Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KOLETA AWALIPUA WAKE ZA WATU BONGO MOVIES

Na Andrew Carlos
STAA wa filamu Bongo, Coletha Raymond ‘Koleta’ amewashukia waigizaji wenzake ambao ni wake za watu na kudai kuwa wanaichafua sanaa hiyo kwa kujirahisisha kwenye ngono na wanaume wengine. Staa wa filamu Bongo, Coletha Raymond ‘Koleta’. Akizungumza kwa sharti la kutowataja majina, Koleta alisema anawatambua wasanii wengi ambao ni wake za watu na hufanya mchezo huo wakiwa eneo la...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

BONGO MOVIES WAJIFUA KUWAKABILI BONGO FLEVA USIKU WA MATUMAINI IJUMAA HII

Wasanii wa Bongo Movies wakijifua katika Viwanja vya Leaders jijini Dar jana jioni tayari kwa mpambano wao na Bongo Fleva keshokutwa Ijumaa. Mwenyekiti wa Bongo Movies, Steve Nyerere (katikati) akionyesha ujuzi wakati wa mazoezi hayo jana.…

 

11 years ago

GPL

BONGO MOVIES TAYARI KUWAKABILI BONGO FLEVA KATIKA USIKU WA MATUMAINI 2014

Baadhi ya wasanii wa Bongo Movies kutoka kushoto ni Mwenyekiti wao Steve Nyerere, William Mtitu na Issa Mussa 'Cloud 112' baada ya kuwasili jijini Dar es Salaam wakitokea Bagamoyo walipokwenda kujiwinda kwa ajili ya mechi yao dhidi ya Bongo Fleva leo katika Tamasha la Usiku wa Matumaini Uwanja wa Taifa jijini Dar.

 

10 years ago

GPL

BONGO MOVIES KWELI MMEKUBALI KUZIDIWA NA BONGO FLEVA?

LEO nimewakumbuka kwa mara nyingine ndugu zangu wasanii ambao mnafanya sinema za Kibongo, Bongo Movies. Sina haja ya kuwataja majina maana mko wengi, naweza nikamaliza barua yangu yote nikisema niwataje majina yenu mmojammoja. Bila shaka mu-wazima wa afya na wale ambao kwa namna moja au nyingine afya haiko poa, nawaombea kwa Mungu mpone haraka na mrudi katika hali ya kawaida, muendelee na kazi zenu za kujitafutia riziki. Mkitaka...

 

11 years ago

GPL

NIGHT OF HOPE 2014: BONGO FLEVA 1, BONGO MOVIES 0

Mwanamuziki Ali Kiba akimtoka msanii wa Bongo Movies, Issa Mussa 'Cloud 112'. Mwanamuziki H-Baba akijaribu kuwatoka wachezaji wa Bongo Movies.…

 

11 years ago

GPL

MAKALIO YA KOLETA YADATISHA WATU MLIMANI CITY!

Stori: Hamida Hassan
Msanii wa filamu, Coletha Raymond ‘Koleta’ hivi karibuni aliibua gumzo maeneo ya Mlimani City jijini Dar kutokana na kivazi alichokuwa amevaa huku makalio yake yakionekana kuongezeka kwa kiasi kikubwa.
Tukio hilo lilitokea juzikati wakati  Koleta alipokuwa akitoa kwenye lango kuu kuelekea ilipo ‘parking’ ya magari akiwa na mwanaume aliyeonekana kama mpenzi wake. Msanii wa...

 

11 years ago

GPL

BONGO MOVIES VIPANDEVIPANDE!

Wasanii walojiunga CCM wakiwa katika picha ya pamoja na mwenyekiti wa CCM, Rais Kikwete. Stori: Waandishi Wetu
MPASUKO mkubwa umeikumba tasnia ya filamu Bongo baada ya baadhi ya wasanii wanaong’ara kuchukua kadi rasmi za kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM), Risasi Mchanganyiko linakupa zaidi. Tukio hilo lilitokea juzi, Jumapili jijini Mbeya kulipokuwa na sherehe za maadhimisho ya miaka 37 ya kuzaliwa kwa chama hicho...

 

10 years ago

TheCitizen

COVER: Not much for bongo movies at the AMVCA

>The Africa Magic Viewers’ Choice Awards  (AMVCA) unveiled a list of its nominees for the 2015 award season mid last week in Johannesburg.

 

11 years ago

GPL

A-Z MSANII BONGO MOVIES ALIVYOJINYONGA

Stori: MUSA MATEJA na Imelda Mtema
SAKATA la kujinyonga kwa msanii wa filamu Bongo, Victor Peter limegubikwa na matukio tofauti ya kustaajabisha ambayo marehemu aliyafanya siku kadhaa kabla hajapatwa na umauti, Ijumaa limefukunyua kila kitu. Mwili wa marehemu Victor Peter ukipelekwa mochwari. Kwa mujibu wa rafiki wa marehemu, Hamisi Koba, msanii huyo alijinyonga usiku wa Februari 27, mwaka huu mkoani Tanga ambapo marehemu...

 

10 years ago

Bongo Movies

Makamua Kuibukia Bongo Movies

Staa wa Bongo Fleva kutoka kundi la wakali kwanza, anatarajia kuigiza filamu ya maisha ya muziki itakayoitwa “Bongo na Fleva”.  

Akiongea na E-News ya EATV,  Makamua alisema filamu hiyo itahusisha pia mastaa wengine wakubwa wa Bongo Flava na kwamba mpaka sasa mradi huo umekwisha kamilika.

Karibu sana.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani