Je Unajua nini Kinaendelea Kuhusu ile Kesi ya Mchungaji Gwajima Kumtukana Askofu Pengo? Nimekuwekea Hapa Kinachoendelea
Askofu GwajimaMAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jana imeshindwa kumsomea maelezo ya awali Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima na wenzake wanaokabiliwa na kesi ya kutumia lugha ya matusi na kushindwa kuhifadhi silaha.Kesi hiyo ilitajwa jana kwa ajili ya washitakiwa kusomewa maelezo ya awali lakini iliahirishwa kwa kuwa Hakimu Mkazi Wilfred Dyansobera anayesikiliza kesi hiyo hakuwepo mahakamani.
Hakimu Mkazi, Thomas Simba aliahirisha kesi hiyo hiyo Julai 20, mwaka huu kwa ajili...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziNEWS ALERT: ASKOFU GWAJIMA ATAKIWA KUHOJIWA NA JESHI LA POLISI KUHUSU TUHUMA ZA KASHFA NA MATUSI DHIDI YA KALDINARI PENGO
"Tumepokea malalamiko ya kukashifiwa na kutukanwa hadharani Mwadhama Kaldinari Polycarp Pengo ambaye ni kiongozi wa Kanisa Katoliki nchini Tanzania. Kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii kama vile WhatsApp na mingineyo kuna sauti...
10 years ago
Mwananchi30 Mar
Kardinali Pengo amjibu Askofu Gwajima
10 years ago
Mtanzania05 Jun
Upelelezi kesi ya Mchungaji Gwajima wakamilika
NA KULWA MZEE, DAR ES SALAAM
UPELELEZI wa kesi inayomkabili Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Mchungaji Josephat Gwajima na wenzake watatu umekamilika na kesi inatarajiwa kuanza usikilizwaji wa awali Julai 2, mwaka huu.
Wakili wa Serikali Mwandamizi, Shadrack Kimaro aliifahamisha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jana wakati kesi hiyo ilipokuwa inatajwa.
Mbele ya Hakimu Mkazi Hellen Riwa, Kimaro alidai kesi ilikuwa inatajwa, lakini upelelezi wa kesi hiyo umekamilika hivyo aliomba tarehe...
10 years ago
Mwananchi11 Aug
Kesi ya Askofu Gwajima kunguruma mwezi ujao
9 years ago
GPL02 Oct
9 years ago
Vijimambo10 years ago
Dewji Blog17 Mar
Sauti ya Muadhama, Askofu Mkuu Kardinali Pengo akizungumzia kuhusu tamko la Maaskofu juu ya Katiba pendekezwa
Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Muadhama Kardinali Polycarp Pengo.
10 years ago
CloudsFM05 May
Kama ulikosa kuhudhuria #ZariAllWhiteParty picha zote nimekuwekea hapa
BdozenJihan na Halima Kimwana
10 years ago
GPLGWAJIMA AMETUMWA KUMTUSI PENGO