Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wajawazito wasiokwenda na wenza kliniki wanyimwa tiba

IDADI kubwa ya wajawazito katika Tarafa ya Mwese, Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda mkoani Katavi, wanalazimika kutohudhuria kliniki na kujifungulia nyumbani, kwa madai ya kukataliwa kuhudumiwa katika kliniki ya eneo hilo, wanapokwenda bila ya wenza wao.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Wanaume waaswa kusindikiza wenza wao kliniki

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel BenderaWANAUME wamehimizwa kuwasindikiza wenza wao ambao ni wajawazito kliniki wakati wa kupima afya zao na kuwa nao karibu wakati wote wa malezi ya watoto wao.

 

5 years ago

Michuzi

WORLD VISION YAHAMASISHA KLINIKI KWA WAJAWAZITO, MATUMIZI YA MAZIWA YA MBUZI SIKU YA WANAWAKE DUNIANI



Kushoto ni Afisa Lishe Mradi wa ENRICH unaotekelezwa na Shirika la World Vision , Stella Mbuya na Afisa Jinsia na Utetezi wa Shirika la World Vision kupitia mradi wa ENRICH, Magreth Mambali wakionesha alama ya Usawa wa Kijinsia.


Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog

Wanawake wajawazito wamekumbushwa umuhimu wa kuhudhuria Kliniki angalau mara nne katika kipindi chote cha ujauzito ili waweze kupata huduma zote za msingi ili wajifungue salama kupunguza vifo vya uzazi vya mama na mtoto.

Rai hiyo...

 

11 years ago

Michuzi

MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASIKINI NA ZINAZOISHI MAZINGIRA HATARISHI UNAORATIBIWA NA TASAF WAHAMASISHA AKINA MAMA WAJAWAZITO KUHUDHURIA KLINIKI

 Baadhi ya akinamama na watoto ambao kaya zao ziko kwenye Mpango wa kunusuru kaya masikini unaoratibiwa na TASAF wakisubiri huduma ya kliniki katika hospitali ya Manyamanyama wilayani Bunda mkoani Mara.  Baadhi ya wanawake wajawazito ambao kaya zao ziko katika mpango wa knusuru kaya masikini unaoratibiwa na TASAF wakiwa katika msitari wa kusubiri kuonana na Daktari katika hospitali ya Manyamanyama wilayani Bunda mkoani Mara.  Mratibu wa TASAF wilayani Bunda Nyasegwa Piloty akizungumza na...

 

5 years ago

Michuzi

MKOA WA KATAVI ,WADAU WAWEKA MKAKATI WA KUJENGA JENGO LA KISASA LA KLINIKI YA TIBA ASILI

Na Mwandishi Wetu,Michuzi Blog ya jamii

MKUU wa Mkoa wa Katavi Juma Homera amesema pamoja na kuendelea na shughuli mbalimbali za maendeleo ndani ya Mkoa huo kwa sasa wanaendelea na mkakati wa kujenga Kliniki ya Tiba asili kwa kushirikiana na wadau mbalimbali.

Kwa mujibu wa Mkuu wa Mkoa Homela ni kwamba wamefikia hatua hiyo baada ya wannanchi wa Mkoa huo na wadau wa tiba asili kutoa ombi hilo na hiyo ni baada ya kuwepo kwa vitendo vya udanganyifu katika utoaji wa tiba asili.

Amesisitiza kwamba ...

 

11 years ago

Mwananchi

Magharibi wanyimwa taji

Licha ya kutwaa ubingwa kwenye mashindano ya riadha ya taifa, timu ya Mkoa wa Mjini Magharibi imenyimwa kombe la ushindi wa jumla kwenye mashindano hayo yaliyofungwa juzi usiku kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

11 years ago

Mwananchi

Morogoro wanyimwa kombe netiboli

Washindi wa pili wa Kombe la Taifa la netiboli timu ya Morogoro imewalalamikia waandaaji Chama cha Netiboli Tanzania (Chaneta) kwa kuwanyima kikombe na kuwapa pakiti tatu za majani ya chai kama zawadi.

 

11 years ago

BBCSwahili

Wandishi wa Al Jazeera wanyimwa dhamana

Mahakama nchini Misri imewanyima dhamana kwa mara nyingine wandishi 3 wa habari wa Al Jazeera wanaotuhumiwa kulisaidia kundi la Brotherhood

 

11 years ago

BBCSwahili

Wandishi wa Al-Jazeera wanyimwa dhamana

Kesi dhidi ya wandishi watatu wa habari wa shirika la habari la Al-Jazeera,nchini Misri imeahirishwa kwa wiki nyingine moja na washitakiwa kunyimwa dhamana tena

 

10 years ago

Habarileo

Watangaza nia CCM wanyimwa mdahalo

Profesa Sospeter Muhongo.WAKATI Watanzania na hasa viongozi wa sekta binafsi, wakijiandaa kupima uwezo na uelewa wa watangaza nia wa CCM, katika masuala muhimu ya kiuchumi kwenye mdahalo ulioandaliwa kesho kutwa, chama hicho kimepiga marufuku watangaza nia hao kushiriki midahalo hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani