KOLETA AJAZA MATAMBARA KISA UJAUZITO
Stori: Imelda Mtema KITUKO! Msanii wa sinema za Kibongo, Coletha Raymond ‘Koleta’ ametoa kali ya aina yake kwa kusema anapenda ujauzito kiasi cha kufikia hatua ya kujaza matambara tumboni ili awe na muonekano wa mjamzito. Msanii wa sinema za Kibongo, Coletha Raymond ‘Koleta’. Akizungumza na paparazi wetu, Koleta alisema kwa jinsi anavyopenda ujauzito, akimuona mwanamke yeyote mjamzito anamfuata na...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili04 Aug
Magufuli ajaza fomu za kuwania urais
10 years ago
GPLKOLETA: NACHUKIA WANAOJIRAHISISHA KWA WANAUME
11 years ago
GPLKOLETA ATOBOA SIRI YA KUCHUKIA WANAUME!
10 years ago
Bongo Movies08 Dec
KOLETA: Uchawi Umetawala Katika Filamu
Msanii wa filamu za Kibongo, Coletha Raymond ‘Koleta’ amefunguka kuwa, tasnia ya filamu imetawaliwa na uchawi na kusisitiza kuwa itakuwa vigumu kwa baadhi ya wasanii kung’ara katika kazi hiyo.
Koleta alisema kwa sababu uchawi hauna ushahidi si rahisi kutamka hadharani lakini yeye anathubutu kusema ukweli kuhusu jambo hilo.
“Wengi wanaogopa kusutwa lakini lisemwalo lipo na kama halipo laja, suala la uchawi katika tasnia ya filamu lipo wala watu wasikatae, unakuta msanii anajua kuigiza...
11 years ago
GPLMAKALIO YA KOLETA YADATISHA WATU MLIMANI CITY!
11 years ago
GPLSTEVE NYERERE ACHOMOA MADAI YA KUMTENGA KOLETA
11 years ago
GPLKIFO CHA KUAMBIANA, KOLETA AZIMIA, ALAZWA
11 years ago
GPLKOLETA AWALIPUA WAKE ZA WATU BONGO MOVIES
11 years ago
GPLKOLETA: NAKULA UJANA, KUOLEWA BADO SANA