Mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi
MIMBA inayotungia nje ya mfuko wa uzazi kwa kitaalamu inafahamika kama ectopic pregnancy. Hii mimba inayotungia nje ya mfuko wa kizazi huwa inakaa ndani ya mirija ya uzazi. Mimba kama...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3r*H3JtUV-fYjyrIWsUvrZUyjo1mKYP8JelKoXR*4ve6Uf2QP2HXFrpnUnf1K5iuj*YyH68rnxWqymKOUsBguXZWcvgdofYY/tumbowanawake.jpg)
MIMBA KUTUNGA NJE YA MFUKO WA KIZAZI- 2
Mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi wa mwanamke au Ectopic Pregnancy ni tatizo ambalo limetokea kuathiri wanawake mbalimbali. Kwa kawaida, isipokuwa mara chache sana, mimba zitungazo nje ya mfuko wa uzazi hazina uwezo wa kukua kuwa mtoto kamili. Aidha, mimba hizi ni hatari kwa afya ya mama mjamzito kwa vile humfanya kupoteza damu nyingi na hatimaye kusababisha kifo. Baada ya utangulizi huo, wiki iliyopita tuliangalia aina za...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/FiztFdiPwCpqmDYQToF9EbYorcWmgQLm0AvifqVRbrg2zB41Fly9ACfJuNa3-Hdbg5qoELbPG71WFJBxsM5G5A5o1KlowDK5/mimba2.png?width=650)
MIMBA KUTUNGA NJE YA MFUKO WA KIZAZI- 3
KARIBU msomaji katika makala haya, wiki mbili zilizopita tulikuwa tunaangalia tatizo la mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi. Na tuliangalia maeneo ambayo mimba hizo hutungwa. Leo ningependa tuangalie sababu za tatizo hili na dalili za mwanamke mwenye tatizo hili.
Nini husababisha mimba kutunga nje ya kizazi?
Katika mimba nyingi zinazotunga nje ya uterus, chanzo chake huwa hakijulikani. Hata hivyo kuna vihatarishi ambavyo...
10 years ago
Mwananchi13 Feb
Tatizo la mimba kutungwa nje ya mfuko wa uzazi
>Mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi ni tatizo ambalo linaweza kumpata mwanamke yeyote na linapaswa kufahamika mapema ili hatua muafaka zichukuliwe.
5 years ago
BBCSwahili26 Feb
Julian Peters: Mwanamke aliyezaliwa bila uke wala mfuko wa uzazi
Julian Peters ni mwanamke wa miaka 29 aliyezaliwa na ugonjwa unaojulikana kama (MRKH) Mayer-Rokitansky-Küster-Hauser,ikimaanisha kuwa alizaliwa bila mfuko wa kizazi.
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Qvxzmt4uuyV*dj5ClQio8EEtFKakIwuCu6-dEn8KnFWx7XTCvaOM1mafAqGGhICNGccw3Dwak*FpBl6T9vfwCBtFpjxdhrKV/pregnant_2176694b.jpg?width=650)
UNAJUA KWA NINI MIMBA INATUNGA NJE YA KIZAZI?
Baada ya kupeana elimu juu ya tatizo la mawe kwenye figo, leo ningependa tupeane ufahamu kuhusu mimba kutungwa nje ya mji wa mimba. Wanawake wengi wamekuwa wakilalamika wanasumbuliwa na tatizo hili na imefika hatua wengine wanaogopa kujihusisha na uzazi kwa sababu ya tatizo hili. Mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi wa mwanamke au Ectopic pregnancy ni tatizo ambalo limetokea kuathiri wanawake mbalimbali. Kuna watu wanaposikia na...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/I4Lv7uhzCAFKFbKWQ0nW8zQuDCp0khsF5jcGntVjPnuuQoeNxju5ipWiukwF-mKsOjXXTSynJi2WBbG7NTGldz4yPPG0uA4E/PainDuringpregnancy.jpg?width=650)
UNAJUA KWA NINI MIMBA INATUNGA NJE YA KIZAZI?-2
Wiki iliyopita nilielezea sababu zinazofanya mimba itunge nje ya mfuko wa uzazi na kuzitaja. Leo naendelea na mada hii ili wasomaji wangu wapate kujifunza zaidi... Mara baada ya utungisho, misuli inayozunguka mirija ya Fallopian ikishirikiana na vinyweleo vilivyopo ndani ya mirija hii husukuma kiinitete au yai lililorutubishwa na kulipeleka kwenye Uterus. Yai lililorutubishwa au kiinitete, lifikapo kwenye Uterus hujipachika...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/UxG8FbEp4zYbOSlfPdB0h4pzstbEXvqdtZhu4lIAIVf3chNKToajRXniGmxvSIRVYz13eMF3LqdWJI8Dt5VQet4NtZ*tkKgj/FRONTIJUMAA.gif)
MADAI MAZITO: AUNT ANASA MIMBA NJE YA NDOA
Stori: waandishi wetu
Madai mazito! Pamoja na kutumia nguvu kubwa kukanusha kwa miezi kadhaa, bado staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson, anaendelea kugandwa na madai kwamba, amenasa mimba nje ya ndoa, Ijumaa lina mkanda kamili. Staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel akiwa viwanja na shosti yake, Wema Sepetu.
Habari hizo zilishika kasi mithili ya moto wa kifuu baada ya Aunt kunaswa Klabu ya New Maisha iliyopo...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vOTW6a5PmQR91m*HdSbRr85xbvC2Z*zjqTrXkDEwFr9qUR3zEaErbUaOnj*JNcWG*5h-8nPZBrObupW1Sl9fkw7r6-OlPGXp/tumbowanawake.jpg?width=650)
UNAJUA KWA NINI MIMBA INATUNGA NJE YA KIZAZI?-3
Wiki iliyopita nilielezea sababu zinazofanya mimba itunge nje ya mfuko wa uzazi na kuzitaja. Leo naendelea na mada hii ili wasomaji wangu wapate kujifunza zaidi... Aidha, mimba hizi ni hatari kwa afya ya mama mjamzito kwa vile humfanya kupoteza damu nyingi na hatimaye kusababisha kifo. Baada ya utangulizi huo tulia angalia aina za mimba zinazotungwa nje ya mfuko wa uzazi. Leo tutachambua aina hizo na sababu zake. Mimba...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/tmqA3rmqdgYrpAqN*YDCFjGTuZzRw45Y0pwQJkgKMICqREdyOxRsgtLEuy5SsIsgrFrIYun*CWYlVaEmpvxU3a*D377maPFJ/shamkupe.jpg?width=650)
AIBU! ASKOFU KKKT APIGA MIMBA MBILI NJE YA NDOA
Joseph Ngilisho, Arusha
Aibu! Peace Sylvester (36), mkazi wa Kijenge Juu jijini hapa amefungua madai mazito kwenye Kituo Kikuu cha Polisi, Arusha kwa majadala mawili, AR/RB/4404/2015 KUTISHIA KUUA KWA MANENO na AR/RB/5290/2015 KUTELEKEZA FAMILIA dhidi ya Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Kagera, Benson Bagonza. Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT)...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania