Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KOLETA: NACHUKIA WANAOJIRAHISISHA KWA WANAUME

Gabriel Ng’osha WIKI hii katika Dukukudu la Staa, tupo na msanii mkali wa filamu za Kibongo, Coletha Raymond ‘Koleta’ akizungumzia tabia ya wanawake kujirahisisha kwa wanaume. Soma zaidi===>http://bit.ly/1CWkhxp

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

KOLETA ATOBOA SIRI YA KUCHUKIA WANAUME!

Na Brighton Masalu
MSANII wa maigizo na filamu, Coletha Raymond ‘Koleta’ amefunguka na kutoboa siri ya moyoni juu ya chanzo cha kuwachukia wanaume huku akisisitiza kuendelea kuwa peke yake na kuifanya pombe ndiyo faraja kubwa. Coletha Raymond ‘Koleta’. Akizungumza na mwandishi wetu kwa njia ya simu mwanzoni mwa wiki hii, Koleta alisema kamwe hawezi kusahau maumivu aliyopewa na mchumba wake wa zamani...

 

10 years ago

GPL

SANDRA: NACHUKIA UKE WENZA

Stori: Rhoda Josiah
MKONGWE kwenye sanaa Bongo, Salama Salmin ‘Sadra’ amesema kuwa hakuna kitu anakichukia maishani kama uke wenza. Mkongwe kwenye sanaa ya maigizo Bongo, Salama Salmin ‘Sandra’. Akipiga stori na mwandishi wa gazeti hili, Sadra ambaye tayari ni mke wa mtu, alisema anajiamini kwa kila jambo ambalo analifanya katika maisha yake na hayupo tayari kukubali kabisa suala la uke wenza kwani...

 

9 years ago

GPL

LINAH: NACHUKIA SANA KUTUKANWA

Gabriel Ng’osha MPENZI msomaji wa safu hii ya Dukuduku, leo ninaye msanii wa muziki wa Bongo Fleva nchini, Esterlina Sanga ‘Linah’ akisikitika na kuumia hasa pale anapotolewa au kusikia mtu akitoa matusi, iwe kwenye mitandao ya kijamii au ana kwa ana.  ...Soma zaidi===>http://goo.gl/8FLiSA

 

9 years ago

Mtanzania

Magufuli: Nachukia mauaji ya Kiteto

g jpg*Asema hayupo tayari kuongoza Serikali inayovuja damu

 

Na Bakari Kimwanga, Kongwa

MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema amechoka kusikia mauaji ya wakulima na wafugaji wilayani Kiteto.

Mgombea huyo alisema akichaguliwa kuwa rais atashughulika na Mkuu wa Mkoa (RC) na Mkuu wa Wilaya (DC), atakaowateua iwapo mauaji hayo yataendelea.

Alisema Kamanda wa Polisi wa Mkoa (RPC) atakayeteuliwa anapaswa kujipanga vizuri kusimamia amani katika eneo hilo la sivyo...

 

9 years ago

Bongo5

Nachukia sana kuwa mjamzito — Kim Kardashian

Mke wa rapper Kanye West, Kim Kardashian ameandika kwenye website yake jinsi anavyochukia kuwa mjamzito, licha ya kuwa sasa ni mjamzito na anategemea kujifungua December 25. Katika post hiyo, Kim K (34) aliandika kuwa anashangaa watu ambao huwa wana enjoy hali ya ujauzito akiwemo mama yake na dada yake Kourtney, kitu ambacho kwake ni tofauti. […]

 

10 years ago

Vijimambo

Story ya wanawake wa Rombo kukodi wanaume Kenya kuwaridhisha kimapenzi yatinga bungeni, wanaume wataka waombwe radhi


Habari iliyoandikwa kwenye gazeti la Mwananchi juzi yenye kichwa cha habari ‘Wanawake wa Rombo wakodi wanaume kutoka Kenya’ imeibukia bungeni leo.Habari hiyo iliandikwa kutokana na kauli aliyoitoa mkuu wa wilaya ya Rombo, Lembris Kipuyo, aliyedai kuwa kutokana na wanaume wa wilaya hiyo kuwa walevi wa kutupa, wake zao wamekuwa wakikodi wanaume kutoka Kenya ili kuwaridhisha kimapenzi.
“Tatizo la ulevi wilayani Rombo na matumizi ya pombe zisizokuwa na viwango ni kubwa sana na linahitaji nguvu...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kwa wanaume na wanawake walio kwenye ndoa tu ! kwa wanaotaraji kupata watoto

11098377_1412805635702978_1854371883_n

Pichani ni mwanadada, Hamisa Mabeto ambaye hivi karibuni amebahatika kupata mtoto. Awali ujauzitowa Hamisa Mabeto haukujulikana hadi pale alipopiga picha maalum za mavazi ya ujauzito ambazo zilisambaa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii, ambapo hata hivyo baad ya kusambaa kwa picha hizo, siku chache, Hamisa alijifungua mtoto wake.

Na Andrew Chale wa Modewji blog

Msomaji wa Modewji blog, unaendelea kuperuzi leo tumewaletea dondoo kidogo katika suala la kuhimarisha familia ndani ya nyumba....

 

10 years ago

Bongo Movies

KOLETA: Uchawi Umetawala Katika Filamu

Msanii wa filamu za Kibongo, Coletha Raymond ‘Koleta’ amefunguka kuwa, tasnia ya filamu imetawaliwa na uchawi na kusisitiza kuwa itakuwa vigumu kwa baadhi ya wasanii kung’ara katika kazi hiyo.

Koleta alisema kwa sababu uchawi hauna ushahidi si rahisi kutamka hadharani lakini yeye anathubutu kusema ukweli kuhusu jambo hilo.

“Wengi wanaogopa kusutwa lakini lisemwalo lipo na kama halipo laja, suala la uchawi katika tasnia ya filamu lipo wala watu wasikatae, unakuta msanii anajua kuigiza...

 

10 years ago

GPL

KOLETA AJAZA MATAMBARA KISA UJAUZITO

Stori: Imelda Mtema KITUKO! Msanii wa sinema za Kibongo, Coletha Raymond ‘Koleta’ ametoa kali ya aina yake kwa kusema anapenda ujauzito kiasi cha kufikia hatua ya kujaza matambara tumboni ili awe na muonekano wa mjamzito. Msanii wa sinema za Kibongo, Coletha Raymond ‘Koleta’.
Akizungumza na paparazi wetu, Koleta alisema kwa jinsi anavyopenda ujauzito, akimuona mwanamke yeyote mjamzito anamfuata na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani