Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MIMBA KUTUNGA NJE YA MFUKO WA KIZAZI- 3

KARIBU msomaji katika makala haya, wiki mbili zilizopita tulikuwa tunaangalia tatizo la mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi. Na tuliangalia maeneo ambayo mimba hizo hutungwa.  Leo ningependa tuangalie sababu za tatizo hili na dalili za mwanamke mwenye tatizo hili.
Nini husababisha mimba kutunga nje ya kizazi?
Katika mimba nyingi zinazotunga nje ya uterus, chanzo chake huwa hakijulikani. Hata hivyo kuna vihatarishi ambavyo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

MIMBA KUTUNGA NJE YA MFUKO WA KIZAZI- 2

Mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi wa mwanamke au Ectopic Pregnancy ni tatizo ambalo limetokea kuathiri wanawake mbalimbali. Kwa kawaida, isipokuwa mara chache sana, mimba zitungazo nje ya mfuko wa uzazi hazina uwezo wa kukua kuwa mtoto kamili.  Aidha, mimba hizi ni hatari kwa afya ya mama mjamzito kwa vile humfanya kupoteza damu nyingi na hatimaye kusababisha kifo. Baada ya utangulizi huo, wiki iliyopita tuliangalia aina za...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi

MIMBA inayotungia nje ya mfuko wa uzazi kwa kitaalamu inafahamika kama ectopic pregnancy. Hii mimba inayotungia nje ya mfuko wa kizazi huwa inakaa ndani ya mirija ya uzazi. Mimba kama...

 

9 years ago

GPL

UNAJUA KWA NINI MIMBA INATUNGA NJE YA KIZAZI?-2

Wiki iliyopita nilielezea sababu zinazofanya mimba itunge nje ya mfuko wa uzazi na kuzitaja. Leo naendelea na mada hii ili wasomaji wangu wapate kujifunza zaidi... Mara baada ya utungisho, misuli inayozunguka mirija ya Fallopian ikishirikiana na vinyweleo vilivyopo ndani ya mirija hii husukuma kiinitete au yai lililorutubishwa na kulipeleka kwenye Uterus. Yai lililorutubishwa au kiinitete, lifikapo kwenye Uterus hujipachika...

 

9 years ago

GPL

UNAJUA KWA NINI MIMBA INATUNGA NJE YA KIZAZI?-3

Wiki iliyopita nilielezea sababu zinazofanya mimba itunge nje ya mfuko wa uzazi na kuzitaja. Leo naendelea na mada hii ili wasomaji wangu wapate kujifunza zaidi... Aidha, mimba hizi ni hatari kwa afya ya mama mjamzito kwa vile humfanya kupoteza damu nyingi na hatimaye kusababisha kifo. Baada ya utangulizi huo tulia angalia aina za mimba zinazotungwa nje ya mfuko wa uzazi. Leo tutachambua aina hizo na sababu zake.  Mimba...

 

9 years ago

GPL

UNAJUA KWA NINI MIMBA INATUNGA NJE YA KIZAZI?

Baada ya kupeana elimu juu ya tatizo la mawe kwenye figo, leo ningependa tupeane ufahamu kuhusu mimba kutungwa nje ya mji wa mimba. Wanawake wengi wamekuwa wakilalamika wanasumbuliwa na tatizo hili na imefika hatua wengine wanaogopa kujihusisha na uzazi kwa sababu ya tatizo hili. Mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi wa mwanamke au Ectopic pregnancy ni tatizo ambalo limetokea kuathiri wanawake mbalimbali. Kuna watu wanaposikia na...

 

10 years ago

Mwananchi

Tatizo la mimba kutungwa nje ya mfuko wa uzazi

>Mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi ni tatizo ambalo linaweza kumpata mwanamke yeyote na linapaswa kufahamika mapema ili hatua muafaka zichukuliwe.

 

10 years ago

GPL

MADAI MAZITO: AUNT ANASA MIMBA NJE YA NDOA

Stori: waandishi wetu
Madai mazito! Pamoja na kutumia nguvu kubwa kukanusha kwa miezi kadhaa, bado staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson, anaendelea kugandwa na madai kwamba, amenasa mimba nje ya ndoa, Ijumaa lina mkanda kamili. Staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel akiwa viwanja na shosti yake, Wema Sepetu.
Habari hizo zilishika kasi mithili ya moto wa kifuu baada ya Aunt kunaswa Klabu ya New Maisha iliyopo...

 

10 years ago

GPL

MADAI YA MIMBA NJE YA NDOA, AUNT EZEKIEL AITWA BAKWATA

Na Nyemo Chilongani
MADAI! Huku zikiwa zimepita siku chache tangu igundulike kwamba muigizaji, Aunt Ezekiel kuwa na mimba ambayo inasadikiwa kuwa si ya mume wake (Sunday Demonte), ndugu wa mume huyo wameibuka na kutaka kumfikisha Bakwata (Baraza Kuu la Waislamu Tanzania). Muigizaji wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel (kulia) akiwa na shosti yake Wema Sepetu. Ndugu hao ambao walizungumza na gazeti hili walidai kwamba wamesikitishwa...

 

10 years ago

GPL

AIBU! ASKOFU KKKT APIGA MIMBA MBILI NJE YA NDOA

Joseph Ngilisho, Arusha
Aibu! Peace Sylvester (36), mkazi wa Kijenge Juu jijini hapa amefungua madai mazito kwenye Kituo Kikuu cha Polisi, Arusha  kwa majadala mawili,  AR/RB/4404/2015 KUTISHIA KUUA KWA MANENO na AR/RB/5290/2015 KUTELEKEZA FAMILIA dhidi ya Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Kagera, Benson Bagonza. Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT)...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani