Kwa nini ujifanye unajua kila kitu?
BINADAMU tumeumbwa kwa kila mmoja wetu kuwa na uwezo wake binafsi tofauti na mwingine, kiakili, kifikra, kipesa na kiutendaji. Utofauti huu ndio unaotufanya tuendelee kuishi na kuheshimiana hapa duniani. Lakini...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi01 Jun
Usijidanganye kuamini kuwa unajua kila kitu
Wakati fulani nilikuwa kwenye semina moja ya ndoa, Arusha. Katika mchakato wa semina hiyo, nilikutana na wanandoa na mmoja alipenda tukutane, lakini mwingine hakuona ulazima wa kufanya hivyo.
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/I4Lv7uhzCAFKFbKWQ0nW8zQuDCp0khsF5jcGntVjPnuuQoeNxju5ipWiukwF-mKsOjXXTSynJi2WBbG7NTGldz4yPPG0uA4E/PainDuringpregnancy.jpg?width=650)
UNAJUA KWA NINI MIMBA INATUNGA NJE YA KIZAZI?-2
Wiki iliyopita nilielezea sababu zinazofanya mimba itunge nje ya mfuko wa uzazi na kuzitaja. Leo naendelea na mada hii ili wasomaji wangu wapate kujifunza zaidi... Mara baada ya utungisho, misuli inayozunguka mirija ya Fallopian ikishirikiana na vinyweleo vilivyopo ndani ya mirija hii husukuma kiinitete au yai lililorutubishwa na kulipeleka kwenye Uterus. Yai lililorutubishwa au kiinitete, lifikapo kwenye Uterus hujipachika...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Qvxzmt4uuyV*dj5ClQio8EEtFKakIwuCu6-dEn8KnFWx7XTCvaOM1mafAqGGhICNGccw3Dwak*FpBl6T9vfwCBtFpjxdhrKV/pregnant_2176694b.jpg?width=650)
UNAJUA KWA NINI MIMBA INATUNGA NJE YA KIZAZI?
Baada ya kupeana elimu juu ya tatizo la mawe kwenye figo, leo ningependa tupeane ufahamu kuhusu mimba kutungwa nje ya mji wa mimba. Wanawake wengi wamekuwa wakilalamika wanasumbuliwa na tatizo hili na imefika hatua wengine wanaogopa kujihusisha na uzazi kwa sababu ya tatizo hili. Mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi wa mwanamke au Ectopic pregnancy ni tatizo ambalo limetokea kuathiri wanawake mbalimbali. Kuna watu wanaposikia na...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vOTW6a5PmQR91m*HdSbRr85xbvC2Z*zjqTrXkDEwFr9qUR3zEaErbUaOnj*JNcWG*5h-8nPZBrObupW1Sl9fkw7r6-OlPGXp/tumbowanawake.jpg?width=650)
UNAJUA KWA NINI MIMBA INATUNGA NJE YA KIZAZI?-3
Wiki iliyopita nilielezea sababu zinazofanya mimba itunge nje ya mfuko wa uzazi na kuzitaja. Leo naendelea na mada hii ili wasomaji wangu wapate kujifunza zaidi... Aidha, mimba hizi ni hatari kwa afya ya mama mjamzito kwa vile humfanya kupoteza damu nyingi na hatimaye kusababisha kifo. Baada ya utangulizi huo tulia angalia aina za mimba zinazotungwa nje ya mfuko wa uzazi. Leo tutachambua aina hizo na sababu zake. Mimba...
9 years ago
GPL02 Oct
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/640cdJ4qjLRCNLZsPGrL1nTj5tb9jvXJCsZWAAzHWN*Cka3pFN-0QL5jeAFD7skyHrjk0KbT08KNdhsu1sXVAXTUfWTCxu35/CHEKANAKITIME.jpg)
SHULENI KWA MWANANGU, KILA KITU KINGLEZA!
Yamenikuta makubwa tena ya kujitakia, hilo lazima nikubali. Unajua nilikuwa naona wivu sana nikiwatembelea rafiki zangu na kukuta wana watoto tena wadogo hawajaanza hata darasa la kwanza, wanaongea Kingleza utadhani ndiyo wametoka Uingereza jana. Halafu kilichokuwa kinanipa wivu zaidi ni kuwa hawa rafiki zangu wengi tumetoka kijiji kimoja, nawajua mpaka wazazi wao, na najua kwenye ukoo wao hakuna anayejua Kingleza kabisaaa....
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/92KBrfAhanc/default.jpg)
9 years ago
Mwananchi16 Dec
Mtei: Rais Magufuli asiige kila kitu kutoka kwa Nyerere
Tangu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli aanze kasi ya kushughulikia kero mbalimbali za wananchi, kumekuwa na maoni mbalimbali kuhusu aina ya ufanyaji kazi wake.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania