Kwa wanaume na wanawake walio kwenye ndoa tu ! kwa wanaotaraji kupata watoto
Pichani ni mwanadada, Hamisa Mabeto ambaye hivi karibuni amebahatika kupata mtoto. Awali ujauzitowa Hamisa Mabeto haukujulikana hadi pale alipopiga picha maalum za mavazi ya ujauzito ambazo zilisambaa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii, ambapo hata hivyo baad ya kusambaa kwa picha hizo, siku chache, Hamisa alijifungua mtoto wake.
Na Andrew Chale wa Modewji blog
Msomaji wa Modewji blog, unaendelea kuperuzi leo tumewaletea dondoo kidogo katika suala la kuhimarisha familia ndani ya nyumba....
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima31 Aug
Nonso Diobi atoa somo kwa wanaume walio kwenye ndoa
MWIGIZAJI wa Nigeria mwenye mvuto, Nonso Diobi, ametoa ushauri kwa wanaume ambao wameoa kuwajali wake zao. Katika mtandao wake, Diobi aliandika kwamba wanaume ambao wako kwenye ndoa wamekuwa wakiwanyanyasa wake...
10 years ago
Vijimambo04 Dec
WANAUME ‘HANDSOME’, WANAWAKE WAREMBO NI SHIDA KWENYE NDOA

Hata kwa wanawake nao huwa wanaangalia wanaume ‘handsome’ ambao hata wakiwa wanatembea pamoja mtaani watavuta macho ya watu na kusifiwa.
Mimi sidhani kama wanaoangalia vigezo hivyo wanakosea hasa kama wanatafuta wapenzi na wachumba watakaotengeneza njia ya kuelekea kwenye ndoa.
Naomba katika hili nieleweke...
10 years ago
GPL
WANAUME ‘HANDSOME’, WANAWAKE WAREMBO NI SHIDA KWENYE NDOA
10 years ago
Tanzania Daima06 Nov
Tendo la uumbaji linapaswa kufanyika na watu wawili walio kwenye ndoa.
MIEZI mitano iliyopita niliandika makala tatu nikihimiza kuwa tuache kuita kitendo cha watu wawili wa jinsia tofauti kuweka miili yao kukiita kufanya mapenzi, kujamiana, kufanya tendo la ndoa, kukutana na...
10 years ago
VijimamboWLAC YAENDESHA KONGAMANO LA UHAMASISHAJI KUPIGA KURA KWA WANAWAKE WALIO KATIKA MAKUNDI MAALUMU
5 years ago
BBCSwahili29 Apr
Virusi vya Corona: Kwa nini ugonjwa huo ni hatari zaidi kwa wanaume zaidi ya wanawake
11 years ago
Habarileo10 Apr
Wanaume waaswa wasitelekeze watoto nje ya ndoa
WANAUME wameshauriwa kuacha kuwatelekeza watoto wao hasa wanaozaa nje ya ndoa.
11 years ago
GPL
MAUMIVU CHINI YA KITOVU KWA WANAWAKE NA WANAUME-3
11 years ago
GPL
KUONDOA KABISA KIZAZI KWA WANAWAKE NA WANAUME