wa Mkoa (RPC) atakayeteuliwa anapaswa kujipanga vizuri kusimamia amani katika eneo hilo la sivyo...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pwNUcGVK-dVw1WyDlfU3Kyigy8yi8bgEJJC6pB0CRg7SAsUy-iRX77XYT2CPBDrNhGj*vnwjebPznW-mGfODVkfW6H4MS86H/8.jpg)
LINAH: NACHUKIA SANA KUTUKANWA
5 years ago
BBCSwahili26 Feb
Julian Peters: Mwanamke aliyezaliwa bila uke wala mfuko wa uzazi
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mJm3snXM0myBkCzhTOY2-9lmdwCvFNmdz77hK8GoInUVSl-*PrBJU0aE5hgZtGyEZY7f4tejcKSTMJ0pgdlc1VLKzD61xIMf/koletha.jpg)
KOLETA: NACHUKIA WANAOJIRAHISISHA KWA WANAUME
9 years ago
Bongo506 Oct
Nachukia sana kuwa mjamzito — Kim Kardashian
9 years ago
Global Publishers07 Jan
Wazazi mnaowachagulia watoto wenza mnawayumbisha
Habari za mwaka mpya wapenzi wasomaji wangu? Mimi nimefika salama namshukuru Mungu. Kwa wale wagonjwa poleni, kwa walioondokewa na wapendwa wao poleni pia Mungu awape nguvu.
Baada ya hayo twende kwenye mada yetu moja kwa moja inayowahusu wazazi kwa ujumla, watoto tulionao sasa ni kizazi kingine kabisa si kama chetu ambapo kijana alipotaka kuoa ilikuwa lazima mzazi amkubali binti husika.
Mada hii nimeipata kwa msomaji mmoja anayeishi mkoani aliyenipigia simu na kuniambia kuwa mama yake mzazi...
5 years ago
BBCSwahili13 May
Virusi vya corona: Unyanyasaji wa wenza majumbani
11 years ago
Habarileo22 Jun
Wajawazito wasiokwenda na wenza kliniki wanyimwa tiba
IDADI kubwa ya wajawazito katika Tarafa ya Mwese, Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda mkoani Katavi, wanalazimika kutohudhuria kliniki na kujifungulia nyumbani, kwa madai ya kukataliwa kuhudumiwa katika kliniki ya eneo hilo, wanapokwenda bila ya wenza wao.