KOLETA: NAKULA UJANA, KUOLEWA BADO SANA
![](http://api.ning.com:80/files/fF4HFdlaoO65x27O6Tqdaeiv0lh9wZRYZfApONGZZcmx9gvAmqJ*s*X2jP2c7pMkNJspW8YNUFzpTS9zRKpSVURwiPIfiGeu/koletha.jpg)
Stori: Maria Halimoja Mwanadada kutoka tasnia ya filamu Bongo, Coletha Raymond ‘Koleta’ amesema kwamba suala la yeye kuolewa siyo la leo wala kesho na kwamba anakula ujana kwanza. Mwanadada kutoka tasnia ya filamu Bongo, Coletha Raymond ‘Koleta’ Akipiga stori na paparazi wetu juzikati, Koleta alisema kwa sasa hafikirii kabisa suala la kuingia kwenye maisha ya ndoa kwa kuwa, kila jambo na muda wake na...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/TARUKDkBK7orYFHyfVVVY4Y9Snr--RG6igTJSHlLCdGDof9xUsGofuo1lj2stEmuiweugxu09*6zTAWSFZorSMDQCwm-Hf-W/hamisa.jpg)
HAMISA MABETO: SIFIKIRII NDOA, NAKULA UJANA
9 years ago
Bongo Movies04 Sep
Ninatamani Sana Kuolewa-Faiza Ally
Msanii wa filamu na mwanamitindo mwenye vituko, Faiza Ally amesema angependa kuolewa lakini wanaume wengi si waoaji.
Faiza ambaye amezaa mtoto mmoja na mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph ‘Sugu’ Mbilinyi ameiambia Channel Ten kuwa kila mwanamke anatamani aolewe na awe na familia.
“Wachumba hakuna siku hizi wa kuoa,” alisema Faiza. “Hakuna mwanaume wa kuoa. Kila mwanamke ana ndoto ya kuolewa na kuwa na familia, mimi mmoja wapo na ndoto ya kuolewa lakini wanaume wenyewe wamekuwa magumashi. Siamini...
10 years ago
Dewji Blog12 Mar
Tahariri: Mimba ya Aunt Ezekiel bado bado sana, blogs zitafute ukweli kwanza na sio kukurupuka
Na Andrew Chale wa Mo dewji blog
Huenda nawe umezisikia taarifa zilizozagaa kwenye mitandao yaa kijaamii na kwingineko juu ya kuwa star mwenye mvuto wa asili anayetikisa Bongo kwa filamu mbalimbali, Msanii wa kike, Aunt Ezekiel ambaye kwa sasa ni mjamzito, amejifungua?.
Kwa taarifa za uhakika kutoka katikaa moja ya mtandao wa kijamii wa Global Publisher inayokubalika hapa nchini (http://www.globalpublishers.info/profiles/blogs/aunt-ezekiel-akanusha-taarifa-za-kujifungua-asema-video-ya) ...
10 years ago
StarTV05 Dec
Mugabe: Bado nipo sana.
Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe amelaumu baadhi ya watu ndani ya chama chake tawala cha ZANU-PF kwamba wanapanga kumng’oa madarakani.
Akizungumza katika kongamano la chama hicho, Mugabe amesema amebaini kuwepo majaribio ya kuwahonga wajumbe kumpinga kama kiongozi, lakini akasisitiza wajumbe hawawezi kupokea hongo.
Mugabe ameahidi kupambana na rushwa ndani ya chama na kukabiliana na maafisa wa chama hicho ambao kazi yao ni kutoa hongo na kupokea rushwa.
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/625/amz/worldservice/live/assets/images/2014/12/04/141204173006_congress_1.jpg)
9 years ago
Mtanzania25 Aug
‘Niang bado sana Simba’
NA JUDITH PETER, DAR ES SALAAM
INATIA shaka! Ndivyo unavyoweza kuielezea hatima ya mshambuliaji Msenegali, Papa Niang kusajiliwa na timu ya Simba, kufuatia kuonyesha kiwango kisichoridhisha kwenye mchezo wake wa kwanza ndani ya timu hiyo dhidi ya Mwadui katika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam jana.
Niang aliyewasili nchini Ijumaa iliyopita kusaka ulaji wa kusajiliwa na Simba inayosaka straika hatari wa kufumania nyavu, alicheza kwa dakika 45 tu za kwanza za mchezo huo kabla ya kutolewa kipindi...
10 years ago
Mwananchi17 Jan
Ney wa Mitego: Kuvuta jiko?…bado sana
10 years ago
Mwananchi01 Sep
Van Gaal: Man United bado sana
9 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-XZO72LeGnis/VhP3vTId89I/AAAAAAAAHS0/fhkMB1fYZLg/s72-c/6.jpg)
RAY KIGOSI AWASTUA KISHAPU, AWAAMBIA UPINZANI BADO SANA
![](http://3.bp.blogspot.com/-XZO72LeGnis/VhP3vTId89I/AAAAAAAAHS0/fhkMB1fYZLg/s640/6.jpg)
10 years ago
Bongo Movies25 May
Kajala: Nampenda Sana Wema Ila Bado Ana Chuki na Mimi
Staa wa Bongo Movies, Kajala Masanja amesema hadhani kama ni rahisi kuwa karibu tena na staa mwenzake Wema Sepetu baada ya kugombana.
Kajala amekiambia kipindi cha The Sporah Show hivi karibuni kuwa bado anampenda Wema na kumheshimu.
“Mimi simchukii Wema, mimi nampenda Wema, kusema ningependa kurudisha urafiki na Wema inakuwa ngumu sana, kwa sababu yeye tayari anachuki na sijui ana chuki kiasi gani? Mimi nataka kusema ni mtu ambaye nampenda na nakaaga nasema namheshimu, ni mtu ambaye...