Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UNAJUA KWA NINI MIMBA INATUNGA NJE YA KIZAZI?

Baada ya kupeana elimu juu ya tatizo la mawe kwenye figo, leo ningependa tupeane ufahamu kuhusu mimba kutungwa nje ya mji wa mimba. Wanawake wengi wamekuwa wakilalamika wanasumbuliwa na tatizo hili na imefika hatua wengine wanaogopa kujihusisha na uzazi kwa sababu ya tatizo hili. Mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi wa mwanamke au Ectopic pregnancy ni tatizo ambalo limetokea kuathiri wanawake mbalimbali. Kuna watu wanaposikia na...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

UNAJUA KWA NINI MIMBA INATUNGA NJE YA KIZAZI?-2

Wiki iliyopita nilielezea sababu zinazofanya mimba itunge nje ya mfuko wa uzazi na kuzitaja. Leo naendelea na mada hii ili wasomaji wangu wapate kujifunza zaidi... Mara baada ya utungisho, misuli inayozunguka mirija ya Fallopian ikishirikiana na vinyweleo vilivyopo ndani ya mirija hii husukuma kiinitete au yai lililorutubishwa na kulipeleka kwenye Uterus. Yai lililorutubishwa au kiinitete, lifikapo kwenye Uterus hujipachika...

 

9 years ago

GPL

UNAJUA KWA NINI MIMBA INATUNGA NJE YA KIZAZI?-3

Wiki iliyopita nilielezea sababu zinazofanya mimba itunge nje ya mfuko wa uzazi na kuzitaja. Leo naendelea na mada hii ili wasomaji wangu wapate kujifunza zaidi... Aidha, mimba hizi ni hatari kwa afya ya mama mjamzito kwa vile humfanya kupoteza damu nyingi na hatimaye kusababisha kifo. Baada ya utangulizi huo tulia angalia aina za mimba zinazotungwa nje ya mfuko wa uzazi. Leo tutachambua aina hizo na sababu zake.  Mimba...

 

9 years ago

GPL

MIMBA KUTUNGA NJE YA MFUKO WA KIZAZI- 2

Mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi wa mwanamke au Ectopic Pregnancy ni tatizo ambalo limetokea kuathiri wanawake mbalimbali. Kwa kawaida, isipokuwa mara chache sana, mimba zitungazo nje ya mfuko wa uzazi hazina uwezo wa kukua kuwa mtoto kamili.  Aidha, mimba hizi ni hatari kwa afya ya mama mjamzito kwa vile humfanya kupoteza damu nyingi na hatimaye kusababisha kifo. Baada ya utangulizi huo, wiki iliyopita tuliangalia aina za...

 

9 years ago

GPL

MIMBA KUTUNGA NJE YA MFUKO WA KIZAZI- 3

KARIBU msomaji katika makala haya, wiki mbili zilizopita tulikuwa tunaangalia tatizo la mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi. Na tuliangalia maeneo ambayo mimba hizo hutungwa.  Leo ningependa tuangalie sababu za tatizo hili na dalili za mwanamke mwenye tatizo hili.
Nini husababisha mimba kutunga nje ya kizazi?
Katika mimba nyingi zinazotunga nje ya uterus, chanzo chake huwa hakijulikani. Hata hivyo kuna vihatarishi ambavyo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kwa nini ujifanye unajua kila kitu?

BINADAMU tumeumbwa kwa kila mmoja wetu kuwa na uwezo wake binafsi tofauti na mwingine, kiakili, kifikra, kipesa na kiutendaji. Utofauti huu ndio unaotufanya tuendelee kuishi na kuheshimiana hapa duniani. Lakini...

 

9 years ago

GPL

KWA NINI HUSHIKI MIMBA?

MTU mwenye tatizo la kutoshika mimba kitaalamu tunasema Infertility. Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali, wanandoa asilimia 50 wanapata mimba ikiwa watajamiiana bila kutumia kinga wakifanya tendo hilo ndani ya miezi mitatu na asilimia 75 baada ya miezi sita na asilimia 95 baada ya mwaka mmoja. Sababu za tatizo la kutopata mimba ni nyingi sana na baadhi yake ni hizi zifuatazo: Matatizo ya mbegu za kiume (Sperm Disorders). Asilimia 35...

 

10 years ago

Vijimambo

Je Unajua nini Kinaendelea Kuhusu ile Kesi ya Mchungaji Gwajima Kumtukana Askofu Pengo? Nimekuwekea Hapa Kinachoendelea


Askofu GwajimaMAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jana imeshindwa kumsomea maelezo ya awali Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima na wenzake wanaokabiliwa na kesi ya kutumia lugha ya matusi na kushindwa kuhifadhi silaha.Kesi hiyo ilitajwa jana kwa ajili ya washitakiwa kusomewa maelezo ya awali lakini iliahirishwa kwa kuwa Hakimu Mkazi Wilfred Dyansobera anayesikiliza kesi hiyo hakuwepo mahakamani.
Hakimu Mkazi, Thomas Simba aliahirisha kesi hiyo hiyo Julai 20, mwaka huu kwa ajili...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani