Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHULENI KWA MWANANGU, KILA KITU KINGLEZA!

Yamenikuta  makubwa tena ya kujitakia, hilo lazima nikubali. Unajua nilikuwa naona wivu sana nikiwatembelea rafiki zangu na kukuta wana watoto tena wadogo hawajaanza hata darasa la kwanza, wanaongea Kingleza utadhani ndiyo wametoka Uingereza jana. Halafu kilichokuwa kinanipa wivu zaidi ni kuwa hawa rafiki zangu wengi tumetoka kijiji kimoja, nawajua mpaka wazazi wao, na najua kwenye ukoo wao hakuna anayejua Kingleza kabisaaa....

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Kwa nini ujifanye unajua kila kitu?

BINADAMU tumeumbwa kwa kila mmoja wetu kuwa na uwezo wake binafsi tofauti na mwingine, kiakili, kifikra, kipesa na kiutendaji. Utofauti huu ndio unaotufanya tuendelee kuishi na kuheshimiana hapa duniani. Lakini...

 

9 years ago

Mwananchi

Mtei: Rais Magufuli asiige kila kitu kutoka kwa Nyerere

Tangu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli aanze kasi ya kushughulikia kero mbalimbali za wananchi, kumekuwa na maoni mbalimbali kuhusu aina ya ufanyaji kazi wake.

 

9 years ago

Bongo5

Cyrill adai video na ngoma kali sio kila kitu kwa muziki wa sasa

kamikaze

Staa wa muziki Cyrill Kamikaze, amesema muziki wa sasa sio tu kufanya video kali na ngoma kali ili uweze kutoboa, bali unahitaji kutumia ubunifu zaidi kukidhi viwango vyenye ubora na kufikia soko la kimataifa.

kamikaze

Rapper huyo amekiambia kipindi cha Planet Bongo cha East Afica Radio kuwa watu wengi wanafikiri ukiwa na video nzuri ndio unafanikiwa.

“Unaweza ukawa na video kali halafu usihit, muziki ni zaidi ya chupa kali, ukirudishwa miaka fulani nyuma, ngoma kali ndio ilikuwa inahit, lakini sasa...

 

9 years ago

Habarileo

Bilioni 19/- kutolewa shuleni kila mwezi

KATIKA kutekeleza mpango wa utoaji elimu bure kwa shule za serikali za msingi na sekondari nchini, Serikali itapeleka moja kwa moja shuleni kutoka Hazina wastani wa Sh bilioni 18.77 kwa kila mwezi.

 

11 years ago

GPL

FLORA AKOMBA KILA KITU

Stori: Waandishi Wetu MACHOZI upya! Habari halali kwa ubongo wako zinaeleza kwamba wakati mumewe, Emmanuel Mbasha (32) alipokuwa mahabusu, Dar kati ya Juni 15 hadi 17, mwaka huu, staa wa Gospo Bongo, Flora Mbasha (31) anadaiwa kwenda nyumbani na kukomba vitu vya ndani kuvipeleka kusikojulikana. Sehemu ya chumba cha kupumzikia kilichobakiwa na kochi na… ...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Ngeleja: Hatupingi kila kitu

MAKAMU Mwenyekiti wa Kamati namba tisa ya Bunge Maalum, William Ngeleja, amesema hawapingi kila kitu kilichomo kwenye Rasimu iliyotolewa na Tume ya Mabiliko ya Katiba. Ngeleja, amewataka watanzania wasikubali kupotoshwa...

 

9 years ago

Bongo Movies

Dude Alizwa Kila Kitu

YAMEMKUTA! Mwigizaji maarufu Bongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’ amelizwa kila kitu kwenye gari lake baada ya wezi kuvunja kioo na kufanya uharibifu mkubwa kisha kutokomea na vitu hivyo.

Tukio hilo lililomchanganya Dude lilijiri nyumbani kwake, Kiwalani jijini Dar, wikiendi iliyopita ambapo jamaa hao waliruka fensi na kuvunja kioo cha nyuma kisha kutoa vitu muhimu kwenye gari hilo aina ya Toyota Mark II.

“Ukweli sasa hivi nikisikia kelele za mwizi hata niwe naendesha gari, nitapaki na kwenda kutoa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Lissu: Wanaokubaliana kila kitu ni kondoo

MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Tundu Lissu, amesema katika mchakato wa kuandika Katiba ni lazima kuwa na mawazo yanayokinzana, kwa kuwa hiyo ndiyo demokrasia. Lissu ambaye pia ni Mbunge...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani