Julian Peters: Mwanamke aliyezaliwa bila uke wala mfuko wa uzazi
Julian Peters ni mwanamke wa miaka 29 aliyezaliwa na ugonjwa unaojulikana kama (MRKH) Mayer-Rokitansky-Küster-Hauser,ikimaanisha kuwa alizaliwa bila mfuko wa kizazi.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima22 Nov
Mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi
MIMBA inayotungia nje ya mfuko wa uzazi kwa kitaalamu inafahamika kama ectopic pregnancy. Hii mimba inayotungia nje ya mfuko wa kizazi huwa inakaa ndani ya mirija ya uzazi. Mimba kama...
10 years ago
Mwananchi13 Feb
Tatizo la mimba kutungwa nje ya mfuko wa uzazi
10 years ago
Mwananchi24 Oct
AG Zanzibar: Nitafanya kazi bila woga wala upendeleo
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/-nMzymXXjMJ5CgPscjZefT8*-zlHFPmOe0OYFfD3wfJsKO0tX*us3lF0HR5yLa975rQcdOFkilFJ7gYpsJ7hWocXQOmJDVA7/somazaidi.gif)
LINAH: SIJAWAHI KUSAGANA WALA KUMTAMANI MWANAMKE MWENZANGU
10 years ago
Mwananchi15 Feb
Bila haki, siyo watu wala mali zitakuwa salama
11 years ago
MichuziHATUJAWAHI KUMKOPESHA MBOWE, WALA KUWASAIDIA "SUGU" NA MSIGWA - MFUKO WA PENSHENI WA LAPF
![](http://1.bp.blogspot.com/-PCwVe-nMleg/U4baEFrf2jI/AAAAAAAFmFU/LVh6qIvLR9I/s1600/download+(1).jpg)
5 years ago
BBCSwahili11 Mar
Najda Khan mwanamke anayehangaika kupata uzazi kutokana na uzito wa mwili
9 years ago
MillardAyo05 Jan
Ukienda bila shati na viatu mgahawani Australia hakuna huduma.. wala hawatanii kwenye hii..!!
Kuna wakati Vyuo vikuu Tanzania ilibidi zianze kutangazwa na kupitishwa kanuni za mavazi ambayo wanafunzi wanatakiwa kuvaa, ule uhuru ulifanya wengine kuvaa mpaka nguo ambazo sio sahihi kuvaa hadharani !! Pata picha ni mgahawani na bado hauruhusiwi kuvaa nguo za aina fulani. Mgahawa huo wa McDonald ulipo maeneo ya Oak Wood, Melbourne Australia waliweka tangazo la […]
The post Ukienda bila shati na viatu mgahawani Australia hakuna huduma.. wala hawatanii kwenye hii..!! appeared first on...
10 years ago
Bongo Movies20 Jan
Wolper Asikitika Jina Lake Kutumiwa na Coca Cola Bila Hata Kushirikishwa Wala Kulipwa!!!
Kupitia ukurasa wake wa kwenye mtandao wa INSTAGARM, Wolper alifunguka;
“Habari Followers pamoja na wa Tanzania wote ambao naamini huwa mnaingia katika page yangu ya insta.Nimepokea zawadi hii ya Coca cola kwa siku 6 .
Na sio kwamba sikutaka kupiga picha kama wenzangu au ku post kama wenzangu, nilikuwa natafakari kweli kampuni kubwa ya kitaifa na kimataifa inaweza kutumia gharama kubwa kuandika majina yetu bila kuchukuwa hata nafasi na heshima kubwa tuliyonayo kutushirikisha tu katika...