KUONDOA KABISA KIZAZI KWA WANAWAKE NA WANAUME
![](http://api.ning.com:80/files/JKksqYJJ9YjEdYvzuap8*vAuR0*3oUeRtsAZjLKf6Q1Owab7uHYhmjQr*70p9RHiJloLus7PGYMebOXAMjDdZ5XZtqAIqHvR/human1.jpg?width=650)
KUNA njia ya kufanya watu wasiweze kuzaa au kutunga mimba kabisa katika maisha yao. Hii kwa maneno mengine tunaweza kusema ndiyo njia pekee ya kudumu na uhakika ya kuzuia mimba.Vasectomy ni njia ya upasuaji mdogo inayoweza kumfanya mwanaume asiwe na uwezo wa kumpa mimba mwanamke. Tubuligation ni njia ya kumfanya mwanamke asiwe na uwezo wa kushika mimba. Nji zote hizi hufanyika kwa njia ya upasuaji mdogo. Mwanaume...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi13 Jun
Dawa za nywele zinazosababisha uvimbe wa kizazi kwa wanawake
10 years ago
Dewji Blog19 Apr
Kwa wanaume na wanawake walio kwenye ndoa tu ! kwa wanaotaraji kupata watoto
Pichani ni mwanadada, Hamisa Mabeto ambaye hivi karibuni amebahatika kupata mtoto. Awali ujauzitowa Hamisa Mabeto haukujulikana hadi pale alipopiga picha maalum za mavazi ya ujauzito ambazo zilisambaa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii, ambapo hata hivyo baad ya kusambaa kwa picha hizo, siku chache, Hamisa alijifungua mtoto wake.
Na Andrew Chale wa Modewji blog
Msomaji wa Modewji blog, unaendelea kuperuzi leo tumewaletea dondoo kidogo katika suala la kuhimarisha familia ndani ya nyumba....
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-gl49bYfuLRU/VV4Ef12encI/AAAAAAAAuI4/VXWFgPJinb8/s72-c/07dcmbege.jpg)
Story ya wanawake wa Rombo kukodi wanaume Kenya kuwaridhisha kimapenzi yatinga bungeni, wanaume wataka waombwe radhi
![](http://4.bp.blogspot.com/-gl49bYfuLRU/VV4Ef12encI/AAAAAAAAuI4/VXWFgPJinb8/s640/07dcmbege.jpg)
Habari iliyoandikwa kwenye gazeti la Mwananchi juzi yenye kichwa cha habari ‘Wanawake wa Rombo wakodi wanaume kutoka Kenya’ imeibukia bungeni leo.Habari hiyo iliandikwa kutokana na kauli aliyoitoa mkuu wa wilaya ya Rombo, Lembris Kipuyo, aliyedai kuwa kutokana na wanaume wa wilaya hiyo kuwa walevi wa kutupa, wake zao wamekuwa wakikodi wanaume kutoka Kenya ili kuwaridhisha kimapenzi.
“Tatizo la ulevi wilayani Rombo na matumizi ya pombe zisizokuwa na viwango ni kubwa sana na linahitaji nguvu...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*tHd*uipNJCy1KQIYtBJ3qyHVyhjLrxjM0wIR7TJNv8wjSyb4-4775Q*SlSbYBszC31hklXVDF*xBERFsHq9Wl2FYLu70u1Y/UTI.jpg?width=650)
MAUMIVU CHINI YA KITOVU KWA WANAWAKE NA WANAUME
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/4S4DUD84Vb4ynOHikFJcWWGeBfbITpcf1z071ekrzFb4jUhZq*k2wRQc6dioXKsBQHAtOztcePd50r8UHnOGMTxemphD10Xh/maumivu.jpg)
MAUMIVU CHINI YA KITOVU KWA WANAWAKE NA WANAUME-3
10 years ago
Mwananchi23 Jan
Wanaume ni vizingiti kwa wanawake katika uzazi wa mpango
10 years ago
GPLMAAMBUKIZI KATIKA NJIA YA MKOJO KWA WANAWAKE/WANAUME
10 years ago
Habarileo23 Aug
‘Wanaume wasiotahiriwa chanzo cha saratani ya shingo ya kizazi’
IMEELEZWA kuwa wanawake wanaopata ugonjwa wa saratani ya shingo ya kizazi kwa kiasi kikubwa inatokana na kufanya mapenzi na wanaume ambao hawajatahiriwa.
11 years ago
Mwananchi07 Feb
SAIKOLOJIA&UTAFITI: Wanawake wanapolaumiwa kwa kuwatesa wanaume